Jizazi [emoji51][emoji51][emoji51]Muuue
Huwezi jua jamaa ni mkungaHuwa nakereka sana mwanaume mwenzangu anapotumia maneno, "nimemzalisha mwanamke fulani..." Shubamiiiit
Peleka moto mpelekee moto..Nimepata borner aisee kwa ajili ya hii commentMpelekee moto mpelekee moto
Hii ndio shida mkuu.. Piga chini.. Katafte wa "Akilini"NISHAACHA UJINGA JAPO HATA YEYE NILIMPATIA UJINGANI
[emoji1787][emoji1787] Sasa kumbeUnaoga na maji ya kwenye beseni?
Una madai ya kijinga unataka akufulie nguo wewe huna mikono, eti akutengee maji wewe ni kiwete acha uvivu tafta hela, bila haya wataka ufuliwe maji yako ya kuoga hutaki kubeba mpaka umtese mkeo hujui ulezi ni kaxi?
Acha uvivu aisee
Na wewe siku moja unataman uolewe?Una madai ya kijinga unataka akufulie nguo wewe huna mikono, eti akutengee maji wewe ni kiwete acha uvivu tafta hela, bila haya wataka ufuliwe maji yako ya kuoga hutaki kubeba mpaka umtese mkeo hujui ulezi ni kaxi?
Acha uvivu aisee
Katika haya maisha hamna utajiri ushindao amani ya nafsiShida watoto mamaa
Hujakutana na mke kisirani rafiki yangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umekua Mkenya Maana, wanaume wakenya wakiona kimeumana anatoka anamuachia mwanamke nyumba
Yawezekana Kuna kitu alimkosea wife wake ndipo akabadilika na tunavyojua kununa na kutojali habari ya mume na heka heka zake,, cha kufanya me ambembeleze tu vinginevyo wataishia kubaya,,Umegundua hapo tatizo ni mwanamke kwamba mwanaume hana sauti kwa mkewe shida inaanzia hapo kwanza
Mwanaume inaonekana anajishusha sana ila mke haeleweki
Anatakiwa asimame kama mwanaume
Yani mke na mume hawatakiwi kutoka kwenda kujadili maswala ya ndoa yao?Labda kama hachepuki yaani hii approach atakuona boya na unamwogopa. Hapa ndo unakuta mwanaume ndo utaanza kuomba msamaha hata kama kosa nila mkeo. Mark my words!
Labda jamaa huende alimuuliza LakinYawezekana Kuna kitu alimkosea wife wake ndipo akabadilika na tunavyojua kununa na kutojali habari ya mume na heka heka zake,, cha kufanya me ambembeleze tu vinginevyo wataishia kubaya,,
halafu inakuwaje hujatengewa maji na mkeo kabla hujamuuliza huko unakuja mtandaoni kutafuta huruma,,, kusema ukweli wanaume wa siku hizi Ni mafurushi Tena ya nguo chafu
MafurushiYawezekana Kuna kitu alimkosea wife wake ndipo akabadilika na tunavyojua kununa na kutojali habari ya mume na heka heka zake,, cha kufanya me ambembeleze tu vinginevyo wataishia kubaya,,
halafu inakuwaje hujatengewa maji na mkeo kabla hujamuuliza huko unakuja mtandaoni kutafuta huruma,,, kusema ukweli wanaume wa siku hizi Ni mafurushi Tena ya nguo chafu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mpelekee moto mpelekee moto
Naona humu vi vita ya kina baba na kina mama.kumekucha kumekucha.