Nimeota:Ameamua kuachia kijiti

Nimeota:Ameamua kuachia kijiti

Wadau
Nimestuka muda huu baada ya kuota ndoto ngumu sana, eti asiyepingwa ameamua kuachia kijiti na ameiachia tanganyika huru

Kwenye ndoto hii ya muda huu nimeota kwamba vyombo vya dolari vimeamua kuchakata karata na kutoa ushauri kiungwana

Hivi mnadhani hii ndoto itakua ya kweli?

Mimi narudi kulala ili niendelee kuota mengi zaidi,nitawasimulia tena nikiamka
Athari za kula sana viporo. Ndoto huja kama fumbo imekuwaje ipo wazi hivyo kama za watoto wa sinza
 
Wadau
Nimestuka muda huu baada ya kuota ndoto ngumu sana, eti asiyepingwa ameamua kuachia kijiti na ameiachia tanganyika huru

Kwenye ndoto hii ya muda huu nimeota kwamba vyombo vya dolari vimeamua kuchakata karata na kutoa ushauri kiungwana

Hivi mnadhani hii ndoto itakua ya kweli?

Mimi narudi kulala ili niendelee kuota mengi zaidi,nitawasimulia tena nikiamka
Utakuwa una mapepo. Nenda kwa mwaposa akayatoe.
 
Wadau
Nimestuka muda huu baada ya kuota ndoto ngumu sana, eti asiyepingwa ameamua kuachia kijiti na ameiachia tanganyika huru

Kwenye ndoto hii ya muda huu nimeota kwamba vyombo vya dolari vimeamua kuchakata karata na kutoa ushauri kiungwana

Hivi mnadhani hii ndoto itakua ya kweli?

Mimi narudi kulala ili niendelee kuota mengi zaidi,nitawasimulia tena nikiamka
Kwa vile ni ndoto, wewe endelea kulala tu ndg yangu. Mtu alikwisha sema yeye yupo mpaka 2030, wala hajui kuwa kuna raia wanapiga kura wala nini, na hata hajui kuna Mungu anaweza kumuita kabla ya muda huo wala nini. Sio ndoto mbaya, ila endelea kulala, wenzako wako radhi kukanyaga damu mbichi za raia wao ili waendelee kuwepo madarakani na sio vinginevyo.
 
Nilisikia wanataka kufuta hili jukwaa, itakua heri, maana pamejaa upuuzi na wapuuzi tu humu
Log out mapema tu, wala huna sababu ya kusoma huo upuuzi wa wapuuzi, tuache sisi wapuuzi tuendelee kusoma nyuzi za kipuuzi kutoka kwa wapuuzi wasiopaswa kupuuzwa na wale wapuuzi kutoka kwenye ile nyumba ya wapuuzi.
 
Kwa vile ni ndoto, wewe endelea kulala tu ndg yangu. Mtu alikwisha sema yeye yupo mpaka 2030, wala hajui kuwa kuna raia wanapiga kura wala nini, na hata hajui kuna Mungu anaweza kumuita kabla ya muda huo wala nini. Sio ndoto mbaya, ila endelea kulala, wenzako wako radhi kukanyaga damu mbichi za raia wao ili waendelee kuwepo madarakani na sio vinginevyo.
Tuendelee kusubiri ndoto nyingine mkuu, tusikate tamaa
 
Wadau
Nimestuka muda huu baada ya kuota ndoto ngumu sana, eti asiyepingwa ameamua kuachia kijiti na ameiachia tanganyika huru

Kwenye ndoto hii ya muda huu nimeota kwamba vyombo vya dolari vimeamua kuchakata karata na kutoa ushauri kiungwana

Hivi mnadhani hii ndoto itakua ya kweli?

Mimi narudi kulala ili niendelee kuota mengi zaidi,nitawasimulia tena nikiamka
Hii ndoto labda ingeotwa na Britannica.
 
TUNDU LISU LAZIMA AAJICHIE KIJITI TUH,WE JELA UNAFANYA MCHEZO?YEYE MWENYEWE ANAKIRI SELO NI MBAYA
 
Ukitaka iendeleee kuwa ndoto endelea kulala,ukitaka iwe kweli amka uifanyie kazi.😊😊
 
Back
Top Bottom