Nina PhD natafuta kazi

Nina PhD natafuta kazi

shwari, mleta mada alikuwa ni mwingine kabisa kama sijasahau!
Kumbe una ID nyingi hivi mkuu?

Ukiwa hauna shughuli za kufanya inatakiwa unafungua ID nyingi kisha unapost vitu vya kishenzi na vya busara ila kwasasa nimeacha mkuu.
 
Hahahahaaaa!!

Ila mkuu sema ukweli, najua huna Phd kabisa, ile ilikuwa zuga tu kama vile foolish age!

Uongo bro? Hii ID yako ya mchunguzi ilikuwaga kwenye ban ya muda mrefu,

Najua kabisa ulikuwa ukifurahisha jukwaa, ila huna Phd!

Uongo?Phd kwei mkuu?
 
Habari zenu ndugu zanguni,

Nimesoma B.A ya economics UD, kwa kuwa mzee wangu alikuwa ana kauwezo mdogo akanishauri nisome masters. Nilipokuwa nasoma Masters niliona tangazo la PhD scholarship ya DAAD-Germany, nikaomba kwa bahati nzuri nikapata hivyo baada ya kumaliza masters nikaenda kusoma Hamburg Ujerumani. Hivi sasa ninapoongea nina PhD ya business administration management na kwa bahati mbaya sana hamna tangazo la kazi wanalotaka mtu mwenye PhD asiye na experience hata kidogo, nimechanganyikiwa mpaka najuta kusoma.

Huu ni mwaka wa pili natafuta ajira, niliomaliza nao degree ya kwanza hivi sasa wana maisha mazuri namimi hali yangu haieleweki. Na wazazi uwezo wao kiuchumi umepungua sana hiyvo hawawezi kunipa hata mtaji nikafanye biashara, maisha haya jamani, sijui ninamfundisha nini mdogo wako anayenifata?

MKINIPA MAWAZO YA KUJENGA NTAWASHUKURU ZAIDI.
.......................................
UPDATE: Nashukuru sana kwa mawazo yenu wakuu, nimepata kazi katika moja ya taasisi za elimu ya juu kama lecturer. Mbarikiwe sana

Ya kigogo au kwa macheni PhD?
 
Ndugu, hali inayokupata hata mimi iliwahi nikuta. Nilikaa miaka miwili baada ya kumalza Advanced Diploma .Usikate tama. Kama hajajaribu kuomba Open Uniersity jaribu pia maana wanacentre kila mkoa. Kapata habari zaidi tembelea mtandao ufuatao:- www.out.ac.tz . Kwakuwa un PhD ninadhani utakuwa na uzoefu wa kuandika research proposal. Unaweza Tembelea ofisi zao hapa mikocheni unaweza kufanikiwa Ushauri mwingine , unaweza kungalia tanga la (RFA) au concept note ukaandika mrad ikbaki niktafuta NGO ya kupitia kutekeleza mrad huo. Kukiwana CV ya PhD ninaimani utafanikiwa
Aksante
 
PhD? Jishughulishe na research kama freelance researcher
 
Habari zenu ndugu zanguni,

Nimesoma B.A ya economics UD, kwa kuwa mzee wangu alikuwa ana kauwezo mdogo akanishauri nisome masters. Nilipokuwa nasoma Masters niliona tangazo la PhD scholarship ya DAAD-Germany, nikaomba kwa bahati nzuri nikapata hivyo baada ya kumaliza masters nikaenda kusoma Hamburg Ujerumani. Hivi sasa ninapoongea nina PhD ya business administration management na kwa bahati mbaya sana hamna tangazo la kazi wanalotaka mtu mwenye PhD asiye na experience hata kidogo, nimechanganyikiwa mpaka najuta kusoma.

Huu ni mwaka wa pili natafuta ajira, niliomaliza nao degree ya kwanza hivi sasa wana maisha mazuri namimi hali yangu haieleweki. Na wazazi uwezo wao kiuchumi umepungua sana hiyvo hawawezi kunipa hata mtaji nikafanye biashara, maisha haya jamani, sijui ninamfundisha nini mdogo wako anayenifata?

MKINIPA MAWAZO YA KUJENGA NTAWASHUKURU ZAIDI.
.......................................
UPDATE: Nashukuru sana kwa mawazo yenu wakuu, nimepata kazi katika moja ya taasisi za elimu ya juu kama lecturer. Mbarikiwe sana

Aisee! Hii ilikua maajabu sana!
 
Jamani huyu jamaa ndo ametoka shule and kwa vile siyo mjanja hawezi kuji expose kwa wasomi ndio hivyo tena so mpeni ushauri mambo ya kuanza kumshambulia siyo ustaarabu,endelea kwenda vyuoni utapata kazi ndani ya wiki mbili kaka pole sana MUNGU ATAKUSAIDIA.
 
Tufungue bness consulting firm pia itakuwa na sehemu ya general supply so tupige pesa
 
Haya mambo ya kusoma sana sometimes unawaogopesha hata waajiri wenyewe!!
 
mmmh mkuu, ata kufungua kajikibanda na kuwa bussines consultant nayo imekushinda,,,biashara nyng hapa mjini zinaitaj iyo huduma,, mbona ata siyo gharama (mtaji) kias icho,,start from scratch itakugrow na kuwa kampuni kubwa kama huduma yako ni nzuri and yes kama huko vizur upstairs. otherwise itabidi usubiri sana ajira, maana ata watu wa kukufanyia interview nao hatuna (aaahh kidding)
 
Nina imani vyuo vingi sana wanataka kujitegemea (full fledged), na kati ya vigezo muwe angalau na waaliimu wenye PHD kiasi flan soo jaribu kufatilia utapata tu.
 
mkuu, mtoa mada tayari ameishapata kazi--soma updates zake hapo juu.
 
Habari zenu ndugu zanguni,

Nimesoma B.A ya economics UD, kwa kuwa mzee wangu alikuwa ana kauwezo mdogo akanishauri nisome masters. Nilipokuwa nasoma Masters niliona tangazo la PhD scholarship ya DAAD-Germany, nikaomba kwa bahati nzuri nikapata hivyo baada ya kumaliza masters nikaenda kusoma Hamburg Ujerumani. Hivi sasa ninapoongea nina PhD ya business administration management na kwa bahati mbaya sana hamna tangazo la kazi wanalotaka mtu mwenye PhD asiye na experience hata kidogo, nimechanganyikiwa mpaka najuta kusoma.

Huu ni mwaka wa pili natafuta ajira, niliomaliza nao degree ya kwanza hivi sasa wana maisha mazuri namimi hali yangu haieleweki. Na wazazi uwezo wao kiuchumi umepungua sana hiyvo hawawezi kunipa hata mtaji nikafanye biashara, maisha haya jamani, sijui ninamfundisha nini mdogo wako anayenifata?

MKINIPA MAWAZO YA KUJENGA NTAWASHUKURU ZAIDI.
.......................................
UPDATE: Nashukuru sana kwa mawazo yenu wakuu, nimepata kazi katika moja ya taasisi za elimu ya juu kama lecturer. Mbarikiwe sana

Aisee. this issue is very serious
 
Back
Top Bottom