Nina hasira na wife, ushauri wenu please

Yaani kanimaliza, kuna wanaume wakioa wanaona wamepata kijakazi cha kumtumikisha ndani..
Mambo ya kuchakazana kwa lazima.. afanye tuu mwenyewe vitu visivyo lazima kufanyiwa.. eg maji ya kuoga.
Atawachotea wangapi? I sayyy. Sio poa kabisa
Inasikitisha Sana aisee, hafu ukute mkewe ana watoto wadogo kashinda nao kutwa, kulea na kupigishana kelele, Mimi kwa vitu vidogo ka ku pasi au kuwekewa maji sioni Cha kulaumu, ndoa ni kusaidiana mke si mtumwa wako, ulezi huchosha Sana plus kazi za nyumbani
 
Sorry ,sitaki kuendelea sana na huu mjadala but hayo mambo ya win win situation kwa Afrika bado sana,tunaitaji maybe vizazi vingine vitatu vijavyo mbeleni ndio tunaeza jadili hayo mambo but sisi ambao tulishazoea kuona hizi tamaduni zetu na kuziexperience kwa mtazamo kama wa mtoa mada ni ngumu sana kutuaminisha tofauti. Cha msingi uyo dada akitaka kulinda ndoa yake afanye hayo mumewe anayoona ni haki yake kufanyiwa la sivyo ndoa itakufa hiyo.
Bwana wee tamaduni za kishenzi tupa kule sijui hivi kumfuraisha mtu badala ya kujifuraisha mie siwezi, Mimi Mambo mengi anayolalamika mwanaume ni ujinga kabila langu wanaume wanajifanyia mengi kuliko hayo malalamiko ya mleta mada na wamedumu huwa hamna lawama kabisa na kila mtu kuchakarika na kwanini uoe mke ka huna uwezo wa kuweka bomba shower mwishowe tuje kuchoshana na ndoo kichwani
 
Watu kama wewe Cariha ndio mnasababisha ongezeko la TALAKA! Mafahali wawili haweziishi ndani ya nyumba moja!
Yaani nikutolee mahari kwenu, pesa ya nguo zako na vipodozi vyako nitafute mimi, alafu nguo zangu na maji ya kuoga bado nihangaike nazo mwenyewe! Kumbe nini kazi yako My lovely wife? Kupika tuu?? Aisee tukifika huko hata kupika nitapika mwenyewe alafu wewe itabidi tujadiliane kinachokufaa!
 
Mkuu hapo lazima kuna shida! Kwanza kabisa wife wako mueleze ukweli kuhusu nini unataka na nini hutaki! Mpe ukweli kuhusu hao bidada ulosave contact zao kuwa ni kama ndugu na jamaa tu na hakuna chochote!
Mfahamishe jinsi usivyoupenda uongo wake na mwisho mfafanulie majukumu yake kama mkeo na asibaki kuwa golikipa wa kudaka mboga na mchele tuu!
Kuwa na msimamo kama mwanaume na usiyumbe, vinginevyo kuna siku utaanza kumfulia nguo zake na kupika huku yeye kaketi kwenye mkeka akisuka tindo la nywele!
 
Kwan mkuu sisi wanaume kujiwekea wenyewe maji ya kuoga bafun inagharimu nn pengine au tunapoteza nn hasa? sababu binafsi naona ni a petty thing
 
na kufua je ? na uyo bi wife atakua na nini hasa cha ku offer kwenye ndoa , papuchi ?

maana kama ni papuchi zinauzwa kibao tu,
 
Woooi hawajui maisha ni zaidi ya hvo hafu wamama wa nyumbani plus ulezi huwa vinachosha Bora hata kulima
Yaani ndio maana Mimi huwa nasema mtu anayebaki nyumbani anachoka kuzidi yule aliye kazini.
Kazi za nyumbani zinachosha mno..tena hasa ukishakuwa na watoto..haupumziki yaani,Mara upambane na watoto,Mara mtu mzima naye anataka asitumie mikono yake[emoji23]akuchoshe kumuwekea maji..ndoa ni kusaidiana..ishu ya maji bafuni ni Jambo dogo Sana kuanza kupiga kelele.
 
Tatu, amekuwa mvivu kunifulia hasa baada ya Mimi kufanya kufua nguo kipindi akiwa mgonjwa, now anahisi ni wajibu wangu kufua

Nne, Jambo la Mimi kuoga Wala usimuulize, nna Zaidi ya mwezi sijatengewa maji ya kuoga najitengea mwenyewe

Haya mambo ndio ya kulalamika? Siku hizi maji kitaani bwerere ,unganisha bomba hadi chooni na pia kama mvivu ,uwe unafua tu shati tatu na suruali zako za kuvaa kwa wiki na wala usimuulize ,akiona unafanya atakusaidia siku nyingine.

Mke ni wa kupiga Pipe na kukuzalia watoto hayo majukumu mengine ni kusaidiana, what if na yeye ana kazi inayumuweka busy?
 
na kufua je ? na uyo bi wife atakua na nini hasa cha ku offer kwenye ndoa , papuchi ?

maana kama ni papuchi zinauzwa kibao tu,
Maisha ya ndoa yanahitaji reciprocity mzee, unconditional love utaipata kwa MUNGU na wazazi tu- Maisha ya ndoa ni kuishi kirafiki na kusaidiana whenever possible otherwise ukiwa kichwa ngumu lazima usaidiwe.Heshima it's something hard won,hata kama huwezi kufua unaweza kumsaidia mambo mengine kufree space yake ya kupumzika kama binadamu pale inapowezekana. Binafsi naamin mwanamke hamdharau mwanaume from no where lazima kuna source na source inaweza kuwa mwanamke pale anapoona mwanaume wake ni hopeless hana msaada.Haiwezekan mnatembea barabara moja pamoja mwanamke kabeba mtoto mgongon,kuni kichwan,kikapu mkononi,na mahindi begani alafu na mume wake pembeni amebeba tu panga mkononi-Huku siyo kuwajibika hata kidogo and i hate this behavior ya wazee wetu wa zaman.
 
Haya mambo ndio ya kulalamika? Siku hizi maji kitaani bwerere ,unganisha bomba hadi chooni na pia kama mvivu ,uwe unafua tu shati tatu na suruali zako za kuvaa kwa wiki na wala usimuulize ,akiona unafanya atakusaidia siku nyingine.

Mke ni wa kupiga Pipe na kukuzalia watoto hayo majukumu mengine ni kusaidiana, what if na yeye ana kazi inayumuweka busy?
Umeongea kiume sana kaka,mwanaume kuwa mwanaume ni kuwa problem solver-Hamna maji tafuta hela weka bomba,Mke kazidiwa tafuta housegirl amsaidie wife au msaidie hata shughuli nyingine ndogondogo
 
Yaani ndio maana Mimi huwa nasema mtu anayebaki nyumbani anachoka kuzidi yule aliye kazini.
Kazi za nyumbani zinachosha mno..tena hasa ukishakuwa na watoto..haupumziki yaani,Mara upambane na watoto,Mara mtu mzima naye anataka asitumie mikono yake[emoji23]akuchoshe kumuwekea maji..ndoa ni kusaidiana..ishu ya maji bafuni ni Jambo dogo Sana kuanza kupiga kelele.
Kukaa na watoto ni msalaba ufanye usafi na majukumu yote upigishane kelele na watoto na akiwa mdogo akilia umubembeleze, so wanaume waelewe makazi ya nyumbani yanachosha kuliko hata ofisini na kukaa nyumbani na makelele huleta Hadi stress, honestly mtu kulalamika kuhusu maji naona ni kukosa upendo
 
100% True , kazi za home zinachosha sana,kwasisi ambao muda mwingi tupo porini camp ,mambo ya kupika kuosha vyombo kufua na shida tupu........Mara nyingi wanaumme wanaolalamika ni wale familia zao zilikuwa na House Girl kila kitu alikuwa anafanyiwa!

Nimeshangaa mtu analalamika atengewi maji ya kuoga??? Really??? like seriously???
 
Watu kama wewe Cariha ndio mnasababisha ongezeko la TALAKA! Mafahali wawili haweziishi ndani ya nyumba moja!
Yaani nikutolee mahari kwenu, pesa ya nguo zako na vipodozi vyako nitafute mimi, alafu nguo zangu na maji ya kuoga bado nihangaike nazo mwenyewe! Kumbe nini kazi yako My lovely wife? Kupika tuu?? Aisee tukifika huko hata kupika nitapika mwenyewe alafu wewe itabidi tujadiliane kinachokufaa!
Nasababishaje talaka sasa hii karne ya 21 nyie hamtaki kubadilika mnaishi Zama za mawe za mwanzo za kutumia majiwe wakati sasa tunatumia vitu vya kisasa kabisa,
Hafu kununua vitu mbona hata mimi naweza kujifanyia hayo yote bila hata msaada wako wa jambo lolote vile
 
Kukaa na watoto ni msalaba ufanye usafi na majukumu yote upigishane kelele na watoto na akiwa mdogo akilia umubembeleze, so wanaume waelewe makazi ya nyumbani yanachosha kuliko hata ofisini na kukaa nyumbani na makelele huleta Hadi stress, honestly mtu kulalamika kuhusu maji naona ni kukosa upendo
Siku wajaribu kubaki nyumbani na kufanya zile kazi zote na wapambane na watoto waje watupe mrejesho.
Kuna watu hawana huruma kabisa[emoji23].
 
100% True , kazi za home zinachosha sana,kwasisi ambao muda mwingi tupo porini camp ,mambo ya kupika kuosha vyombo kufua na shida tupu........Mara nyingi wanaumme wanaolalamika ni wale familia zao zilikuwa na House Girl kila kitu alikuwa anafanyiwa!

Nimeshangaa mtu analalamika atengewi maji ya kuoga??? Really??? like seriously???
Hebu washangae na wewe mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Na amesema mkewe ana watoto tayari..kazi lazima zimzidie..kusaidiana siyo mbaya..mtu aamue mwenyewe kufanya kwa upendo lakini siyo unaanza kumfosi mtu umtumikishe Kama punda,naye ni binadamu anahitaji kupumzika.
 
Mbona wengitunaishi ujingani kwani kubadilisha tabia yamtumzima si rahis,
Kumpigachini inakuwangumu kulingana namfumo wa familia.
 
itavunjwa mkuu hawa viumbe wa ajabu..akipiga password igome ye aona bora aipasue moyo wake uridhike

Huyo mpe psychological tocha, fanya hivi Kama umeshamuonya Mara kibao hasikii.! Nguo zako peleka dry cleaner Kama hazifui ongea pale ambapo Kuna ulazima ...Kama anaona uvivu kukujibu hizo Ni dharau ..... Simu yako ipige password mpya na kamwe usiruhusu mwanamke ashike sim yako Kuwa Mwanaume usikae kizembe Mwanamke usikae nae kimazoea .
 
Back
Top Bottom