Nina hasira na wife, ushauri wenu please

Nina hasira na wife, ushauri wenu please

Taratibu za zama za mawe zinakufutwa mapenzi ni win situation sio kutesana mtu mzima wa viungo wataka kumgeuza mwenzako msukule?
Sorry ,sitaki kuendelea sana na huu mjadala but hayo mambo ya win win situation kwa Afrika bado sana,tunaitaji maybe vizazi vingine vitatu vijavyo mbeleni ndio tunaeza jadili hayo mambo but sisi ambao tulishazoea kuona hizi tamaduni zetu na kuziexperience kwa mtazamo kama wa mtoa mada ni ngumu sana kutuaminisha tofauti. Cha msingi uyo dada akitaka kulinda ndoa yake afanye hayo mumewe anayoona ni haki yake kufanyiwa la sivyo ndoa itakufa hiyo.
 
Kimeumana
Wanataka kutuvurugia soko tena STD seven[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareeeh tupu.
 
Yawezekana Kuna kitu alimkosea wife wake ndipo akabadilika na tunavyojua kununa na kutojali habari ya mume na heka heka zake,, cha kufanya me ambembeleze tu vinginevyo wataishia kubaya,,

halafu inakuwaje hujatengewa maji na mkeo kabla hujamuuliza huko unakuja mtandaoni kutafuta huruma,,, kusema ukweli wanaume wa siku hizi Ni mafurushi Tena ya nguo chafu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mafurushi ya nguo chafu? Lol
 
Una madai ya kijinga, unataka akufulie nguo wewe huna mikono, eti akutengee maji wewe ni kiwete, acha uvivu tafuta hela, bila haya wataka ufuliwe maji yako ya kuoga hutaki kubeba mpaka umtese mkeo hujui ulezi ni kazi?
Acha uvivu aisee
umtese mkeo ujui ulezi ni kazi.......???? haaa kwa kipi maji bafuni ya kuoga????? hawa wanawake kweli nmashetani.
 
Hapo kwenye kuwekewa maji ya kuoga..
Naona sio big deal. Alafu si una miguvu ubebe ndoo yako ya maji ukaoge? Au weka tuu bomba bafuni kuua mzizi wa fitina..
Ufuliwe, upikiwe, bado maji ya kuoga uone ishu?
 
Una madai ya kijinga, unataka akufulie nguo wewe huna mikono, eti akutengee maji wewe ni kiwete, acha uvivu tafuta hela, bila haya wataka ufuliwe maji yako ya kuoga hutaki kubeba mpaka umtese mkeo hujui ulezi ni kazi?
Acha uvivu aisee
Yaani kanimaliza, kuna wanaume wakioa wanaona wamepata kijakazi cha kumtumikisha ndani..
Mambo ya kuchakazana kwa lazima.. afanye tuu mwenyewe vitu visivyo lazima kufanyiwa.. eg maji ya kuoga.
Atawachotea wangapi? I sayyy. Sio poa kabisa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareeeh tupu.
Wanataka weka dosari soko letu STD seven wakati tulikubaliana sisi ndio wife material [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani kanimaliza, kuna wanaume wakioa wanaona wamepata kijakazi cha kumtumikisha ndani..
Mambo ya kuchakazana kwa lazima.. afanye tuu mwenyewe vitu visivyo lazima kufanyiwa.. eg maji ya kuoga.
Atawachotea wangapi? I sayyy. Sio poa kabisa
Hapo ukute mkewe ana mtoto mchanga.
Yaani ahangaike huku na mtoto,huku na mtu mzima mwenye mikono ila hataki kuitumia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na badala atafute suluhu na mkewe eti anauliza huku.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Halafu Sasa malalamiko yake ndio yaliyoniacha hoi zaidi
Anacholalamikia Yuko sahihi ila kuleta humu kabla ya kuongea na wife imeniboa na isitoshe Ni ishu nyepesi mno hii, inaonekana jamaa Ni mchelemchele/nyolonyolo tu huyu
 
Back
Top Bottom