Nelly
JF-Expert Member
- Jan 25, 2020
- 5,666
- 11,123
Acha dharau mkuu hata matani yana mipaka yake...Pengine mama ako ndio mchepuko wangu humu, jf bana
Acha dharau mkuu hata matani yana mipaka yake...Pengine mama ako ndio mchepuko wangu humu, jf bana
We jamaa acha ujinga..Pengine mama ako ndio mchepuko wangu humu, jf bana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Shikamooo mamaMama mzazi mkuu...
Leo nipo hapa namsindikiza akasema kuna movies flan hv anahitaji nimrushie ndo nipo natoa kwa hard disk nahamisha nikaona storage kama inazingua nikawa. Nachek app za kufuta ndo nakutana na mzigo wa jf umetulia front page aiseee
Shenzi wa tabia hyo dactarAcha dharau mkuu hata matani yana mipaka yake...
Kama unajiweza Njoo 😂 hakikisha umeshibaMbaga jr takudaka kwenye mechi ya simba na yanga si unakuaga juu kule na camera yako ..
Piga sana mpaka ujute
Huyu maza jau mkuu🤣🤣🤣🤣🤣🤣Shikamooo mama
Hapo tatizo sasa aiseeHakuna shida ila kama kajiunga na ana login kabisa hapo kuna shida
Mkuu we unijui mi nakujua nakuvizia tuuKama unajiweza Njoo 😂 hakikisha umeshiba
Hamna mkuu irudishe app yake na ufatilie ujue anatumia ID gani na mada anazowasilisha..... Utajua vingiMkuu yaani mama angu awe huyo jamaa tlaatlaah
Tatizo kubwa mnoo...naanza kuogopa sasa nakosa uhuruHapo tatizo sasa aisee
Mkuu sawa wapo watu wengi tu..Kweli Poor Brain, we ulidhani humu JF tupo vijana tu au? 😀 mbona kuna watu wazima tu na wanasoma threads zetu vizuri tu.
Jf unaweza jikuta unamwambia mzazi wako atulie bado ni kinda, au unaweza kumuita mvulana 😄😄Sasa mamako kutumia jf kuna shida gani mkuu?
Au unamuona hana upeo wa kuchangia!
Hajawahi na hatowahi mkuu l..
Ila si hajui kama unajiita Poor BrainTatizo kubwa mnoo...naanza kuogopa sasa nakosa uhuru
Mkuu tuwe makini ujueJf unaweza jikuta unamwambia mzazi wako atulie bado ni kinda, au unaweza kumuita mvulana 😄😄
Eniwei.....maza anakiwango gani cha elimu....Huyu maza jau mkuu