Nimepigwa na butwaa

Nimepigwa na butwaa

Wasalam wakuu.

Katika hali ya kushtukiza na kuchanganya leo hii nimekuta application ya jf kwa simu ya mama..

I don't know ni nani kamwekea hii application au imekuaje kuaje.

Nimeshindwa hata kuifungua ila nime unstaill aiseee....

Yaani imekuaje kuaje wakuu..
Humu ndani humu umakini unatakiwa wa kutosha aiseee

Bado najiuliza kama anatumia jf au laah..
Nimepigwa na butwaa...

Wakuu mjiheshimu kuna watu mna assume ni mtu flani.. nimesema sijajua kama kajiunga au laa
mama yako usalama...kaa nae kimitego
 
Basi kama ulikuwa unamchukulia mama poa basi usimchukulie tena poa.

Najua ulitegemea utaishia kuona FB app na Whatsap.

JF kwasasa haishangazi tena kumkuta mtu yeyote, mijadala mingi ya JF inayokuwa shared kwenye mitandao mingine ya kijamii inawafanya watumiaji wa hiyo mitandao kuifahamu na kujiunga na kuwa watumiaji rasmi.

Sema haina mvuto sana kwa wasiopenda maandishi na wapenda umbeya.
Imejua kuniwazisha.. na Bora awe ni mtu wa kupita tuu sio wa kukaa hapa jf mazima kwa kweli
 
Wasalam wakuu.

Katika hali ya kushtukiza na kuchanganya leo hii nimekuta application ya jf kwa simu ya mama..

I don't know ni nani kamwekea hii application au imekuaje kuaje.

Nimeshindwa hata kuifungua ila nime unstaill aiseee....

Yaani imekuaje kuaje wakuu..
Humu ndani humu umakini unatakiwa wa kutosha aiseee

Bado najiuliza kama anatumia jf au laah..
Nimepigwa na butwaa...

Wakuu mjiheshimu kuna watu mna assume ni mtu flani.. nimesema sijajua kama kajiunga au laa
Unaishi nyumbani kwa mama?
 
Back
Top Bottom