Nimepitwa na yapi? - karibu tuzogoe πŸ™‚

Ubuyu ambao ngumu kuuelewa kama hivi si ni mawe haya πŸ˜‚

Ni nani kwani wamependana wakaibiana
Ila kudate na mwanaJF nayo ni mtihani wa mock ujue πŸ˜‚
πŸ˜€πŸ˜€
Wala mbona rahisi tu
Maturity ndo muhim

Ila so kwa gen z hii ni kwa millenia 🫢 khantwe usiogope
 
Kwa haraka haraka nani ananifaa humu nianze kumshobokea?

Baba labla umesema ni chokoraa, The icebreaker mchambaji πŸ˜‚πŸ˜‚
Mwanaume lazima kuna wakati unatakiwa uwe aggressive coz kuna aina ya watu humu,hiyo ndio lugha pekee wanayo ihitaji ili kuelewa na ili kuweka heshima yako,JF unapokewa kama utakavyo kuja tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…