Nimeota:Ameamua kuachia kijiti

Nimeota:Ameamua kuachia kijiti

Nilikua sijakielewa kichwa cha habari, kumbe ni ndoto.
Ungetuambia ni ndoto ya saa ngapi then we could be in a position to predict your dream
 
Nani huyo mkuu,sijaelewa umeniacha solemba
hawezi kuachia kwa hiyari. Hadi abanwe kwelikweli. (hadi hali iwe mbaya kwelikweli) Madudu aliyoyafanya kwa kipindi kifupi ni mengi mno. miaka minne tu ila balaa lake sasa ...
 
Wadau
Nimestuka muda huu baada ya kuota ndoto ngumu sana, eti asiyepingwa ameamua kuachia kijiti na ameiachia tanganyika huru

Kwenye ndoto hii ya muda huu nimeota kwamba vyombo vya dolari vimeamua kuchakata karata na kutoa ushauri kiungwana

Hivi mnadhani hii ndoto itakua ya kweli?

Mimi narudi kulala ili niendelee kuota mengi zaidi,nitawasimulia tena nikiamka
Hivi hii inaweza kuwa Msaada Kwa Chadomo kweli?

Wala hakuna chochote Cha ajabu hata kina Biden walifanya hivyo.

Swali ni Je hii itawasaidia Chadema? Adui Yao ni aliyepo au?
 
Wadau
Nimestuka muda huu baada ya kuota ndoto ngumu sana, eti asiyepingwa ameamua kuachia kijiti na ameiachia tanganyika huru

Kwenye ndoto hii ya muda huu nimeota kwamba vyombo vya dolari vimeamua kuchakata karata na kutoa ushauri kiungwana

Hivi mnadhani hii ndoto itakua ya kweli?

Mimi narudi kulala ili niendelee kuota mengi zaidi,nitawasimulia tena nikiamka
Angalia usijekojoa kitandani Mkuu.
 
Mkuu hongera WENGNE ni walinzi tupo apa tuna Linda atulali
Pole sana kwa kazi,sema sikuhizi huwa tunaota hata tukiwa macho sijui jini kimetuvuruga watanganyika
 
Kwenye ndoto hii ya muda huu nimeota kwamba vyombo vya dolari vimeamua kuchakata karata na kutoa ushauri kiungwana
na hapo ndo penye mauzui ya ndoto,japo sijakuelewa uliposema asiyepingwa.
 
Wadau
Nimestuka muda huu baada ya kuota ndoto ngumu sana, eti asiyepingwa ameamua kuachia kijiti na ameiachia tanganyika huru

Kwenye ndoto hii ya muda huu nimeota kwamba vyombo vya dolari vimeamua kuchakata karata na kutoa ushauri kiungwana

Hivi mnadhani hii ndoto itakua ya kweli?

Mimi narudi kulala ili niendelee kuota mengi zaidi,nitawasimulia tena nikiamka
rubbish!
 
Je wew sio mmoja wa wahuni? Sema ndio mm

Tuko wengi Sana tulioota hiyo ndoto
 
Back
Top Bottom