Nina PhD natafuta kazi

Nina PhD natafuta kazi

Fanya hivi: ficha chet cha PhD, omba kazi halafu utapata. Ukishakuwa mzoefu kazini na ukawa na uhakika kuwa utendaji wako wa kazi watakuwa wameupenda, wape cheti cha PhD ila usiwadai maslahi zaidi, kama ni vipi watakufikiria wao wenyewe. Huwezi kupoteza kazi

This is the only Easiest way.. take it as an advice
 
Kaka mbona mataasisi ya kijeruman bongo yapo kibwena umekosa hata huko maana mi washkaj waliosoma Ujerumani wapo GTZ,Goeth Institute etc washtue DAAD wakuunganishe kwenye projects na NGO za akina Rudi Voller au Kijeruman hakipandi?maana hilo laweza kuwa tatizo
Sidhani kama kuna chuo, taasisi au shule Ujerumani ambayo wanatumia lugha nyingine zaidi ya kijerumani.
 
nimeshtuka, nikajua kama ile ya hemedy, maana umewaua nguvu vijana wa degree 1 na 2, ila kazi siku hizi ni chanel, cha muhimu nenda katafute chuo ufundishe, ule ela za research ndugu, la sivyo bench utasugua sana. au tangazo la kazi likitoka ombea cheti kimoja wapo upate uzoefu, siku hizi kazi si elimu ni uzoefu ndugu watoto wa mjini wajanja unakuta mtu hana hata elimu lakini anajua IT nouma.
 
open university juz tu wametoa nafas za kaz.apply hapo.au kla sku ingia website za kaz.utapata
 
Habari zenu ndugu zanguni,

Nimesoma B.A ya economics UD, kwa kuwa mzee wangu alikuwa ana kauwezo mdogo akanishauri nisome masters. Nilipokuwa nasoma Masters niliona tangazo la PhD scholarship ya DAAD-Germany, nikaomba kwa bahati nzuri nikapata hivyo baada ya kumaliza masters nikaenda kusoma Hamburg Ujerumani. Hivi sasa ninapoongea nina PhD ya business administration management na kwa bahati mbaya sana hamna tangazo la kazi wanalotaka mtu mwenye PhD asiye na experience hata kidogo, nimechanganyikiwa mpaka najuta kusoma.

Huu ni mwaka wa pili natafuta ajira, niliomaliza nao degree ya kwanza hivi sasa wana maisha mazuri namimi hali yangu haieleweki. Na wazazi uwezo wao kiuchumi umepungua sana hiyvo hawawezi kunipa hata mtaji nikafanye biashara, maisha haya jamani, sijui ninamfundisha nini mdogo wako anayenifata?

MKINIPA MAWAZO YA KUJENGA NTAWASHUKURU ZAIDI.

Mmmmmm mbona ni PHD holder lakini huna upeo? (Samahani kwa ukweli huo).
Kwani ni lazima uombe kazi kwa kutumia cheti cha PHD?? Wake up Mr... kwa bongo chukua cheti chako cha degree katafute kazi. Wewe unafikiri mabosi watakupa kazi na hiyo PHD ili uwapindue watakubali? Tumia degree...ukipata kazi uta-update CV yako to PHD. Use your knowledge to master your environment Mr.
Come on😱😱😱😱😱
 
TEKU kuna jamaa yangu ana 3.0 anapiga mapindi kama kawa, usivunjike moyo utapata kazi ndugu, ila fuata ushauri wa mtu wa kwanza.
 
Unabuni topic za uongo...huna phd.

Halafu sio vizuri coz unakatisha tamaa wadogo zetu.
 
MI NAMJUA HUYO!! NI FUNDI WA KUTENGENEZA NYWELE...!
na HIYO PHD ANAMAANISHA

PROFFESSIONAL HAIR DRESSER(Phd)

HIVI MTU MZIMA UNACREATE TOPIC KAMA HIYO HUONI KAMA UNAWAKATISHA TAMAA WADOGO ZETU?

HALAFU KAMA KWELI HUJABUNI TOPIC MBONA WATU WANACHANGIA HUJIBU HATA MMOJA.

HUYU ANATU ENYOY HANA CHA Phd WALA NINI...ILA SEMA UNA IDEA NA HICHO KITU NA PIA UNA KAUWEZO WA KUTENGENEZA TOPIC ZA UONGO ZINAZOVUTA HISIA ZA WATU...ILA SIO VIZURI, COZ UNAKATISHA TAMAA WATU.

NCHI YETU BADO YAIJAFIKIA HIYO HATUA..,ILA NCHI KAMA NIGERIA SAWA.

JIBU HATA COMMENTS ZA WATU BASI KAMA NI KWELI.

ameshakula ban!
 
safiii docta,i salute you mkuu,mungu atakuongoza na utakula shavu la maana tu,tpbc wametangaza kazi za maana sana mkuu,hebu chungulia huko,huenda unaweza kupata na kupunguza machungu ya wazazi kukusomesha
 
YEREMIA 32:27

Tazama,mimi ni Bwana ,MUNGU wa wote wenye mwili;je? Kuna neno gumu lolote nisiloliweza?


ZABURI 46;10
Acheni,mjue ya kuwa MIMI ni MUNGU ,Nitatukuzwa katika MATAIFA ,nitatukuzwa katika Nchi.


😛ray2::amen:
 
Kaka mbona vyuo vikuu vipo Ww unatafuta kazi Gani wkt uzoefu huna? Pia tembelea taasisi mbalimbali za elimu ya juu na mwisho kabisa tumia vyeti Vya chini ya PhD, take it frm me.
 
JamiiForums.com Earn 10$ for every 30 second Task. Internet Job from home
 
Back
Top Bottom