Jinsi safari yangu ya mapenzi ilivyoanza na "jimama"

holy holm

JF-Expert Member
May 6, 2017
4,670
8,670
Habarini wa jf natumai mko wazima licha ya hii changamoto ya ugonjwa wa korona 19/21 chamsingi tuendele kujilinda pamoja na familia zetu.

Siku ya leo nimeona ni share pamoja nanyi hiki kisa ambacho kiliwai nipata mwaka 2013 mpaka 2014.Ni kisa kilicho sababisha maisha yangu kubadilika hasa kwenye swala zima la mahusiano.Mods please naomba msifute huu uzi maana kuna cha kujifunza hapa kupitia mimi.

Hiki kisa ni cha mahusiano yangu ya kimapenzi na mwanamke alie nizidi umri (jimama) nitaelezea ni wapi tulipokutana na uhusiano wetu kuanza pia na uhusiano wetu kuisha.Mimi sio mzuri sana wa kuandika but nitajitahidi ili nimalize hiki kwa sehemu mbili maana ni kirefu kidogo.

Mwaka 2006 nikiwa darasa la nne shule ya msingi Iringo performance yangu kimasomo ilikua chini sio chini sana but kila kukicha ilkua inazid kushuka.Tulikua tunaishi Musoma mjini mtaa wa iringo.nadhani uwezo wangu darasani kushuka ulichangiwa na Group la marafiki nilikuwa natembea nao so hii ilikua inamfanya mzee wangu kukasirika sana hata kula kichapo ikibidi.Aliamua kuniamisha shule akanipeleka shule aliyokua anafundisha yeye.Kiukweli uwezo wangu darasani ukaimarika sana kwenye top five ulkua hunikosi.Baada ya mzee wangu kuona uwezo wangu umerudi tena kama zamani aliamua kuama mtaa wa iringo ( madai yake kuwa una uhuni mwingi nadhani alkua ananiofia mimi) tuliamia mtaa wa mwisenge karibu na kwa mkuu wa mkoa Tulikua karibu na ziwa.Ilikua ni mwezi wa 7 2006 ndo tulitoka iringo.Sehemu tuliyohamia ilkua ni sehemu nzuri haina makelele kama iringo kiukweli kila mtu aliufurahia huo mtaa.

Hapo tulipohamia ndo hiki kisa changu kilipatikana.Moja wa majirani zetu tuliowakuta pale alikua ni huyo Mmama.Haiba yake huyo mama alikua ni mkarimu sana kwa majiran zake hata kwetu pia alikua mkarimu mno ukizingatia nyumba yetu ilkua inapakana na nyumba yake.Kiukweli huyo mmama alikua ni mwanamke alie jaaliwa na Mungu kwanzia sura mpaka umbo alikua kajazia sio sana lakin wowowo ilkua njema licha ya kuwa na watoto wakubwa wanaonizidi mbali sana lakini alikua hafananii na mwanamke mwnye watoto.Huo ndo ulkua mwanzo wa mimi kumuona huyo mmama (sito mtaja jina lake kumlindia heshima yake).

Mwaka 2007 kuna tukio nililifanya cjui hata nilikua na akili gani cku hyo.Ilkua ni tarh 31 disemba mwaka ulikua unaishia so mimi na akili zangu za kitoto nilibeba mawe kwenye mfuko wa rambo yalikua ni mawe ya kutosha alafu ilkua ni midaa ya sanne masaa mawili kuelekea mwaka mpya.siku hyo nilipanga kuwapiga mawe walevi (tulipokua tunaishi kulikua na bar moja maarufu kwa wakati huo) sasa mimi na akili zangu finyu nikasimama kwenye bustani ya huyo mmama nakuanza kurusha mawe kuelekea kwa hao walevi na wanywaji aisee mawe matano tu ya chapchapu yalitosha kuwa toa ngeu watu wawili nilivyosikia kelele za watu kulia nilikimbia kwenda ndani kuzuga kama nimelala baada ya dakika kama kumi nikackia nje watu wanabisha mlango nilivyomjinga nikatoka kuwafungilia mlango aisee walikua ni hao walevi na wafanyakazi wa hyo bar kumbe hyo Mmama ndo aliwaleta kumbe aliniona nikifanya hicho kitendo mzee aliamshwa kujakujibu mashtaka nilipigwa fimbo kumi na huyo Mmama fimbo za ukweli ziliniuma ila hatari.Kesi iliisha baada ya mzeee kukubali kuwalipia matibabu na kuwa fidia mwenye hyo bar kiasi alichotoa mwenyewe hata ckujua.

Huyu Mmama alikua ameolewa na mganga wa kienyeji nayeye alkua ndo mke wa pili kwa huyo mumewe ( mme wake ana wake watatu na wote kila mtu anaishi kwake) japokua mumewe alikua ni mdogo kwake lakini naamini walkua wanapendana alimnunulia mpka gari la kutembelea.Mumewe huyo alkua hakai nae sana ni mara chache sana ndo alikua anakuja analala usiku mmoja then anasepa zake labda hicho nacho ndo kilikua chanzo cha mimi nayeye kudate.

Huyu mmama baada ya kile kipigo alichonipga nilkua namuogopa hatar ila ckuacha kwenda kwake maana ndo ilkua sehemu yangu ya kuchezapo.Wakuu licha ya ukarimu wake huyu mama kitu kinacho itwa aibu alikua hana kabisa.nakumbuka mwaka 2011 alimuozesha mwane wa kike so harusi ikafungiwa msikitini sherehe ikafanyika nyumbani kwake cku hyo alimwaga radhi hadi wanawake wenzie wakawa wanamfunika kwa vitenge me mwenyewe ilinibidi niondoke maana Mama yangu alikua eneo hilo.kwenye swala la aibu yeye alikua hana

Uhusiano wetu ulianza kiutani balaa ilkua ni 2013 nikiwa form four miaka ndo na miaka 18 enzi hizo nyeto ndo imeshika kasi kwenye ubongo wangu mpka darsan uwezo ukawa unazidi kupungua nilkua hata sina wasiwasi na hilo.Siku hyo ilkua ni ijumaa tanesco walitoa tangazo la kuwa na tatizo la umeme kwa siku mbili jmosi na jpili.kwa mliaoishi msoma mnakubwa kuwa kukiwa hakuna umeme basi na maji vilevile yanakatika.

Basi tulikaa cku mbili hakuna umeme wala maji kitendo kilichosababisha watu waende ziwani kufua na kuchota maji.Huyo mmama cku hyo alituma mtoto aniite niinde kwake baada ya kwenda kwake nikakuta anafurushi kubwa la nguo za kwenda kufuliwa.Aliniomba ni msaidie kubeba mabeseni ya kufulia ili yeye na mfanyakazi wake wabebe zile nguo sikua na hiyana kidume mimi nilibeba natukaanza safari kwenda ziwani cha ajabu sasa badala kwenda ziwani sehemu ya watu wengi yeye alienda eneo ambalo halina watu kabisa karibu na kwa mkuu wa mkoa ( siku hizi watu hawaruhusiwi kuoga wala kufua).Basi tulivyofika ziwani kufua nilitaka kurudi home maana me kazi yangu ya kusindikiza ilikua imeisha ila alikataa nisiondoke kwa kisingizio cha kuwa saidia tena kubeba mabeseni wakati wa kurudi.Niseme tu ukweli nilkua nampenda huyo beki tatu wake vibaya mno ila sema tu udomo zege ndo ulikua unaniua (labda sababu ya Nyeto ) nilikaa pembeni nikawa mawaangalia wanavyofua macho yangu sana yalkua kwa huyo beki tatu (soph ndo jina la huyo beki tatu) baada ya muda wakawa wamemaliza kufua yule Mmma alimuuliza soph kama ataoga pale ziwani soph alikataa huyo mmama akamwambia unachoogopa nini ama unamuogopa Holly holm akacheka tu na kijibu hamna cha ajabu yule mmama akavua dera lake ilivae kangaa kusudi lake ilkua ni aoge kabisa ndo aondoke aisee nilivyoziona zile chuchu zake nilisimamisha hatare nikawa naangalia pembeni nilkua na muangalia kwa magepu ili asione kuwa mimi sina adabu lakini yeye ndo kwanza hata hajali (nilikua na aibu utadhani kama me ndo nilkua mtoto wa kike pale ).Aliniuliza akiwa amevaa kangaa tu kuwa unaoga nikamwambia hapana alinikomand mno niogee na mimi ili nisiende nyumbani kwtu mchafu.......

Nitakimalizia hiki kisa kukikucha saivi tuishie hapa kwanza.
 
Dah,mkuuuu ukiachilia mbali uandishi.

Ila KA-STORY KATAMU SANA
 
Back
Top Bottom