Nina hasira na wife, ushauri wenu please

Inamàana wewe ni mwezi tu Mimi mwenzio nilipomuoa alinipelekea maji bafuni wiki moja tu , chumban wiki moja tu , Hadi saivi tuna miezi 5 lkn ndoa ni Moto heri yako wewe mwezi
 
Anacholalamikia Yuko sahihi ila kuleta humu kabla ya kuongea na wife imeniboa na isitoshe Ni ishu nyepesi mno hii, inaonekana jamaa Ni mchelemchele/nyolonyolo tu huyu
Ndiyo
Ilitakiwa aongee na mwenzie kwanza mambo madogo Kama haya ni ya kuyatatua tu.
 
Wandugu mimi ni mfanyakazi katika taasisi binafsi ya elimu, nna mke na watoto wawili, nimeishi na mke wangu Sasa mwaka wa 4 baada ya kumzalisha baadae nikamchukua awe mke wangu,

Mwaka Jana mwishoni nlilipa mahari kiasi Cha tsh 1.5m na tumeishi maisha ya amani mpaka leo ila Ana matatizo haya ndio yamenifanya niwaone wakuu:

Mosi, huwa anapata wakati mgumu kunijibu ninapomuuliza kitu

Pili, ni muongo, anaweza kukueleza kwamba alikueleza kitu Fulani wakati hakusema kabisaaa

Tatu, amekuwa mvivu kunifulia hasa baada ya Mimi kufanya kufua nguo kipindi akiwa mgonjwa, now anahisi ni wajibu wangu kufua

Nne, Jambo la Mimi kuoga Wala usimuulize, nna Zaidi ya mwezi sijatengewa maji ya kuoga najitengea mwenyewe

Tano, anapenda Sana kunichunguza Kama nachepuka, juzi tumegombana kwa kusachi simu yangu japo hapakuwa na pa kunikamatia ila kuona sms ya mdada kanisalimia ilikuwa Vita.

Na hii ndio shida kuu, ananivizia usiku anasearch simu yangu Sana na sometime anawapigia wadada nilowasave namba zao, KEROOO

NATAMANI SANA AMANI LAKINI NAHISI ANATAFUTA SHIDA

NISHAACHA UJINGA JAPO HATA YEYE NILIMPATIA UJINGANI LAKINI NAHISI ATANIRUDISHA UJINGANI

USHAURI WENU PLEASE....
"ishi nao kwa akili" kuna ujumbe mzito sana kwenye hii verse. Jitahidi uuelewe!!!
 
Just reading your comment nikajua wewe bado una akili za kitoto ambazo by anyway huwez kumwongoza mwanamke mwenye akili timamu au hata mbuzi zizini,how on earth mwanaume ana make argument ya ugumu wa ndoa yake by justifying mahari aliyolipa kabla? Karne hii unasubiria kupelekewa maji bafuni hauna mikono? Wewe unadhan kazi ya mwanamke ni kukuwaza wewe everytime? Umeoa housegirl au msaidiz? Inawezekana huo ugumu anaoupata kwenye kujibu maswali yako ni kwa sababu una maswali na hoja za kitoto kiasi kwamba hata mtoto akikusikiliza hawezi ona point ya kukujibu.
In short wewe ni mvivu uliyejivika shuka la umwinyi.
 
Wandugu mimi ni mfanyakazi katika taasisi binafsi ya elimu, nna mke na watoto wawili, nimeishi na mke wangu Sasa mwaka wa 4 baada ya kumzalisha baadae nikamchukua awe mke wangu,

Mwaka Jana mwishoni nlilipa mahari kiasi Cha tsh 1.5m na tumeishi maisha ya amani mpaka leo ila Ana matatizo haya ndio yamenifanya niwaone wakuu:

Mosi, huwa anapata wakati mgumu kunijibu ninapomuuliza kitu

Pili, ni muongo, anaweza kukueleza kwamba alikueleza kitu Fulani wakati hakusema kabisaaa

Tatu, amekuwa mvivu kunifulia hasa baada ya Mimi kufanya kufua nguo kipindi akiwa mgonjwa, now anahisi ni wajibu wangu kufua

Nne, Jambo la Mimi kuoga Wala usimuulize, nna Zaidi ya mwezi sijatengewa maji ya kuoga najitengea mwenyewe

Tano, anapenda Sana kunichunguza Kama nachepuka, juzi tumegombana kwa kusachi simu yangu japo hapakuwa na pa kunikamatia ila kuona sms ya mdada kanisalimia ilikuwa Vita.

Na hii ndio shida kuu, ananivizia usiku anasearch simu yangu Sana na sometime anawapigia wadada nilowasave namba zao, KEROOO

NATAMANI SANA AMANI LAKINI NAHISI ANATAFUTA SHIDA

NISHAACHA UJINGA JAPO HATA YEYE NILIMPATIA UJINGANI LAKINI NAHISI ATANIRUDISHA UJINGANI

USHAURI WENU PLEASE....
Mpeleke polisi tu mkuu hakuna namna huo ni uhujumu wa ndoa kama uhujum wowote ule mkuu.ukishindwa ww mpandishe cheo awe mke mkubwa tu..
 
Kwani mwanaume kupika huku akiwa ameoa ni dhambi?
Nikijiskia ila sio jukumu langu. Jukumu langu ni kuleta hela na wewe kuhudumia nyumba sasa kama kuhudumia nyumba umeshindwa basi huna faida ndani ya nyumba
 
Na kama wote mnaleta hela nyumbani kwa pamoja?
 
Hapo ukute mkewe ana mtoto mchanga.
Yaani ahangaike huku na mtoto,huku na mtu mzima mwenye mikono ila hataki kuitumia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na badala atafute suluhu na mkewe eti anauliza huku.
Umeona eeeh? Hopeless kabisa. Wanadhani wanawake huwa hawachokagi, (na kazi za nyumbani).
 
Na kama wote mnaleta hela nyumbani kwa pamoja?
Hela ya mwanamke ni yake atumie atakavyo hela yangu ni ya wote na endapo hatotimiza majukumu yake kwa kisingizio cha yeye kuleta hela basi achague moja familia ama kazi either way sipati hasara yoyote. Msitake kubadilisha nature
 
Umeona eeeh? Hopeless kabisa. Wanadhani wanawake huwa hawachokagi, (na kazi za nyumbani).
Binafsi nachukia umwinyi sana.Ndoa nyingi nw days wanaume wanalalamika changamoto lakin ukiangalia kiundani vijana wengi sana wameandamwa na mambo ya kijinga na uvivu,mwanaume unakuta amekaa anabet mkewe anapika alafu anamwita ampelekee maji bafuni-This is bullshit.Since naoa biashara ya kuwekewa maji bafuni niliikata unless ni mgonjwa sana
 
Hela ya mwanamke ni yake atumie atakavyo hela yangu ni ya wote na endapo hatotimiza majukumu yake kwa kisingizio cha yeye kuleta hela basi achague moja familia ama kazi either way sipati hasara yoyote. Msitake kubadilisha nature
A person who is behaving this way is a Slave master and not a real husband.
 
Hapo hakuna mke narudia tena hakuna mke hapo

Piga chini huyo utanishukuru kwa muda wako siku za mbeleni.
 
Back
Top Bottom