Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 7,004
- 9,263
Ulipmatajee
Pole kwa maswahibu. Cha kufanya jirekebishe ww kwanza. Acha mipango ya kandoo.Umpe mke wako matumaini ya uwaminifu hata kama ni ngumu kuaminiwa. Na tafuta nafasi ya kukaa na mama watoto. Mtoke pamoja kwenda ktk nyumba za ibaada. Kwa kua matatizo mengine ndani ya ndoa mwanzilishi ni Mwanaume ila chida yetu hatupendi kutizama kwa undani...Wandugu mimi ni mfanyakazi katika taasisi binafsi ya elimu, nna mke na watoto wawili, nimeishi na mke wangu Sasa mwaka wa 4 baada ya kumzalisha baadae nikamchukua awe mke wangu,
Mwaka Jana mwishon nlilipa mahari kiasi Cha tsh 1.5m na tumeishi maisha ya amani mpaka leo ila Ana matatizo haya ndio yamenifanya niwaone wakuu:
Mosi, huwa anapata wakati mgumu kunijibu ninapomuuliza kitu
Pili, ni muongo, anaweza kukueleza kwamba alikueleza kitu Fulani wakati hakusema kabisaaa
Tatu, amekuwa mvivu kunifulia hasa baada ya Mimi kufanya kufua nguo kipindi akiwa mgonjwa, now anahisi ni wajibu wangu kufua
Nne, Jambo la Mimi kuoga Wala usimuulize, nna Zaidi ya mwezi sijatengewa maji ya kuoga najitengea mwenyewe
Tano, anapenda Sana kunichunguza Kama nachepuka, juzi tumegombana kwa kusachi simu yangu japo hapakuwa na pa kunikamatia ila kuona sms ya mdada kanisalimia ilikuwa Vita.
Na hii ndio shida kuu, ananivizia usiku anasearch simu yangu Sana na sometime anawapigia wadada nilowasave namba zao, KEROOO
NATAMANI SANA AMANI LAKINI NAHISI ANATAFUTA SHIDA
NISHAACHA UJINGA JAPO HATA YEYE NILIMPATIA UJINGANI LAKINI NAHISI ATANIRUDISHA UJINGANI
USHAURI WENU PLEASE....
Ushauri halisi wa kiume .Huyo mpe psychological tocha, fanya hivi Kama umeshamuonya Mara kibao hasikii.! Nguo zako peleka dry cleaner Kama hazifui ongea pale ambapo Kuna ulazima ...Kama anaona uvivu kukujibu hizo Ni dharau ..... Simu yako ipige password mpya na kamwe usiruhusu mwanamke ashike sim yako Kuwa Mwanaume usikae kizembe Mwanamke usikae nae kimazoea .
Sent using Jamii Forums mobile app
Una akili Sana mkuuKuna muda huwa wanawake hutingwa Sana na kazi nyingi ndogondogo za nyumbani,Sasa Kuna muda mwanaume Kama uko free inabidi ujiongeze kwa kumsaidia baadhi ya kazi haitaondoa cheo chako Kama kichwa Cha nyumba.Sometime unaweza ukajibebea maji ya kuoga au ukajipakulia chakula Kama unaona wife katingwa na kazi nyingi haitakupunguzia kitu.Ukitaka kujua ugumu wa kazi za nyumbani hebu siku moja mwambie wife apumzike alafu wewe mme uingie kuzifanya shughuli zote za nyumbani toka asubuhi mpaka jioni,iwe kupika,kufua,usafi,kubembeleza mtoto,kwenda sokoni.....hapo ndio utapata matokeo.kwa hiyo Kuna muda unaweza kumsaidia baadhi ya kazi za nyumbani mkeo Kama uko siku hiyo umeshinda home tu,kumlipia Mali mwanamke wakati wa kumuoa isiwe sababu ya kumtumikisha kwa Kila kitu hata Kama amechoka lazima afanye Kuna muda utu inatakiwa utumike,Adamu alipopewa Eva,Mungu alimpa wa ubavu wake Eva Kama msaidizi kumbe mwanamke ni msaidizi wa mwanaume.Muite mkeo myaongee na myamalize usitumie nguvu kuanza kumpiga utaongeza tatizo badala ya kulitatua Yafuta sehemu tulivu iloyotulia wewe na mkeo myajenge mpate suluhu.Ndoa ni taasisi kubwa,Amani ikikosekana katika ndoa watoto ndio huteseka zaidi,wanaweza wakashindwa kupata haki yao ya msingi ya elimu au tukaongeza idadi ya watoto wa mitaani "wapiganapo mafahali wawili ziumiazo ni nyasi".Tatizo halikimbiwi ila angalia njia sahihi ya kulitatua.[emoji1241][emoji450][emoji447]
Weka picha ya mkeo tumuone kwanza kisha tutoe ushauri .nh kama hana tako usipoteze muda wakoWandugu mimi ni mfanyakazi katika taasisi binafsi ya elimu, nna mke na watoto wawili, nimeishi na mke wangu Sasa mwaka wa 4 baada ya kumzalisha baadae nikamchukua awe mke wangu,
Mwaka Jana mwishoni nlilipa mahari kiasi Cha tsh 1.5m na tumeishi maisha ya amani mpaka leo ila Ana matatizo haya ndio yamenifanya niwaone wakuu:
Mosi, huwa anapata wakati mgumu kunijibu ninapomuuliza kitu
Pili, ni muongo, anaweza kukueleza kwamba alikueleza kitu Fulani wakati hakusema kabisaaa
Tatu, amekuwa mvivu kunifulia hasa baada ya Mimi kufanya kufua nguo kipindi akiwa mgonjwa, now anahisi ni wajibu wangu kufua
Nne, Jambo la Mimi kuoga Wala usimuulize, nna Zaidi ya mwezi sijatengewa maji ya kuoga najitengea mwenyewe
Tano, anapenda Sana kunichunguza Kama nachepuka, juzi tumegombana kwa kusachi simu yangu japo hapakuwa na pa kunikamatia ila kuona sms ya mdada kanisalimia ilikuwa Vita.
Na hii ndio shida kuu, ananivizia usiku anasearch simu yangu Sana na sometime anawapigia wadada nilowasave namba zao, KEROOO
NATAMANI SANA AMANI LAKINI NAHISI ANATAFUTA SHIDA
NISHAACHA UJINGA JAPO HATA YEYE NILIMPATIA UJINGANI LAKINI NAHISI ATANIRUDISHA UJINGANI
USHAURI WENU PLEASE....
@😃😃😃[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😀😀😀😀Peleka moto mpelekee moto..Nimepata borner aisee kwa ajili ya hii comment
Kwani ndoa ni oksigen ukisema huolewi unakufaNa wewe siku moja unataman uolewe?
Kwahyo hizi machine za kufua ndo wake, naamini mke ni zaidi ya kufua, pia mkewe sio mtumwa, mtu mzima mvivu unalaumu wengine kah.Nioe halafu nijifulie nguo? Ni bora nimfukuze mke, niweke beki tatu awe ananifulia nguo.
Watu ambao hawana pesa, muda wote husema tafuteni pesa. Pesa haipatikani kirahisi hivyo ndiyo maana utakutana na wadada wanauza nyuchi ili wapate pesa.
Kwahyo hizi machine za kufua ndo wake, naamini mke ni zaidi ya kufua, pia mkewe sio mtumwa, mtu mzima mvivu unalaumu wengine kah.
Mwanamke nae ni binadamu kama ulivyo wewe na anachoka na kukinai kama watu wengine,jifunze kushukuru na kuappreciate vitu anavyofanya nyumbani hii itqmpa motisure ya kufanya zaidi na zaidi kwako.Mkeo ni MKE sio mtumwa kwako
Kingsmann