Mahunda Jr
Member
- Apr 5, 2020
- 76
- 108
Safir kw muda kapunzik huko na enjoy life then rudi endelea na Maisha. Haki nakuambia hayo usemayo wanapitia wanaume wengi mno ila tu hawana pa kusemea.
Kila mwanaume anazo sababu ambazo hufany amkasirikie mke wake baadh ni
Uongo
Uchafu
Umbea
Mapish
Wivu wa kijinga
Kuigiza maisha
Mke kutorifhik
Uchoyo
Kutokuwa msikivu
Nk
Haya ni baadh ya mambo ambay yanafany mme kukasirik hasa ikiwa mke hajirekebish.