Mpaka sasa umejibu swali langu kwa asilimia 98% aiseee oky ...Uliza tu mkuu, lakini sio mambo ya umeolewa?
Hii hali imefanya watu kuteseka kwa muda mrefuSawa kabisa. Na watu wanaoonewa sana ni wale wanaotegemea majibu ya kisayansi kwa kila kitu. Mtu amevamiwa na mapepo, amekuwa kichaa, wanasema ana tatizo la afya ya akili.
Nje ya JF ni ngumu kwa sababu maalum. Wewe taja hitaji lako tu bila kuelezea details kama ni jambo usilotaka wengine wajue. Mimi ntakuombea. Mungu ametuagiza tuombeane; na ukiamini utapata unachohitaji. Mimi nimeomba mambo mengi sana ya kifedha, ya kifamilia, ya kibiashara nk nk nimepata.Mpaka sasa umejibu swali langu kwa asilimia 98% aiseee oky ...
Ngoja nimalizie hizi mbili..
Mkuu nilianza kuvutiwa sana na maneno yako mazri ambayo ulinambia baada ya kuanzisha nyuzi yangu ya kuota ndoto ya ajabu kama unakumbuka..
Swali je kwa kijana mwenzako kama mimi ambaye nahitaji huduma ya maombi kutoka kwako naweza kuipata hiyo hudumu.. hata kama hutoi ila niseme ukweli nimevutiwa na maombi yako wewe naomba nikukabizi kichwa changu...
Je naweza kuombewa na wewe.. nje ya jf
Yametoka wapi hayo mapepo na mashetani? Founder wao ni nani? Nani aliwaumba?Mkuu, shule nimeenda. Najua sana umuhimu wa utaratibu wa kula, umuhimu wa kulala mapema na mambo yote muhimu kiafya. Siku hiyo sikuwa na uchovu wowote na mimi stress kwa ujumla sina. Maisha yangu yamejaa furaha sana kwa sababu Mungu amenifanyia mambo mengi ya baraka.
Inaonekana huijui vizuri Sleep Paralysis. Mtu aliyepatwa na SP hawezi ku-move wala kuongea tena hali hiyo huanza anapo-fall asleep. Mimi nimekuambia nilikemea kwa sauti, kwa Jina la Yesu na nilikuwa tu ndo nimejilaza - usingizi ulikuwa bado haujanishika.
Science haiwezi kuelezea mambo ya kiroho. Kisayansi, watu wenye sleep paralysis huwa wanaona kwa mfano shadowy figure chumbani, a presence near the bed, breathing sounds, whispers, au footsteps. Ajabu ni kwamba wanasayansi hawawezi kuyaona au kuya-prove hayo yanayoshuhudiwa na mtu mwenye SP; wanachoona tu kwenye lab ni brain activity. Huu ni udhaifu mkubwa sana wa sayansi katika eneo hilo.
Ndugu yangu Ibn Unuq shetani na mapepo wapo. Na hao ndio wanaofanya kazi pamoja na wachawi. Yesu ametupa mamlaka ya kuwafukuza kwa Jina la Yesu.
Mkuu samahani kama hutojari..Nje ya JF ni ngumu kwa sababu maalum. Wewe taja hitaji lako tu bila kuelezea details kama ni jambo usilotaka wengine wajue. Mimi ntakuombea. Mungu ametuagiza tuombeane; na ukiamini utapata unachohitaji. Mimi nimeomba mambo mengi sana ya kifedha, ya kifamilia, ya kibiashara nk nk nimepata.
Hiyo ni Mitazamo ya kimwiliHiyo ni Sleep paralysis inatokana haswa na mtindo mbovu wa maisha.
Kutokuwa na utaratibu maalumu wa kula, Uchovu mwingi, Stress, Kulala chali na kuchelewa kulala ni moja ya visababishi.
Inasema mema na maneno ya kiMunguUnawezaje kuthibitisha kuwa huyo Roho wa Mungu unayedai anayekufunulia si mawazo yako tu au hisia zako potofu?
Unajuaje kama huo ni udanganyifu wa nafsi tu?
Kama sauti ya Mungu iko moyoni mwa kila mtu, kwa nini watu wengine husikia chukua badala ya usiibe?Inasema mema na maneno ya kiMungu
kwa sauti ya chini
Na sauti kama yako
Unaweza usjiue ila sauti yake haina mambo mabaya
Mfano unaona 10,000 imenin’ginia mfukoni mwa mtu ukaskia sauti
Ichukue
Alf ukaskia usiibe (hii ni ya Mungu)
Shetani kabla ya kuwa shetani alikuwa malaika mkuu mbinguni. Baadaye akaingiwa na kiburi, akataka kuwa kama Mungu. Yeye pamoja na theluthi moja ya malaika walioasi wakatupwa duniani. Kwa sasa wanasubiri kutupwa motoni milele. Hao ndio wanaoitwa mapepo. Na ndio wanaosababisha mambo mengi maovu duniani pamoja na kuwashawishi watu wasimwamini Mungu. Na wanafanya kazi pamoja na wachawi. In fact wachawi bila nguvu za giza yaani bila msaada wa mapepo hawawezi kufanya lolote.Yametoka wapi hayo mapepo na mashetani? Founder wao ni nani? Nani aliwaumba?
Je, Mungu mjuzi wa yote ajuaye mwanzo, kati na mwisho alikua anajua kwamba shetani atakuja kuasi baadaye?Shetani kabla ya kuwa shetani alikuwa malaika mkuu mbinguni. Baadaye akaingiwa na kiburi, akataka kuwa kama Mungu. Yeye pamoja na theluthi moja ya malaika walioasi wakatupwa duniani. Kwa sasa wanasubiri kutupwa motoni milele. Hao ndio wanaoitwa mapepo. Na ndio wanaosababisha mambo mengi maovu duniani pamoja na kuwashawishi watu wasimwamini Mungu. Na wanafanya kazi pamoja na wachawi. In fact wachawi bila nguvu za giza yaani bila msaada wa mapepo hawawezi kufanya lolote.
Usiweke imani yako kwangu. Weka imani kwa Yesu. Tena ukiamini huna haja hata ya kuombewa. Maana Yesu amesema ombeni nanyi mtapewa. Itakuwa vigumu tu kupata majibu kama bado hujaokoka. Labda tuanzie hapo, umeokoka?Mkuu samahani kama hutojari..
Naona kama unataka kufanya mambo yangu yawe ni magumu kutokana na kuwekeza imani yangu kubwa juu yako..
Kama umekuwa ukifuatilia nyuzi zangu, nimekuwa nikiwaelekeza watu watafute Kanisa lolote linalohubiri wokovu na kufundisha utakatifu. Makanisa ya namna hiyo yapo mengi kila mahali na ndiyo yanayofanya pia huduma za maombeziniambie labda ni kanisa gani naweza kuja nikapata hata japo kuombewa na wewe hata jama miki nisipo kujua sawa family laaah
Naomba niwe karibu yako sijui kwann nakuta nahitaji huduma yakoUsiweke imani yako kwangu. Weka imani kwa Yesu. Tena ukiamini huna haja hata ya kuombewa. Maana Yesu amesema ombeni nanyi mtapewa. Itakuwa vigumu tu kupata majibu kama bado hujaokoka. Labda tuanzie hapo, umeokoka?
Kama umekuwa ukifuatilia nyuzi zangu, nimekuwa nikiwaelekeza watu watafute Kanisa lolote linalohubiri wokovu na kufundisha utakatifu. Makanisa ya namna hiyo yapo mengi kila mahali na ndiyo yanayofanya pia huduma za maombezi
Sauti 3Kama sauti ya Mungu iko moyoni mwa kila mtu, kwa nini watu wengine husikia chukua badala ya usiibe?
Je, Mungu anatofautisha dhamira?
Kama dhamira nzuri ni sauti ya Mungu, kwa nini watu wasioamini huwa na dhamira safi?
Je, tofauti kati ya sauti ya Mungu na sauti ya maadili mazuri [moral reasoning] ni ipi?
Na kama sauti hiyo ni ya Mungu, kwa nini haizuii watu kuiba, kuua, au kubaka kama kweli iko ndani yao wote?