Nina PhD natafuta kazi

Nina PhD natafuta kazi

Habari zenu ndugu zanguni,

Nimesoma B.A ya economics UD, kwa kuwa mzee wangu alikuwa ana kauwezo mdogo akanishauri nisome masters. Nilipokuwa nasoma Masters niliona tangazo la PhD scholarship ya DAAD-Germany, nikaomba kwa bahati nzuri nikapata hivyo baada ya kumaliza masters nikaenda kusoma Hamburg Ujerumani. Hivi sasa ninapoongea nina PhD ya business administration management na kwa bahati mbaya sana hamna tangazo la kazi wanalotaka mtu mwenye PhD asiye na experience hata kidogo, nimechanganyikiwa mpaka najuta kusoma.

Huu ni mwaka wa pili natafuta ajira, niliomaliza nao degree ya kwanza hivi sasa wana maisha mazuri namimi hali yangu haieleweki. Na wazazi uwezo wao kiuchumi umepungua sana hiyvo hawawezi kunipa hata mtaji nikafanye biashara, maisha haya jamani, sijui ninamfundisha nini mdogo wako anayenifata?

MKINIPA MAWAZO YA KUJENGA NTAWASHUKURU ZAIDI.

aisee! kumbe ni wewe MCHUNGUZI HURU!
 
Last edited by a moderator:
Kaka kazi ni chache,kama mzazi wako ana uwezo anzisha kampuni ya ushauri huko ndio kuna kuvuna pesa au ukafundishe,usitake kuajiriwa ,kuajiriwa ni UTUMWA elimu yako inakufanya uwe boss mwenyewe jiajiri mwenyewe.
 
Habari zenu ndugu zanguni,

Nimesoma B.A ya economics UD, kwa kuwa mzee wangu alikuwa ana kauwezo mdogo akanishauri nisome masters. Nilipokuwa nasoma Masters niliona tangazo la PhD scholarship ya DAAD-Germany, nikaomba kwa bahati nzuri nikapata hivyo baada ya kumaliza masters nikaenda kusoma Hamburg Ujerumani. Hivi sasa ninapoongea nina PhD ya business administration management na kwa bahati mbaya sana hamna tangazo la kazi wanalotaka mtu mwenye PhD asiye na experience hata kidogo, nimechanganyikiwa mpaka najuta kusoma.

Huu ni mwaka wa pili natafuta ajira, niliomaliza nao degree ya kwanza hivi sasa wana maisha mazuri namimi hali yangu haieleweki. Na wazazi uwezo wao kiuchumi umepungua sana hiyvo hawawezi kunipa hata mtaji nikafanye biashara, maisha haya jamani, sijui ninamfundisha nini mdogo wako anayenifata?

MKINIPA MAWAZO YA KUJENGA NTAWASHUKURU ZAIDI.

Huna akili pamoja na PHD yako
 
Hongera kwa kupata ajira Mkuu
 
PhD sio kigezo cha ajira...utasota sana na hilo li PhD lako
 
kazi mbona nyingi sana mkuu we nenda kashike chaki, vyuo kibao sku hizi, labda kama hautaki chaki.
anzisha kampuni tu acha kuhangaika, wala hauhitaji mtajimkubwa, unaanzia chini kwenda juu.
 
duh aiseeeeeee tafuta chuo cha kufundisha botswana au namibia.......ingia kwenye web site ya vyuo vya botswana au namibia. utatoka
 
Alifanya update mapema leo asubuhi na kuandika hivi, " Nashukuru sana kwa mawazo yenu wakuu, nimepata kazi katika moja ya taasisi za elimu ya juu kama lecturer. Mbarikiwe sana."
Last edited by MCHUNGUZI HURU; Today at 07:31.

we BAK mbona sijaona mahali aliposema amepata ajira? ....

Hongera sana ndugu kwa kupata kazi..! Nakutakia kila la heri kwenye hiyo kazi yako..!
 
Pole sana kaka ungekua leture sema gpa yako ndo hilo ndo tatizo kaka ungefikisha 3.5 angalau ungepata kufundisha kwa baadhi ya vyuo cha msingi tafuta research instution au bodi za statitics finally ukishindwa tumia cheti cha masters au undergraduate kuombea kaz
 
Duh! ndio maana jamaa alianzisha thread kuhoji mishahara ya ma-secret agent, kumbe ilikuwa ni kupima upepo wa maslahi.
 
Back
Top Bottom