Nimewapiga wachawi—kipigo cha mbwa koko!

Nimewapiga wachawi—kipigo cha mbwa koko!

Mkuu, shule nimeenda. Najua sana umuhimu wa utaratibu wa kula, umuhimu wa kulala mapema na mambo yote muhimu kiafya. Siku hiyo sikuwa na uchovu wowote na mimi stress kwa ujumla sina. Maisha yangu yamejaa furaha sana kwa sababu Mungu amenifanyia mambo mengi ya baraka.

Inaonekana huijui vizuri Sleep Paralysis. Mtu aliyepatwa na SP hawezi ku-move wala kuongea tena hali hiyo huanza anapo-fall asleep. Mimi nimekuambia nilikemea kwa sauti, kwa Jina la Yesu na nilikuwa tu ndo nimejilaza - usingizi ulikuwa bado haujanishika.

Science haiwezi kuelezea mambo ya kiroho. Kisayansi, watu wenye sleep paralysis huwa wanaona kwa mfano shadowy figure chumbani, a presence near the bed, breathing sounds, whispers, au footsteps. Ajabu ni kwamba wanasayansi hawawezi kuyaona au kuya-prove hayo yanayoshuhudiwa na mtu mwenye SP; wanachoona tu kwenye lab ni brain activity. Huu ni udhaifu mkubwa sana wa sayansi katika eneo hilo.

Ndugu yangu Ibn Unuq shetani na mapepo wapo. Na hao ndio wanaofanya kazi pamoja na wachawi. Yesu ametupa mamlaka ya kuwafukuza kwa Jina la Yesu.
Wee ingefaa ukae na mimi hii sehemu jamaa wanaloga sio mchezo lakini ole wao wamtegemeao binadamu
 
Wewe ndio umeclaim unatakiwa uthibitishe dai lako mama. Vp hujui logic au?
Huyo atakuonyesha mpaka picha za mambo ya kichawi. Mimi nikikueleza kwa Maandiko utasema yana contradiction.
 
Huyo atakuonyesha mpaka picha za mambo ya kichawi. Mimi nikikueleza kwa Maandiko utasema yana contradiction.

Ujinga tu mara ngapi Kiranga ameomba ushahidi wa hili jambo anakwepa?

Alafu unajua maana ya Imani na uhalisia?

I'll argue against that huo ni ujinga why would people invest in technology if supernatural power can solve people's problems very well?
 
Wee ingefaa ukae na mimi hii sehemu jamaa wanaloga sio mchezo lakini ole wao wamtegemeao binadamu
Umesema kweli ole wao wamtegemeao mwanadamu. Wewe mtegemee Mungu tu, litumie Jina la Yesu kuwakemeaa wachawi watakukimbia. Hakikisha tu unaishi maisha matakatifu. Ukiishi maisha ya dhambi huwezi kuwakemea wachawi wakakimbia.
 
Sisi kama Wachawi tunasikitika sana kutokana na hii mada 😎
 
Ujinga tu mara ngapi Kiranga ameomba ushahidi wa hili jambo anakwepa?

Alafu unajua maana ya Imani na uhalisia?

I'll argue against that huo ni ujinga why would people invest in technology if supernatural power can solve people's problems very well?
Kazi ya shetani na maajenti wake sio ku-solve people's problem. Kazi yao kuu ni kuchinja na kuua. Ndiyo sababu wale wachawi walikuja na kunigandamiza.
Wanao-"invest" kwenye uchawi lengo lao ndio hilo, kuchinja na kuua.
 
Unajua Imani lakini ni nini?

Ok, unamaanisha nini unaposema shetani?
 
Unajua Imani lakini ni nini?

Ok, unamaanisha nini unaposema shetani?
Mbona majibu ya maswali yote hayo yapo kwenye Biblia. Ulivyosoma Biblia ukaona ina contradiction, hukuona maelezo ya imani ni nini na shetani ni nani?
 
Mbona majibu ya maswali yote hayo yapo kwenye Biblia. Ulivyosoma Biblia ukaona ina contradiction, hukuona maelezo ya imani ni nini na shetani ni nani?

Mimi si amini hicho kitabu elezea bila bible.
 
😂Aya bhan, kwahiyo ndio maelezo hayo. Aise sijui lakini, ila shida ipo.
Shida ipo kwako kwa sababu unapinga tu vitu ambavyo viko wazi kabisa.
Hapa JF kuna nyuzi kibao za watu wanaosimulia mambo ya kichawi halafu leo unauliza uchawi ni nini?
Anyway, Mungu hana upendeleo. Hata mimi sikuzaliwa najua mambo haya, ni kwa neema ya Mungu tu, hivyo naamini na wewe nuru ya Kristo itakuzukia. Nakuombea.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom