Kuota unakula NYAMA NDOTONI KILA MALA

amoc thedon

JF-Expert Member
Jul 19, 2016
293
464
Habari ndugu , samahani kwa usumbufu ila nahitaji msaada/ ufafanuzi/ ushaur katika jambo hili

Mimi Nina rafiki yangu wa kike bado anaishi nyumban kwao , yeye anaishi na bibi ake kizaa mama ,

Bas leo amenitafta na akaniambia ameota ndoto kua ypo mahala flan hapafam anapewa na kula nyama , na alipo situka usingizin akawa anajiuliza maan ya hyo ndoto, lakin akiwa bado kwenye tafakari akajikuta amepitiwa na usingizi tena, baada ya kulala ile ndoto ikawa inaendelea , ikaanza anamhoji mtu asiemfaham kwamba hii nyama ni yanini mbona ila ladha mbaya na tofaut na nyama zingne ( huyo anaehojiwa nae pia ameshiriki kula japo hamfaham), lakini kabla hajapata jibu akatokea mtu mwingne nae pia hamfaham akamwambia "Bora mwenzio kala nyama ya mwanamke lakini ww umekula ya mwanamme".

Baada ya hapo akastuka ikiwa tayari ni asubuh uku kinywan akiwa anahis kichefu chefu ambacho baadae kilitulia baada ya kuamka, hivyo akanitafata na kunisimulia ili nimpe ushauri .

Lakini mimi nilimwambia kua itakua ni ndoto tu haina la maana, yeye akasema ndoto hizo za kuota anakula nyama ama vitu vingne kwenye masherehe na watu asio wafaham zimekua nyingi na haiwez pita week2 hajaota ndo maan akaomba ushauri.

Nilipoendelea kumdadis hizo ndoto zimeanza lini akasema ni mwaka huu , lakin kabla hanaanza kuota hizo ndoto kuna siku aliota yupo na bibi ake , hyo bibi akiwa amevaa mavaz ya asili yaan kaniki kama za waganga et akimuelekeza jambo kama anamfundisha kuwanga.

Alipo stuka alfajir akamueleza bibi ake katika hali ya kawaida ,kua bibi nimeota kua unanifundisha uchawi ,
Hyo bibi baada ya kuambiwa hivyo akawa mbogo na akatukana sana ,japo jambo hilo liliisha lkn kila hyo bint akifanya jambo lolote la kumwuuz huyo bibi hukumbushia kua " ndo maana uliniita Mimi mchawi"

Hivyo nimelileta kwako ili nipate kutambua kama kuna uchafu wowote ambao bint hyo anafanyiwa na afanye Nini kuepuka ile hali , maan anadai imekua kero sasa. Ahsante

NB : bibi ake ni mtu wa dini sana ya kilokole anafunga na mda mwingne kulala kabisa kanisani akiomba
Mshana Jr

Sent from my TECNO CE7j using JamiiForums mobile app
 
Eti. "......bibi ake ni mtu wa dini sana ya kilokole anafunga na muda mwingne kulala kabisa kanisani akiomba"

Acha kutukana walokole wewe!
 
Hakuna washirikina kama hao walokole wa namna hiyo

Anyway nisihukumu sana, huyo mhanga kalishwa nyama kweli katika uhalisia wake na sio nyama ya binadamu(maiti) most likely bali ni nyama ya bundi au fisi au mamba! Mwambie ili hiyo hali isimtokee tena alambe ndimu wakati wa kwenda kulala
Kingine inawezekana zilikuwa ni sherehe za wachawi za mwaka maana ndio kipindi chake hiki naye akachukuliwa akale! Hapa ni nyama za wafu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante ndugu ngoja nimushauri

Sent from my TECNO CE7j using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom