Nimrod Mkono na Mkono Advocates watch

What if wakitumia sababu za KIAFYA, bado atanyimwa DHAMANA?
Haijalisha unaumwa karibia na kufa. Tuhuma za mauaji ni non bailable. Kama unaumwa utatibiwa ukiwa mahabusu, na kama kuna haja ya wewe kupelekwa hospitali utakwenda kama mahabusu. Kufanya vinginevyo ni kuwa juu ya sheria.
 
As requested by DrWHO;

The topic is back for discussion. Hope you have something to discuss on this topic [DrWHO]. Nyingine ya Ukweli kuhusu JK Nyerere SINTOIRUDISHA kwakuwa iliashiria kuwa na mwelekeo hasi badala ya dhamira ya hoja yenyewe. Ilitawaliwa na UDINI zaidi badala ya dhamira ya mwanzishaji (wewe) na hivyo wadau waliomba ISITISHWE.

Shukrani kwa uvumilivu
 
Jayant Kumar Patel, alias Jeetu Patel, one of the main shareholders in Bank M is a highly controversial Indo-Pakistani businessman. Bank M obtained its licence at the end of February 2007 and is to be housed in a building owned by former President Benjamin Mkapa.

Patel, the owner of the firm Noble Azania Investement Ltd and of a handful of other companies, has been in conflict with the Tanzanian authorities on several occasions. In 1994 the Minister for Public Works Nalaila Kiula even went as far as to file a complaint against him because he had threatened him.

The following year Jeetu Patel was accused by a Parliamentary commission of having aided an Indonesian Vinu Chavda to embezzle over a million dollars of government funds. One of the men accused jointly with him at the time, Nimrod Mkono, is also a shareholder in Bank M via his company Allied & Equity. More recently, Jeetu Patel was suspected in 2001 of facilitating the escape of two of the employees of GlaxoWelcome who had been arrested by the Tanzanian immigration department (ION 94.

Other even more serious accusations have punctuated his career and he has been questioned by the Tanzanian police about his activities on several occasions. Another Bank M shareholder, Vimal Mehta, the owner of Negus Holding, has a very similar background.
 
Nasikia na huyu Patel mwenyewe alishakuwa declared persona non grata, akatoka nchini lakini baadaye akarudi kinyemela baada ya faili lake kuyeyuka.
 
cha kushangaza ni kwamba sisi wabantu wenyewe tunawatukuza sana hawa akina patel n the likes, hali hii mie inanichefua kweli ukizingatia tuko nyumbani kwetu, lakini still wanatupelekesha kweli. Napenda mtikila awe rais for a month halafu tuone cheche zake.
 
kwa hiyo unasema leo hii lipumba au maalim seif sharif hamad wanaweza kuhamia ccm ? angalau walikuwa ccm nao before.
 
Mtikila anaweza kuingia madarakani naye akawa mlevi wa madaraka...My signature says it all
 
Kada,
Kwa nini Maalim alichangamkia muafaka? Baada ya kuahidiwa kurejeshwa marupurupu. Njaa kitu kibaya sana!
 
kwa hiyo unasema leo hii lipumba au maalim seif sharif hamad wanaweza kuhamia ccm ? angalau walikuwa ccm nao before.

Maalim, Walimdakia sehemu ndogo tu, mafao ya waziri kiongozi akapewa na mlinzi jamaa ikabidi akubali maana katiba ndio inavyosema hana jinsi anakamua na watu wa TISS mgongoni mwake.
 
Uhujumu wa uchumi unaendelea na waliopewa dhamana ya kuilinda Katiba ya Jamhuri ya Muungano wameamua kuwahujumu walipa kodi waliowaweka madarakani, hayo ndio matokeo ya Patel, Mkono EL na kundi lake. Je huyu Mkono ambaye ni mbunge anatetea mtu aliyeua unategemea nini kutoka kwake.

SOMA HAPA
 
DUA, acha nimuwekee hapa hapa asije akasema link is not richebo:


Sheria ambazo inawezekana amezivunja makusudi ni:

1. Watu wenye madaraka serikalini kukoma utumishi wanapochaguliwa. Sheria ya 1992 Na. 4 ib. 23 sheria ya 1995 Na. 12 ib. 14 (ambayo ni lazima iwahusu chief executives wa private firms).

2. Masharti ya sheria ya maadili ya uongozi wa umma

3. Masharti ya kazi ya wabunge sheria ya mwaka 1984 Na. 15 ib 13


Kamati ya uongozi & kamati ya katiba, sheria na utawala ndizo lazima zishughulikie suala hili kama ilivyoelezwa katika
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania as specified kipengele 4 majukumu ya msingi na ya jumla ya kamati.

Kifungu 4.1 Bunge na kamati zake ndiyo darubini (oversight or watch-dog organ) ya kuhakikisha kwamba mambo yote ya uendeshaji wa kazi za dola unafanywa kwa kuzingatia katiba, sheria na kanunu zilizowekwa.

Wajumbe wa kamati hii ni :

1. Mwenyekiti –Spika
2. Kiongozi wa shughuli za serikali bungeni
3. Kiongozi wa upinzani bungeni
4. Wenyeviti wa kamati za kudumu
5. Mwanasheria mkuu wa serikali

Hata kama itabainika kwamba hajavunja sheria kamati ya kanuni za bunge inaweza kufikiria na kutoa mapendekezo juu ya kufanya mabadiliko katika kanuni za Bunge – uchunguzaji huu utatokea iwapo taarifa ya kutoa pendekezo lolote na hususan hili hasa kutoka kwa wabunge wa opposition. (Mkono anafanya tenda nyingi kutoka serikalini na wakati huohuo yeye ni Mbunge)

Haya sasa wabunge wa upinzani hii ni changamoto kwenu. Tusikubali Mbunge kumtetea criminal.
 
Je huyu Mkono ambaye ni mbunge anatetea mtu aliyeua unategemea nini kutoka kwake.[/SIZE][/COLOR]

SOMA HAPA

Kaka Dua,

Afadhali ya hii ya kumtetea mla nchi mwenzake. Unakumbuka ile ya issue ya wale askari wa kiingereza waliomfanyia mbaya yule dada yetu dar hadi wakamtoa roho. Mkono (kwa kutumia kampuni yake ya uwakili) ndio alikuwa broker wa kuwanyamazisha wanafamilia halafu wale jamaa wakaachiwa warudi kwao ambako wakapokea mapokeo kama vile mashujaa.

Daima nitakumbuka ile siku maana iliniuma mno na tangia siku hizo nikamtoa maana huyu mzee.

Tazanianjema
 
kesi ya Kiula iliishia wapi, najua mwenzake yule Engineer Mlingwa alinyeshewa mvua kadhaa. hivi TANROADS nako vipi kuko safi?
 
DAILY NEWS Reporter
Daily News; Wednesday,July 18, 2007 @00:04


A LEGISLATOR and prominent advocate, Mr Nimrod Mkono, and his partners have given two tabloids – ‘ThisDay’ and its sister paper ‘Kulikoni’ 48 hours to apologise and pay them an unspecified amount of money in damages for publishing defamatory articles against them or face legal action.

Two demand notices made available to the ‘Daily News’ showed that Mkono and Company Advocates acted for the Bank of Tanzania (BoT) in defence of a 108-million US dollar (129.6bn/-) claim by the late Devran Valambia.

In his two separate demand notices served by a law firm of Eric Ng’maryo yesterday to the two newspapers, Mr Mkono wants publishers of the tabloids to withdraw promptly the false defamatory allegations published in ‘ThisDay’ and ‘Kulikoni’ newspapers dated July 12 and July 16, this year, respectively, and apologise.

Mr Mkono, the Member of Parliament for Musoma Rural Constituency, wants the newspapers to publish the apologies to himself and the law firm in terms to be agreed upon, and undertaking by the tabloids not to repeat the allegations or similar ones.

The demands include payment of a substantial sum of money in damages to the firm to demonstrate the baselessness of the allegations and compensate the firm for injuring its reputation, and for financial loss and considerable distress that has been caused, as well as to cover legal costs.

The demand notice to ‘ThisDay’ said: “...if we do not promptly receive your undertaking that you will comply with our demand, we shall issue proceedings for libel claiming damages commensurate with the gravity of the allegations. Should you decline to publish the statement please inform us of the name of your advocates who will accept service of proceedings on your behalf.

The notice to ‘Kulikoni’ simply said: “If, however, you force him (Mkono) to force him to go through along and draw out libel action in order to clear his name, his vindication will be an award to very substantial damages from court.”

Mr Ng’maryo claims that the article in ‘ThisDay’ headlined ‘BoT spends 8bn/- on dubious legal bills’, whose content entailed the history and media attention of the long running civil suit against the bank, enabled readers to identify the law firm (Mkono & Co Advocates) as the targeted ‘prominent Dar es Salaam law firm’.

He claimed that the article in ‘Kulikoni’ with a headline ‘Kampuni ya Mbunge yachota mabilioni kutoka Benki Kuu’ meaning (an MP’s company scoops billions from the central bank) could be understood as alleging that Mr Mkono is unfit to be an MP let alone to be a practising lawyer and branded him as a fraudster.

Mr Ng’maryo claimed that the article linked the conduct of the firm’s operations with accusations levelled at the BoT Governor Daudi Ballali as being allegedly involved in massive funds misuse at the central bank and in the facilitation of dubious payments made from the BoT’s commercial external debt account.
 
Back
Top Bottom