Nimewapiga wachawi—kipigo cha mbwa koko!

Nimewapiga wachawi—kipigo cha mbwa koko!

Unawezaje kuthibitisha kuwa huyo Roho wa Mungu unayedai anakufunulia si mawazo yako tu au hisia zako potofu?

Unajuaje kama huo ni udanganyifu wa nafsi tu?
Kwanini kila mkristo akishindwa kujibu swali anakimbilia kusema mpaka uwe na roho ndiyo utaelewa?

Kwanini lazima niamini kwanza ndipo nipate majibu na siyo nipate majibu kwanza ili niweze kuamini?
Wana janjajanja sana hawa ila uwezo wao wa hoja ni mdogo.
Kwanza pale nilipoona kuna mahali ameandika"Wachawi wanaotumwa na mapepo" nikaona ni stori ya uongo na ya kutunga,wachawi hawajawahi kutumwa na mapepo ila wachawi ndio huwa wanawatuma mapepo kuwafanyia kazi zao so mtoa mada hajui anachokiongea.
 
Yote mawili ni muhimu. Tunatakiwa kuongoka na kuokoka.
Mathayo 18:3
Naye akasema: “Amin, nawaambia, msipoongoka na kuwa kama watoto wadogo, kamwe hamtaingia katika ufalme wa mbinguni.

Warumi 10:13 – Ahadi: “Kila atakayeliitia jina la Bwana ataokoka.”

Waefeso 2:8
Kwa maana mmeokolewa kwa neema, kwa njia ya imani; ambayo hiyo haikutokana na nafsi zenu, ni kipawa cha Mungu
Kwahiyo kila mtu anayemkiri Yesu ameokolewa. Achana na porojo za akina mwamposa.
 
Hii ni habari ya kweli kabisa. Uongo mimi nauchukia kama ukoma.

Kama huamini kuna wachawi, sikiliza vizuri: Hivi majuzi, walikuja usiku, muda mfupi baada ya mimi kujilaza kitandani. Wakaanza kunikandamiza kwa nguvu sana. Mgandamizo ulikuwa mzito, utafikiri mtu ameweka juu yangu mifuko mitano yenye saruji. Sio mzaha, nakwambia.

Sijawahi kuhisi uzito huo kamwe. Haraka sana nilitambua ni wachawi wanaotumiwa na mapepo kujaribu kunidhuru. Nikaanza kuwakemea kwa Jina la Yesu - kwa sauti ndogo, lakini yenye mamlaka watoke na kuniachia. Instantly, waliniacha na mgandamizo ule ukatoweka. Jina la Yesu lina nguvu sana. Ukilitamka, wachawi wanapigwa kipigo kikali sana na kukimbia. Hii ni mojawapo ya faida za kuokoka. Unatembea kifua mbele bila kuogopa wachawi.

Yakobo 4:7-10
"Basi mtiini Mungu. Mpingeni ibilisi, naye atawakimbia. Mkaribieni Mungu, naye atawakaribia. Itakaseni mikono yenu ninyi wenye dhambi, na kuisafisha mioyo yenu ninyi wenye nia mbili. Huzunikeni, na muomboleze, na kulia. Kicheko chenu na kigeuzwe kuwa kuomboleza, na furaha yenu kuwa huzuni. Jinyenyekezeni mbele za Bwana, naye atawainua."
Ww ni mlokole jina lako linasadifu pia.
 
Yote mawili ni muhimu. Tunatakiwa kuongoka na kuokoka.
Mathayo 18:3
Naye akasema: “Amin, nawaambia, msipoongoka na kuwa kama watoto wadogo, kamwe hamtaingia katika ufalme wa mbinguni.

Warumi 10:13 – Ahadi: “Kila atakayeliitia jina la Bwana ataokoka.”

Waefeso 2:8
Kwa maana mmeokolewa kwa neema, kwa njia ya imani; ambayo hiyo haikutokana na nafsi zenu, ni kipawa cha Mungu
Makala zako ni urukwaji wa akili!
 
Hahhahha Hayo Hayawezi kutokea.

Kwa sababu hayo ni mambo halisi na sio kama yale maigizo ya madhabahuni Wajinga Wakitapeliwa bila Huruma.

Akiyafanya hayo aje aandike Uzi hapa na Asisahau kuchukua japo 'tu video tuwili kwa ajili ya ushahidi
Kwa Nini yasitokee....!?
Kama una Amini, una Mamlaka, unajua nguvu ya kunena, Kwa Nini isitokee...... Labda useme Biblia ilidanganya.
 
Gojaga Nize nikuchape Injili
Alīyo ū būjingi na būsoso bose bose, nūūlū kwikūmva; shitizūhayiwa gete ū mu bing'we. A bing'we shimīzagi gīt'ūmo shibigelile beela. Yaya ū kūgaya ikūjo nūūlū kwimanīlīja mihayo ya maneene ga nyachilū chilū nūūlū wimeji, nguno ī mihayo yenīyī ītagunanhaga; īlī hambū hambū bizagi banhū ba kūlūmba. Managi gīkī būlī njingi nūūlū munhū nsoso mu nhūngwa, nūūlū ng'wikūmvi, (ūyo alī namya wa mashikolo), ū munhū ūyo alī gīko atī na wingīji ū mu būtemi bo ng'wa Kilisito na Mulungu. Yaya ū kūnzunīlīja munhū nūūlū ūmò amulemba lembe mu nzīla ya mihayo midūhū, nguno ū būpelanu bo ng'wa Mulungu būkabikīīlaga a bashitiigwa kūlwa mihayo gītī yenīyī. Hūna lūūlū, yaya ū kūbiza na būsangī nabo (Baefeso : 5 :3-7)
Ugunugo nduhu shida guli kisoga gete.
Ila lulu ubhebhe tolagwa tamu. Ulu udinapandika yombaga dugugunane
 
Wazo zuri
It will work, Kwa kutamka tu Mungu aliumba Dunia na vyote vilivyomo......! Na ukiamini, Ile Nguvu na Mamlaka vipo ndani Yako, na Biblia imesema chochote utachokifungua Duniani kimefunguliwa Mbinguni, na utachofunga Duniani kimefungwa Mbinguni.

Sema Kwa vile kwenye mambo ya Dini, pia wapo wengi ambao hukaa nyuma Darasani na huchelewa ama hawaelewi kabisa kama inavyokua tu kwenye madarasa ya Elimu za kawaida......!
 
Kwa Nini yasitokee....!?
Kama una Amini, una Mamlaka, unajua nguvu ya kunena, Kwa Nini isitokee...... Labda useme Biblia ilidanganya.
Wapi yanafanyika hayo??

Nataka Mambo halisi Sio yale maigizo ya madhabahuni.
 
Na wengine wanaona mijitu ya ajabu ajabu barabarani wanapoendesha magari au pikipiki. Na hii imesababisha ajali nyingi. Sasa wanaosema ni sleep paralysis, barabarani nani anaendesha gari amelala? Shetani ni muongo. Anafanya maovu mengi lakini hataki ajulikane kuwa yeye ndiye chanzo, maana watu wakijua watampinga. Hata wanaoenda kwa waganga wanadanganywa. Wanaambiwa jirani ndio mbaya wako kumbe sio jirani ni shetwani mwenyewe. Tumeishatambua hila zake tuendelee kumpinga kwa Jina la Yesu atakimbia.
Yak 4:7-10
Basi mtiini Mungu. Mpingeni Shetani, naye atawakimbia. Mkaribieni Mungu, naye atawakaribia ninyi. Itakaseni mikono yenu, enyi wenye dhambi, na kuisafisha mioyo yenu, enyi wenye nia mbili.
Amen
 
Lakini kama hujaokoka ukiwakemea wachawi au mapepo, hayatoki, sana sana yatakudhuru. Soma Matendo 19:13-16
"Baadhi ya Wayahudi wenye kutangatanga, nao ni wapunga pepo, wakajaribu kutaja jina la Bwana Yesu juu yao waliopagawa na pepo wachafu, wakisema, Nawaapisha kwa Yesu, yule anayehubiriwa na Paulo. Walikuwapo wana saba wa mtu mmoja Skewa, Myahudi, kuhani mkuu, waliofanya hivyo. Yule pepo mchafu akawajibu, akawaambia, Yesu namjua na Paulo namfahamu, lakini ninyi ni nani? Na yule mtu aliyepagawa na pepo mchafu akawarukia wawili, akawaweza, akawashinda, hata wakatoka mbio katika nyumba ile wakiwa uchi na kujeruhiwa."
Yanatoka bhana ,jina la Yesu lina nguvu kwa yoyote atakae litamka kwa imani awe ameokoka au hajaokaka na pia mtu anaweza akawa ameokoka na asiwe na imani
 
HIZO NI HOJA DHAIFU. Wewe sema wamechakachua. Mimi nakwambia: Kwa Jina la Yesu, nimewapiga wachawi kipigo cha mbwa koko.

By the way, unapotoa hoja za kupinga maandiko uwe una-refer maandiko ya mwanzo ya kiebrania na kigiriki. Sio kusema eti Biblia nyingi... Hata shetani ana Biblia
Sisemi Mimi ni biblia wenyewe zomeandika kachukuwe hizo biblia uangalie utaziona.
Au andika kwenye Google verse removed from the Bible utaona. Wewe Itakuwa boss wa wachawi kwani hutaki kutumia hilo bina la Yesu kuliondoa Pepo na chawi lenzako CCM
 
Hiyo aya mimi naiamini. Ila kwakuwa wewe unadai ni ya uzushi ndo maana nimekuambia angalia matokeo. Kama aya ni ya uzushi, kwanini wachawi wamekimbia? Usikubali kutumiwa na shetani kueneza uongo. Shetani ameishahukumiwa kwenda motoni. Ukiendelea kumfuata, utaangamia pamoja naye.
Sisemi Mimi ni biblia zomeandika , soma vizuri au Yesu wako kakuziba macho usisome vizuri hizo Aya?
 
Luka 10:19
Tazama, nimewapa amri ya kukanyaga nyoka na nge, na nguvu zote za yule adui, wala hakuna kitu kitakachowadhuru.
Ni hawahawa nyoka na nge ninaowafaham mimi au mnanyoka wenu wa kwenye waebrania??
 
Mpaka sasa umejibu swali langu kwa asilimia 98% aiseee oky ...
Ngoja nimalizie hizi mbili..
Mkuu nilianza kuvutiwa sana na maneno yako mazri ambayo ulinambia baada ya kuanzisha nyuzi yangu ya kuota ndoto ya ajabu kama unakumbuka..

Swali je kwa kijana mwenzako kama mimi ambaye nahitaji huduma ya maombi kutoka kwako naweza kuipata hiyo hudumu.. hata kama hutoi ila niseme ukweli nimevutiwa na maombi yako wewe naomba nikukabizi kichwa changu...

Je naweza kuombewa na wewe.. nje ya jf
Mbona kama uvuvi haramu huu 😂😂😂
 
felakuti
Your facile denigration of those who engage in spiritual exorcism under the sacred auspices of faith, dismissively branding them as mere purveyors of “mental health” anomalies or “corrupted minds,” evinces a lamentable epistemological naiveté and a profound metaphysical myopia. To reductively equate legitimate deliverance ministries, which confront the ontic realities of diabolical malevolence and seek the restoration of the soul’s sanctity, with psychological pathology bespeaks a gross impoverishment of intellectual rigor and a failure to apprehend the transcendent ontological conflict perennially waged between the principality of darkness and the kingdom of light, as delineated with piercing clarity in sacred scripture.

Such an epistemic reductionism, characteristic of the prevailing secular scientism, is singularly ill-equipped to grapple with the profound existential and metaphysical dynamics at play, dynamics that transcend empirical verification and delve into the very fabric of cosmic duality. Your equanimity in conflating spiritual warfare with insanity not only constitutes a categorical fallacy but also a tragic abdication of epistemic humility regarding the spiritual realities that have historically vindicated countless individuals emancipated from occultic subjugation through invocation of the Divine Nominal authority.

Furthermore, to those who spurn the redemptive efficacy of the Cross, decrying it as mere “foolishness,” the apostolic witness remains incontrovertible: “For the message of the cross is to them that perish foolishness...” (1 Corinthians 1:18). This so-called “foolishness” embodies a sublime paradox, an inscrutable mystery that shatters human hubris and reveals the unparalleled sufficiency of Christ’s atoning sacrifice. To vilify the Cross is to embrace a pernicious intellectual and spiritual bankruptcy, an inexorable descent into eternal perdition.

If you possess unimpeachable cognitive soundness and intellectual clarity, I entreat you to proffer your rejoinder in the lingua franca of global discourse, so that the substance of your argument may be appraised with the gravity and discernment it ostensibly warrants. 😎

cc: Jagina Ibn Unuq
You need a man to fuckk you real good so you can stop this nonsense
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom