Nina hasira na wife, ushauri wenu please

Kama na ww utakuwa unatoa hela ya chakula, mavazi, matibabu, hela ya kodi n.k hayo unayosema yatawezekana.
Kwann wajibu wako unaita utumwa? Hayupo mwanaume aliyeoa halafu anajifulia nguo na kujipika. Ni bora nikufukuze niajiri beki 3.
Nikulishe, nikuvishe n.k halafu kazi yako inakuwa nini? Km sexy kuna wanawake wengi wanauza
achana nao hao wanawake wa kileo, wakifika age ya 32, wanakanyagana kwa Mwamposa kumtafuta mchawi
wanadhani ndoa ni kutoa papuchi tu
 
Kama na ww utakuwa unatoa hela ya chakula, mavazi, matibabu, hela ya kodi n.k hayo unayosema yatawezekana.
Kwann wajibu wako unaita utumwa? Hayupo mwanaume aliyeoa halafu anajifulia nguo na kujipika. Ni bora nikufukuze niajiri beki 3.
Nikulishe, nikuvishe n.k halafu kazi yako inakuwa nini? Km sexy kuna wanawake wengi wanauza
Kama hata sex unaeza nunua kwa malaya we nae utajiita mume.
Ndoa ni namna mnavyoshibana na mwenza wako kama kwako ishu ni pesa sikuizi hata mwanamke analeta pesa ndani sasa sijui akinunua vya ndani we jpo teyari kuwa mtumwa

Kingsmann
 
Una madai ya kijinga, unataka akufulie nguo wewe huna mikono, eti akutengee maji wewe ni kiwete, acha uvivu tafuta hela, bila haya wataka ufuliwe maji yako ya kuoga hutaki kubeba mpaka umtese mkeo hujui ulezi ni kazi?
Acha uvivu aisee
Dah!

Kama umeolewa, basi umekamata pasiwedi zote za mmeo. Naona jinsi anavyofokewa.

Yaani unataka mme aishi kama alivyokuwa bachala, yaani kwa mke apate papuchi tu!?
 
Mnataka haki sawa ila majukumu hamtaki. Hela ya chakula, matibabu, ada ya shule, mavazi n.k anatoa mwanaume.
Wanaume wote ni km wa baba mmoja. Hayupo mwanaume atakayekuwa anafua nguo au kupika wakati ameoa. Ukitaka mwanaume atakayekuwa anapika, kufua nguo n.k hakikisha umemuumba mwenyewe halafu umemtolea ubongo la sivyo atakugeuka na ataoa mwanamke mwingine.
Siyo utumwa kila mtu ana majukumu yake ktk ndoa.
Mimi kufua nguo eti heshima ni ujinga huo aisee, nunua machine ya kufua uanaume haupimwi kwa kugeuza mwanamke wako cheap labor
 
Dah!

Kama umeolewa, basi umekamata pasiwedi zote za mmeo. Naona jinsi anavyofokewa.

Yaani unataka mme aishi kama alivyokuwa bachala, yaani kwa mke apate papuchi tu!?
Baby wangu Hana Mambo ya umwinyi na umangi Meza aisee, na tunaelewana
 
Siyo cheap labour. Hayo ni majukumu yaliyomo kwenye ndoa. Mume ana majukumu yake ya kuhakikisha mkewe anakula, kuvaa, kulipa kodi n.k hivyo mke pia ana majukumu yake ya kufanya usafi (anafua nguo, kuosha vyombo, kufagia nyumba n.k) na kulea watoto.
Ukitaka usifanye hayo hakikisha hauolewi ktk maisha. Mwanaume anakutuma maji ya kunywa, na ww unatuma beki 3. Hayupo mwanaume atakaye kubali hili.
Siku ukiamua kuolewa hakikisha unatoa hela ya chakula, mavazi n.k yaani popote pale kwenye shida unatoa pesa
Mimi kufua nguo eti heshima ni ujinga huo aisee, nunua machine ya kufua uanaume haupimwi kwa kugeuza mwanamke wako cheap labor
 
Hawa wanawake wapo wengi sana kwa sasa tena wanazidi kuongeza huku wakilalamika hawaolewi. Yule mama wa mlima wa moto, alikuwa anawakusanya wengi sana.
Kuna mwanamke mmoja alikuwa na tabia hizi hizi mbishi, anakuja kwangu hata km akikukuta unapika hataki kukusaidia, hana shukurani. Muda wote yy kujiombeleza pesa. Nikapiga chini, na sitaki mazoea kbsa. Nishapata mwanamke mwingine yupo safi na ninategemea kumuoa muda siyo mrefu
Dah!

