Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,483
Ehhh...ndo kilichobaki 😁😁Agome gome kuoga japo mwezi [emoji23]
Ehhh...ndo kilichobaki 😁😁Agome gome kuoga japo mwezi [emoji23]
Umenena haswaaaaah.Mkuu ni kwamba amebadilika baada ya yeye kuumwa ,wewe ukamhudumia?
Au alikua hivyo tangu mnaooana mpaka sasa hivi...??
Kama alikua hivyo tangu zamani,then kosa ni lako kumuoa ukidhani atabadilika...
Na kama tabia ni imebadilika haikuwa hivyo zamani,...then... inawezekana kurekebishika, give her more attention,usimkaripie wala kumnunia, akipika onyesha umefurahia chakula,chukua au invest time kumuonysha she is loved, kidogo kidogo trust itarudi,and when she feels she can trust you,atakua rahisi kufunguka nini tatizo, na jinsi mtakavyolikabili pamoja... Kiufupi mkeo position yake iko threatened, hizo ni normal reactions kununa,kuona analofanya hu appreciate anaona why akuwekee maji ya kuoga, wakati kuna mwanamke mwingine anayekufanyia hayo?......rudisha trust then ndoa yako iko saved!, ...na usizunguke mbuyu kama sio insecurities zake then hujatuambia ukweli kuhusu wewe na michepuko, mkuu kama uli cheat muombe msamaha,muahidi hautarudia siku zisonge....
Kimeumana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duh🙄Una madai ya kijinga unataka akufulie nguo wewe huna mikono,
Yani akwambie hiv Unaweza mzaba hata kofi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wasije wakaanza kugombana huko huko out wakavurugana, maana demu anaweza kuuliza kwaio umenileta huku ili uniambie hayo[emoji23]
Wewe huna mikono mpaka umfanye mkeo cheap labor, hivi ukibeba maji Hadi bafuni jinsia yako itabadilika au ukifua utakufa?Sasa faida yake ya kuoa hapo ikowa wapi kama atajifanyia hayo
Wanawake WA kileo ndoa znawashinda
Kwakujazana mambo kama haya huko saloon
ukimzaba kofi ndo ugomvi unakuwa mkubwa kabisa kwa aina ya mwanamke kama huyu wa jamaaYani akwambie hiv Unaweza mzaba hata kofi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
analiwa kimasihara[emoji23]Huyo anamwanaume nje mchunguze vizuri lasivyo ana kibendi.
Sasa si afukuze tu huyo mwanamke ajue anaishi mwenyewe maana hakutakuwepo na tofauti bado kidogo tu utasema na ajipikieUna madai ya kijinga unataka akufulie nguo wewe huna mikono, eti akutengee maji wewe ni kiwete acha uvivu tafta hela, bila haya wataka ufuliwe maji yako ya kuoga hutaki kubeba mpaka umtese mkeo hujui ulezi ni kaxi?
Acha uvivu aisee
Aisee mimi ndiyo napenda wanawake dizain hiyoWewe huna mikono mpaka umfanye mkeo cheap labor hivi ukibeba maji Hadi bafuni jinsia yako itabadilika au ukifua utakufa?
Mimi sioni mantinki ya kulaumu sijui hichi, sijui kile wakati naweza kufanya mwenyewe.
Hiyo ndo njia rahisi ya kumfanya mke ageuke 'chawote'...usiruhusu mwanamke ashike sim yako Kua Mwanaume usikae kizembe
Wajomba wanapita kimyakimya na mwenge mdau bado ana ng'aa macho,wacha tummegee chungwaanaliwa kimasihara[emoji23]
Mwanamke ni geresha tu home (wa kuuzia sura tu home). Achana nae fanya yako (mademu wabichi walivyo jaa kitaa bado unapambana na Mke)? We mpuuze malizana na michepuko usiku ndio urudi home, unakuja kulala tu kama Hotelini, Hapo utaishi kwa furaha miaka yote.Wandugu mimi ni mfanyakazi katika taasisi binafsi ya elimu, nna mke na watoto wawili, nimeishi na mke wangu Sasa mwaka wa 4 baada ya kumzalisha baadae nikamchukua awe mke wangu,
Mwaka Jana mwishon nlilipa mahari kiasi Cha tsh 1.5m na tumeishi maisha ya amani mpaka leo ila Ana matatizo haya ndio yamenifanya niwaone wakuu:
Mosi, huwa anapata wakati mgumu kunijibu ninapomuuliza kitu
Pili, ni muongo, anaweza kukueleza kwamba alikueleza kitu Fulani wakati hakusema kabisaaa
Tatu, amekuwa mvivu kunifulia hasa baada ya Mimi kufanya kufua nguo kipindi akiwa mgonjwa, now anahisi ni wajibu wangu kufua
Nne, Jambo la Mimi kuoga Wala usimuulize, nna Zaidi ya mwezi sijatengewa maji ya kuoga najitengea mwenyewe
Tano, anapenda Sana kunichunguza Kama nachepuka, juzi tumegombana kwa kusachi simu yangu japo hapakuwa na pa kunikamatia ila kuona sms ya mdada kanisalimia ilikuwa Vita.
Na hii ndio shida kuu, ananivizia usiku anasearch simu yangu Sana na sometime anawapigia wadada nilowasave namba zao, KEROOO
NATAMANI SANA AMANI LAKINI NAHISI ANATAFUTA SHIDA
NISHAACHA UJINGA JAPO HATA YEYE NILIMPATIA UJINGANI LAKINI NAHISI ATANIRUDISHA UJINGANI
USHAURI WENU PLEASE....
Ningependa kufahamu marital status yako kama hutojali plzUna madai ya kijinga unataka akufulie nguo wewe huna mikono, eti akutengee maji wewe ni kiwete acha uvivu tafta hela, bila haya wataka ufuliwe maji yako ya kuoga hutaki kubeba mpaka umtese mkeo hujui ulezi ni kaxi?
Acha uvivu aisee
Labda ndio mazingira aliyokulia kwao, alikuwa anaona hivyo vinafanyika na yeye amekariri ni lazima mke amuwekee maji ya kuoga, kama yuko busy sana mke anaweza kumsaidia kufua ila sio kuweka maji ya kuoga mana huko ni kumfanya mke mtumwa sasa au thamani yake ya chini sana.Wewe huna mikono mpaka umfanye mkeo cheap labor hivi ukibeba maji Hadi bafuni jinsia yako itabadilika au ukifua utakufa?
Mimi sioni mantinki ya kulaumu sijui hichi, sijui kile wakati naweza kufanya mwenyewe.
Labda kama hachepuki yaani hii approach atakuona boya na unamwogopa. Hapa ndio unakuta mwanaume ndo utaanza kuomba msamaha hata kama kosa ni la mkeo. Mark my words!Hebu fanya kubadilisha mazingira muende sehemu tulivu umuweke kiti moto kwa upole kabisa, hii ni kama verbal warning flani.
Mke kuwa Cha wote Kama Ni tabia yake hiyo, huwezi zuiaHiyo ndo njia rahisi ya kumfanya mke ageuke 'chawote'.
Ashasema hafanyi ujinga, meaning hachepuki, sasa simu aweke password za nini?