Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,848
- 58,592
Kwanini unafanya hivi lakiniAmeeeen. Karibu katika familia ya waliookoka. Nilikupa mfano wa sala ya toba. Umeishaomba sala hiyo? Kama bado, basi wewe kweli una Poor Brain
Kwanini unafanya hivi lakiniAmeeeen. Karibu katika familia ya waliookoka. Nilikupa mfano wa sala ya toba. Umeishaomba sala hiyo? Kama bado, basi wewe kweli una Poor Brain
Mimi ni tofauti. Tangu utoto nilikuwa napenda kwenda kanisani. Of course nilikuwa naenda church kama ilivyokuwa desturi ya wazazi wangu, ila nilikuwa bado sijaokoka, kwa kuwa hapa na pale nilikuwa natukana na kugombana na wenzangu japo si sana.Kawaida watu wengi walio okoka wanakuwa wamepitia mambo mengi sana mpaka kufikia kuokoka, wengi wao wanakuwa wamechoka kujiuza mitaani na mitandaoni na wengine wanakimbia uchawi wa kifamilia. Wewe mwenzetu ulikimbia nini mpaka kuokoka?
Nimefanyaje mpendwa wangu. Nimekosea kukuita Poor Brain ? Kama ni hivyo, nisamehe.Kwanini unafanya hivi lakini
Duh, Elly official umeandika lugha gani? Kijerumani?Huo nao ni uvhswo
Gojaga Nize nikuchape InjiliSetfree nasikia huna mchumba...
Nakushauri uolewe Sasa ili umtumikie Mungu vizuri.
UmechanganyikiwaHii ni habari ya kweli kabisa. Uongo mimi nauchukia kama ukoma.
Kama huamini kuna wachawi, sikiliza vizuri: Hivi majuzi, walikuja usiku, muda mfupi baada ya mimi kujilaza kitandani. Wakaanza kunikandamiza kwa nguvu sana. Mgandamizo ulikuwa mzito, utafikiri mtu ameweka juu yangu mifuko mitano yenye saruji. Sio mzaha, nakwambia.
Sijawahi kuhisi uzito huo kamwe. Haraka sana nilitambua ni wachawi wanaotumiwa na mapepo kujaribu kunidhuru. Nikaanza kuwakemea kwa Jina la Yesu - kwa sauti ndogo, lakini yenye mamlaka watoke na kuniachia. Instantly, waliniacha na mgandamizo ule ukatoweka. Jina la Yesu lina nguvu sana. Ukilitamka, wachawi wanapigwa kipigo kikali sana na kukimbia. Hii ni mojawapo ya faida za kuokoka. Unatembea kifua mbele bila kuogopa wachawi.
Yakobo 4:7-10
"Basi mtiini Mungu. Mpingeni ibilisi, naye atawakimbia. Mkaribieni Mungu, naye atawakaribia. Itakaseni mikono yenu ninyi wenye dhambi, na kuisafisha mioyo yenu ninyi wenye nia mbili. Huzunikeni, na muomboleze, na kulia. Kicheko chenu na kigeuzwe kuwa kuomboleza, na furaha yenu kuwa huzuni. Jinyenyekezeni mbele za Bwana, naye atawainua."
Yote mawili ni muhimu. Tunatakiwa kuongoka na kuokoka.Ni kuongoka sio kuokoka.
felakutiAchana na mental health people mkuu hapa utakesha kubishana na machizi...corrupted minds all in the name of religion ..
Soma tena mkuu, kichwa cha uzi bado kinasomeka vile vile. Ila kama umeishapiga kilauri, pole sana maana macho yako lazima yaone mauzauza. Achana na hiyo mipombe, ni dhambiUmesema umewapigia simu Wachawi au nimesoma vibaya?
Acha mzaha Poor BrainSijaokoka .. nitaokoka mpka utakaporuhusu nikutane na ww
Kwamba aya hizo ni uzushi, kwamba zimeingizwa baadaye, hiyo sio issue. Issue ni kwamba wachawi nimewapiga kwa Jina la Yesu na wamekimbia.Aya hizo ni uzushi ,aya yako sasa inatambulika ulimwenguni kote kuwa "imeingizwa" baadaye na Kanisa na matoleo yote ya hivi karibuni ya Biblia, kama vile Revised Standard Version the New Revised Standard Version, New American Standard Bible, New English Bible, Phillips Modern English Bible ... nk. wote wameifuta aya hii katika biblia zao .
Bila ya kujali. Kwa nini hii? Mfasiri wa maandiko Benjamin Wilson anatoa maelezo yafuatayo kwa kitendo hiki katika "Emphatic Diaglott" yake. Bwana Wilson anasema:
"Maandiko haya yanayohusu ushuhuda wa mbinguni hayamo katika hati yoyote ya Kigiriki ambayo iliandikwa mapema zaidi ya karne ya kumi na tano.
Haijatajwa na yeyote kati ya waandishi wa kikanisa; si na baba yeyote wa mapema wa Kilatini hata wakati masomo ambayo walishughulikia kwa kawaida yangewaongoza kukata rufaa kwa mamlaka yake. Kwa hivyo ni dhahiri kuwa ni ya uwongo."
Kwa hiyo sasa wewe hutukani hata ukinogewa kwenye dimba la 6 X 6 pale unapofikishwa kileleni au unakuwa hukumbuki tu kwa kuwa unakuwa dunia nyingine?Mimi ni tofauti. Tangu utoto nilikuwa napenda kwenda kanisani. Of course nilikuwa naenda church kama ilivyokuwa desturi ya wazazi wangu, ila nilikuwa bado sijaokoka, kwa kuwa hapa na pale nilikuwa natukana na kugombana na wenzangu japo si sana.
Lakini baadaye nilitambua wazi kuwa mimi ni mwenye dhambi. Ingawa sikuwa nimepitia mambo mengi mabaya kama wengine, lakini nilitambua kuwa mimi ni mwenye dhambi tu kama ilivyoandikwa katika
Rum 3:23-26
kwa sababu wote wamefanya dhambi, na kupungukiwa na utukufu wa Mungu; wanahesabiwa haki bure kwa neema yake, kwa njia ya ukombozi ulio katika Kristo Yesu; ambaye Mungu amekwisha kumweka awe upatanisho kwa njia ya imani katika damu yake
Hivyo nilitubu, nikampokea Yesu awe Bwana na Mwokozi wangu; nikabatizwa katika maji mengi, nikajazwa Roho Mtakatifu. Hadi leo naendelea kumpenda Yesu na sitamwacha kamwe, maana karibu atarudi kutuchukua na kutupeleka mbinguni kwenye raha ya milele. Nakukaribisha na wewe katika familia ya waliookoka, kama bado hujaokoka.
Shetani anajua mimi ni tishio kwake, kwa sababu namnyang'anya watu aliowateka, ndio sababu anawatumia maajenti wake(wachawi) kujaribu kuniangamiza. Lakini hawawezi. Yesu wangu ni ngome imara.
Kuhusu Yesu kuwaambia watu watumie Jina lake, soma mstari huu:
Marko 16:17
Nazo ishara hizi zitafuatana na wanaoamini: Kwa Jina langu watatoa pepo wachafu; watasema kwa lugha mpya
Hukuvuta majani ya ajabu au ulikunywa mtori mwingi?Kwamba aya hizo ni uzushi, kwamba zimeingizwa baadaye, hiyo sio issue. Issue ni kwamba wachawi nimewapiga kwa Jina la Yesu na wamekimbia.
Na kwa nini ukaileta hiyo Aya na unasema sio issue , wewe Itakuwa unaongozwa na wachawi umekunywa damu nyingi ya Yesu kutoka Dodoma , hiyo si akili yakoKwamba aya hizo ni uzushi, kwamba zimeingizwa baadaye, hiyo sio issue. Issue ni kwamba wachawi nimewapiga kwa Jina la Yesu na wamekimbia.
Hiyo aya mimi naiamini. Ila kwakuwa wewe unadai ni ya uzushi ndo maana nimekuambia angalia matokeo. Kama aya ni ya uzushi, kwanini wachawi wamekimbia? Usikubali kutumiwa na shetani kueneza uongo. Shetani ameishahukumiwa kwenda motoni. Ukiendelea kumfuata, utaangamia pamoja naye.Na kwa nini ukaileta hiyo Aya na unasema sio issue , wewe Itakuwa unaongozwa na wachawi umekunywa damu nyingi ya Yesu kutoka Dodoma , hiyo si akili yako
Psychology haiwezi elezea mambo ya Rohoni hata siku Moja.... Spiritual life is real like physical... Ila mambo haya yamefichwa kwa wenye hekima ya dunia... Ndio maana hawezi kuelewa mpaka pale Roho wa Mungu atakapokufunulia....
HIZO NI HOJA DHAIFU. Wewe sema wamechakachua. Mimi nakwambia: Kwa Jina la Yesu, nimewapiga wachawi kipigo cha mbwa koko.Hapo juu umenukuu halafu umekuja kuuliza tena , nafikiri wachawi wanakuchezea akili Sasa .Mbona nilishajkujibu hii huko nyuma kuwa hii Aya imechakachuliwa. ? Rudi huko nyuma uangalie . Biblia nyingi Marko 16 inaishia Aya ya 8 . Hizo zinazofuata zote zimeshaondolewa Ndani ya biblia . Ni kuwa watu walizichakachuwa. Rudi kuanzia page ya kwanza utaikuta