Nimewapiga wachawi—kipigo cha mbwa koko!

Nimewapiga wachawi—kipigo cha mbwa koko!

felakuti
Your facile denigration of those who engage in spiritual exorcism under the sacred auspices of faith, dismissively branding them as mere purveyors of “mental health” anomalies or “corrupted minds,” evinces a lamentable epistemological naiveté and a profound metaphysical myopia. To reductively equate legitimate deliverance ministries, which confront the ontic realities of diabolical malevolence and seek the restoration of the soul’s sanctity, with psychological pathology bespeaks a gross impoverishment of intellectual rigor and a failure to apprehend the transcendent ontological conflict perennially waged between the principality of darkness and the kingdom of light, as delineated with piercing clarity in sacred scripture.

Such an epistemic reductionism, characteristic of the prevailing secular scientism, is singularly ill-equipped to grapple with the profound existential and metaphysical dynamics at play, dynamics that transcend empirical verification and delve into the very fabric of cosmic duality. Your equanimity in conflating spiritual warfare with insanity not only constitutes a categorical fallacy but also a tragic abdication of epistemic humility regarding the spiritual realities that have historically vindicated countless individuals emancipated from occultic subjugation through invocation of the Divine Nominal authority.

Furthermore, to those who spurn the redemptive efficacy of the Cross, decrying it as mere “foolishness,” the apostolic witness remains incontrovertible: “For the message of the cross is to them that perish foolishness...” (1 Corinthians 1:18). This so-called “foolishness” embodies a sublime paradox, an inscrutable mystery that shatters human hubris and reveals the unparalleled sufficiency of Christ’s atoning sacrifice. To vilify the Cross is to embrace a pernicious intellectual and spiritual bankruptcy, an inexorable descent into eternal perdition.

If you possess unimpeachable cognitive soundness and intellectual clarity, I entreat you to proffer your rejoinder in the lingua franca of global discourse, so that the substance of your argument may be appraised with the gravity and discernment it ostensibly warrants. 😎

cc: Jagina Ibn Unuq
Huwezi kumtetea Mungu wako kwa maneno magumu wakati hoja zako ni dhaifu.

Ukweli wowote hauhitaji maneno ya kutisha, bali mantiki isiyopingika.

Kama inahitaji kutumia mistari 100 ya maneno magumu yasiyoeleweka kumtetea Mungu wako, wakati swali lilikuwa moja tu la kawaida -
Kwa nini Mungu aliumba uovu?
basi hiyo ni dalili kuwa huna jibu, unafunika udhaifu kwa maneno yasiyoeleweka.

Mpaka hapa si mapepo mnayohitaji kuyafukuza ila mnapaswa kutembelea Mloganzila ili mkafanyiwe Mental Rehabilitation Therapy.
 
HIZO NI HOJA DHAIFU. Wewe sema wamechakachua. Mimi nakwambia: Kwa Jina la Yesu, nimewapiga wachawi kipigo cha mbwa koko.

By the way, unapotoa hoja za kupinga maandiko uwe una-refer maandiko ya mwanzo ya kiebrania na kigiriki. Sio kusema eti Biblia nyingi... Hata shetani ana Biblia

Unatumia msalaba huu ??

1752226315796.jpeg
 
Yote mawili ni muhimu. Tunatakiwa kuongoka na kuokoka.
Mathayo 18:3
Naye akasema: “Amin, nawaambia, msipoongoka na kuwa kama watoto wadogo, kamwe hamtaingia katika ufalme wa mbinguni.

Warumi 10:13 Ahadi: “Kila atakayeliitia jina la Bwana ataokoka.”

Waefeso 2:8
Kwa maana mmeokolewa kwa neema, kwa njia ya imani; ambayo hiyo haikutokana na nafsi zenu, ni kipawa cha Mungu

1752226491458.jpeg
 
Yanatoka bhana ,jina la Yesu lina nguvu kwa yoyote atakae litamka kwa imani awe ameokoka au hajaokaka na pia mtu anaweza akawa ameokoka na asiwe na imani
Kama hujaokoka, HUNA mamlaka ya kumkemea shetani. Yesu alitoa mamlaka hayo kwa waaminio tu. Na shetani anajua kama umeokoka au la.

Kama hujaokoka, ukimkemea shetani, ni sawa na raia kusimama barabarani na kusimamisha magari, utakanyagwa. Soma Matendo 19:13-16, uone yaliyowapata wana wa Skewa.
 
Kama hujaokoka, HUNA mamlaka ya kumkemea shetani. Yesu alitoa mamlaka hayo kwa waaminio tu. Na shetani anajua kama umeokoka au la.

Kama hujaokoka, ukimkemea shetani, ni sawa na raia kusimama barabarani na kusimamisha magari, utakanyagwa. Soma Matendo 19:13-16, uone yaliyowapata wana wa Skewa.
Hapa niko bar nakunywa plse niletee mtu mwenye mapepo nimwombee uone,jina la YESU yoyote mwenye imani akilitamka linatenda
 
Pamoja na kuwa na huyo yesu wako bado unakabwa?, anyway hauna ushahidi kuwa ni wachawi ndio walihusika au ni yale yale mambo ya kibaolojia kushituka ghafla kwa part ya akili tambuzi wakati mwili ukiwa ktk ganzi ya usingizi then baada ya sekunde kadhaa mwili unapata ile sense ya milango 5 ya fahamu baada ya kuamka kwa akili tambuzi ndipo mwili mzima unapata full sensitive.

Nyie walokole na wajinga wengine wa kidini, si kila jambo ni shambulio la kiroho, acheni ujinga mnamuaibisha hata huyo Mungu wenu wa vitabu vya kusadikika, maana mngejua hasa vita za kiroho zinapiganwa vipi msingekuwa mnakurupuka tu.

Vita za roho hupiganwa na roho, maana akili ya mwili na mwili hauhusiki wala hauna sense connection ya kuyatambua hayo mambo ya kiroho isipokuwa roho yako ktk ulimwengu huo.

Narudia tena, ninyi mnaopigapiga makelele eti mnaomba na kukemea wachawi na kumkanyaga shetan, mnapoteza muda, mambo ya roho hayafanywi na mwili, bali roho yenyewe, unapokuwa kimwili hauna sense ya kuyajua ya rohoni isipokuwa kwa uwezo wa maono, ndoto za kiroho ama kufa kimwili na nafsi kuingia rohoni au kuwa na roho ya utambuzi(chafu/safi) ndipo unapoweza kuwa na uwezo wa kuingia kiroho ktk ulimwengu huo na kuipata ile feeling/sense ya ulimwengu huo.

Hakuna vita ya roho inayopiganwa bila kujua unaepigna nae eti kwa kuhisi tu unashambuliwa, wakati ni matatizo yako ya akili na mambo ya kibaolojia, Mngejua mambo ya kiroho yalivyo mngeacha kuyachezea na hizo dini zenu za kijinga zilizowaharibu.

Wachawi wangekuwa wanapigwa na hayo maombi yenu ya kukalili basi maovu yasingekuwepo, vile vile msingekuwa mnateswa na shida za kila aina.

Acheni upuuzi, someni vitabu vingi mpate maarifa mapya sio kila siku mnasoma hizi ngonjera za biblia&Quran
 
Mungu azidi kukulinda. Nashangaa watu wanaamini ushirikina ila ikija Nguvu za Mungu wanaanza kuhoji.
Wanaamini ushirikina sababu una vithibitishi, ulikuwepo kabla ya kuletwa kwa Mungu wa kikristo na uislam, na ulitenda mambo ya wazi kabisa, sasa ninyi tuelezeni huo ukristo na uislam ni jambo gani la ajabu umewai fanya lenye ushahidi?.

Hamna hata kuponywa magonjwa mnaigiziwa na matapeli huko makanisan, huyo Allah na yesu ni Miungu ya wahuni
 
Teknolojia zote zilizopo za kutafsiri lugha bado kuna mtu anaona ugumu wa maneno?
Kumbe kiswahili unajua sasa kwanini uanze kunitesa ku-Copy and Paste kwenye matranslators.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom