Nimepigwa na butwaa

Nimepigwa na butwaa

1744133735352.jpg

Fyuuuu kuwa makini sana
 
We acha tu.
Mitandao hii ina mambo sana.

Mimi niliwahi kutongozwa na bamdogo Fb kwa akaunti yangu feki.
Nilimlia pesa mwanzoni, alipotaka kuonana nami nikamlima block
Wewe tabia mbaya hiyo 🙌🙌😂
 
Una maana ya mama yako mzazi au Mama Samia Rais na kiongozi wetu.

Kama ni Rais mbona hakuna shida, lazima yupo kupata mrejesho wa wananchi.

Kama ni mama yako, inategemea labda unamchukulia mshamba (ignorant) flani hivi. Lakini sasa ujue hayupo kama umdhaniavyo.
Mkuu hi noma sana..
Ni bi mdashi an mzazi kabisa
 
Hutaki iwe hivyo au hupendi iwe hivyo, embu fafanua kidogo!

Wenzake wa 70+yrs old tupo humu na ninyi tukihangaika, kwani shida iko wapi?

Na ukianza tu ubaguzi wa umri mwisho wa siku utakuja kujinyanyapaa wewe mwenyewe na habari yako itaishia hapo.
Mi staki bi mdashi awepo humu mkuu
STAKI NA SINA SABABU
 
Mkuu hii ya leo imenistukiza ujue...
Yaani kwanza kukutana na mtu tuu wa jf humu inakuaga mara chache sana..

Alafu pap nakuta bi mdashi ana app
Basi kama ulikuwa unamchukulia mama poa basi usimchukulie tena poa.

Najua ulitegemea utaishia kuona FB app na Whatsap.

JF kwasasa haishangazi tena kumkuta mtu yeyote, mijadala mingi ya JF inayokuwa shared kwenye mitandao mingine ya kijamii inawafanya watumiaji wa hiyo mitandao kuifahamu na kujiunga na kuwa watumiaji rasmi.

Sema haina mvuto sana kwa wasiopenda maandishi na wapenda umbeya.
 
Back
Top Bottom