Kama umeolewa, basi umekamata pasiwedi zote za mmeo. Naona jinsi anavyofokewa.

Yaani unataka mme aishi kama alivyokuwa bachala, yaani kwa mke apate papuchi tu!?
 
Siyo cheap labour. Hayo ni majukumu yaliyomo kwenye ndoa. Mume ana majukumu yake ya kuhakikisha mkewe anakula, kuvaa, kulipa kodi n.k hivyo mke pia ana majukumu yake ya kufanya usafi (anafua nguo, kuosha vyombo, kufagia nyumba n.k) na kulea watoto.
Ukitaka usifanye hayo hakikisha hauolewi ktk maisha. Mwanaume anakutuma maji ya kunywa, na ww unatuma beki 3. Hayupo mwanaume atakaye kubali hili.
Siku ukiamua kuolewa hakikisha unatoa hela ya chakula, mavazi n.k yaani popote pale kwenye shida unatoa pesa
Mbona hata wanawake tunatoa fedha na kununua vitu vingi tu nyumbani na hela tunazo vilevile, Mimi msimamo wangu siwezi laumu mtu kuwa hajafanyaya jambo wakati mwenyewe naweza kufanya huo ni uwehu.
 
Mafurushi
Ya nguo chafu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Wanatuchosha tu maana hii ishu Ni nyepesi angemuuliza mkewe Sasa hapa tutatoa ushauri kwa kutabiri tu,,,,
 
Bado haujaingia kwenye ndoa ndiyo maana unachukulia mambo kirahisi sana.
Kama umezaliwa na kupata malezi ya baba na mama mpaka umefika umri wa kujitegemea wala huwezi kuona mwanamke akimfulia mumewe nguo ni utumwa.
Ila km umepata malezi ya upande mmoja utaona yote haya ni utumwa.
Wanaume tabia zetu ni zile zile hata ukija kuolewa na nani lazima utampikia chakula, utafanya usafi ndani, kumfulia nguo na utatoa papuchi bila kumpangia.
Huyo mwanaume atakayekuoa halafu anajifulia nguo, siku ndugu zake hasa mama yake akimkuta anajifulia nguo lazima wakitimue na watahakikisha ndoa yenu inasambaratika. Huu ni mwendelezo wa kizazi ni sawa na ww ukimkuta mtoto wako wa kiume ameoa lakini anajifulia nguo, anajipikia, anafagia na anapiga deki. Hakika huyo mke wa mwanao huwezi kumuacha aolewe na mwanao
Kama hata sex unaeza nunua kwa malaya we nae utajiita mume.
Ndoa ni namna mnavyoshibana na mwenza wako kama kwako ishu ni pesa sikuizi hata mwanamke analeta pesa ndani sasa sijui akinunua vya ndani we jpo teyari kuwa mtumwa

Kingsmann
 
Dawa ya mke mvivu kufua, ni kuleta pisi kali kabisaa ije ikufulie, hapo ataomba pooi tu😂😂😂😂
 
Bado haujaingia kwenye ndoa ndiyo maana unachukulia mambo kirahisi sana.
Kama umezaliwa na kupata malezi ya baba na mama mpaka umefika umri wa kujitegemea wala huwezi kuona mwanamke akimfulia mumewe nguo ni utumwa.
Ila km umepata malezi ya upande mmoja utaona yote haya ni utumwa.
Wanaume tabia zetu ni zile zile hata ukija kuolewa na nani lazima utampikia chakula, utafanya usafi ndani, kumfulia nguo na utatoa papuchi bila kumpangia.
Huyo mwanaume atakayekuoa halafu anajifulia nguo, siku ndugu zake hasa mama yake akimkuta anajifulia nguo lazima wakitimue na watahakikisha ndoa yenu inasambaratika. Huu ni mwendelezo wa kizazi ni sawa na ww ukimkuta mtoto wako wa kiume ameoa lakini anajifulia nguo, anajipikia, anafagia na anapiga deki. Hakika huyo mke wa mwanao huwezi kumuacha aolewe na mwanao
Tatizo lako unaongea kwa mihemuko sana me sijasema mwanamke ukiolewa usifue o kumpikia mumeo la hasha hizo ni kazi za kawaida kwa mwanamke lakini mume pia anao uwezo wa kumsaidia mkewe kwa upendo tu na mahaba yake na si kumuachia kila kitu mwanamke kama mtumwa kisa ndoa by the way niko kwa ndoa na mr hana shida kwakweli juu ya kusaidizana kazi akiwa na mda

Kingsmann
 
Siyo mhemuko huo ndiyo uhalisia. Na tumeyaona toka kwa babu na bibi, mama na baba na ndiyo tunayaendeleza.
Tatizo la wanawake wengi ukisema umsaidie kazi anachukulia km ni wajibu wako. Umeamka asubuhi unasema nikusaidie, hakika hiyo kazi haitafanyika 100%. Sisi wanaume huwa tunapenda kusaidia bila kuambiwa yaani hapa unaona, ninatakiwa kumsaidia mke wangu. Nimeingia ndani au nimetulia unaniambia nijifulie nguo, hilo jicho nitakalo kuangalia

Punguza hasira, zungumza nae mwambie kinachokukwaza, asipoelewa rudi ujingani. Kuishi nyumba moja na mke mwenye makelele ningekuwa mwanaume ningeikimbia tu
Noelia Noelia, Noelia!
 
Wandugu mimi ni mfanyakazi katika taasisi binafsi ya elimu, nna mke na watoto wawili, nimeishi na mke wangu Sasa mwaka wa 4 baada ya kumzalisha baadae nikamchukua awe mke wangu,

Mwaka Jana mwishoni nlilipa mahari kiasi Cha tsh 1.5m na tumeishi maisha ya amani mpaka leo ila Ana matatizo haya ndio yamenifanya niwaone wakuu:

Mosi, huwa anapata wakati mgumu kunijibu ninapomuuliza kitu

Pili, ni muongo, anaweza kukueleza kwamba alikueleza kitu Fulani wakati hakusema kabisaaa

Tatu, amekuwa mvivu kunifulia hasa baada ya Mimi kufanya kufua nguo kipindi akiwa mgonjwa, now anahisi ni wajibu wangu kufua

Nne, Jambo la Mimi kuoga Wala usimuulize, nna Zaidi ya mwezi sijatengewa maji ya kuoga najitengea mwenyewe

Tano, anapenda Sana kunichunguza Kama nachepuka, juzi tumegombana kwa kusachi simu yangu japo hapakuwa na pa kunikamatia ila kuona sms ya mdada kanisalimia ilikuwa Vita.

Na hii ndio shida kuu, ananivizia usiku anasearch simu yangu Sana na sometime anawapigia wadada nilowasave namba zao, KEROOO

NATAMANI SANA AMANI LAKINI NAHISI ANATAFUTA SHIDA

NISHAACHA UJINGA JAPO HATA YEYE NILIMPATIA UJINGANI LAKINI NAHISI ATANIRUDISHA UJINGANI

USHAURI WENU PLEASE....
We naye, sasa utampata wapii mwanamke asiye na vijitabia hivyo!? Tena wewe mwenyewe unajua ulipompatia...sasa kipya ni kipi hapo!?
Kuwa kidume, asipokuwekea maji, msubirie muda mfupi kabla ya kulala mdai maji ya kuoga tena ya moto! Akibisha ww piga push up kama zote! Ukimaliza kupiga pushapu, mwambie tena akuwekee maji bafuni! Akikataa ww panda kitandani ukiwa na mijasho yako na kikwapa kama chote vile, lala kitandani na ujifunike naye shuka! Fanya hivyo uone kama kuna siku atasahau kukupelekea maji bafuni!
Kuhusu kufua nguo jiongeze ebo!
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Siyo mhemuko huo ndiyo uhalisia. Na tumeyaona toka kwa babu na bibi, mama na baba na ndiyo tunayaendeleza.
Tatizo la wanawake wengi ukisema umsaidie kazi anachukulia km ni wajibu wako. Umeamka asubuhi unasema nikusaidie, hakika hiyo kazi haitafanyika 100%. Sisi wanaume huwa tunapenda kusaidia bila kuambiwa yaani hapa unaona, ninatakiwa kumsaidia mke wangu. Nimeingia ndani au nimetulia unaniambia nijifulie nguo, hilo jicho nitakalo kuangalia
[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Wandugu mimi ni mfanyakazi katika taasisi binafsi ya elimu, nna mke na watoto wawili, nimeishi na mke wangu Sasa mwaka wa 4 baada ya kumzalisha baadae nikamchukua awe mke wangu,

Mwaka Jana mwishoni nlilipa mahari kiasi Cha tsh 1.5m na tumeishi maisha ya amani mpaka leo ila Ana matatizo haya ndio yamenifanya niwaone wakuu:

Mosi, huwa anapata wakati mgumu kunijibu ninapomuuliza kitu

Pili, ni muongo, anaweza kukueleza kwamba alikueleza kitu Fulani wakati hakusema kabisaaa

Tatu, amekuwa mvivu kunifulia hasa baada ya Mimi kufanya kufua nguo kipindi akiwa mgonjwa, now anahisi ni wajibu wangu kufua

Nne, Jambo la Mimi kuoga Wala usimuulize, nna Zaidi ya mwezi sijatengewa maji ya kuoga najitengea mwenyewe

Tano, anapenda Sana kunichunguza Kama nachepuka, juzi tumegombana kwa kusachi simu yangu japo hapakuwa na pa kunikamatia ila kuona sms ya mdada kanisalimia ilikuwa Vita.

Na hii ndio shida kuu, ananivizia usiku anasearch simu yangu Sana na sometime anawapigia wadada nilowasave namba zao, KEROOO

NATAMANI SANA AMANI LAKINI NAHISI ANATAFUTA SHIDA

NISHAACHA UJINGA JAPO HATA YEYE NILIMPATIA UJINGANI LAKINI NAHISI ATANIRUDISHA UJINGANI

USHAURI WENU PLEASE....
Wewe ndio umebadilika badili myenendo yako utampata mke wako....!

Alafu sio umemzalisha,sema tulifanikiwa kupata mtoto au Mungu alitujalia kupata mtoto,kabla hatujafunga ndoa...
 
Mkuu hayo ni matatizo ya kawaida sana

Kuhusu nguo nakushauri fua mwenyewe kama upo busy basi peleka dry cleaner au Leta mtu aje kukufulia hapo nyumbani

Kuhusu kutengewa maji naona hapo punguza uvivu kaka, Kwa nini unataka kutengewa maji?? Wewe una shidaa gani? Au funga Bomba la Mvua

Kuhusu kukupekua simu nadhani hapo weka password na kama mkeo hana kazi basi mtafutie kazi

Hayo ni mambo ya kawaida tu. Sijaona cha ajabu hapo. Tukikusimulia yakwetu utakimbia
 
Una madai ya kijinga, unataka akufulie nguo wewe huna mikono, eti akutengee maji wewe ni kiwete, acha uvivu tafuta hela, bila haya wataka ufuliwe maji yako ya kuoga hutaki kubeba mpaka umtese mkeo hujui ulezi ni kazi?
Acha uvivu aisee
Upo siriazi au unatania??
 
Wandugu mimi ni mfanyakazi katika taasisi binafsi ya elimu, nna mke na watoto wawili, nimeishi na mke wangu Sasa mwaka wa 4 baada ya kumzalisha baadae nikamchukua awe mke wangu,

Mwaka Jana mwishoni nlilipa mahari kiasi Cha tsh 1.5m na tumeishi maisha ya amani mpaka leo ila Ana matatizo haya ndio yamenifanya niwaone wakuu:

Mosi, huwa anapata wakati mgumu kunijibu ninapomuuliza kitu

Pili, ni muongo, anaweza kukueleza kwamba alikueleza kitu Fulani wakati hakusema kabisaaa

Tatu, amekuwa mvivu kunifulia hasa baada ya Mimi kufanya kufua nguo kipindi akiwa mgonjwa, now anahisi ni wajibu wangu kufua

Nne, Jambo la Mimi kuoga Wala usimuulize, nna Zaidi ya mwezi sijatengewa maji ya kuoga najitengea mwenyewe

Tano, anapenda Sana kunichunguza Kama nachepuka, juzi tumegombana kwa kusachi simu yangu japo hapakuwa na pa kunikamatia ila kuona sms ya mdada kanisalimia ilikuwa Vita.

Na hii ndio shida kuu, ananivizia usiku anasearch simu yangu Sana na sometime anawapigia wadada nilowasave namba zao, KEROOO

NATAMANI SANA AMANI LAKINI NAHISI ANATAFUTA SHIDA

NISHAACHA UJINGA JAPO HATA YEYE NILIMPATIA UJINGANI LAKINI NAHISI ATANIRUDISHA UJINGANI

USHAURI WENU PLEASE....
Mtafutie mwenzie majukumu yamemzidi
 
Back
Top Bottom