#Kataa WahuniKuna wahuni (wachawi) flani wakitaka kukupyambya basi huwa wanakupa vindoto vya kifala kama hivyo Ili wafanye kazi yao vizuri. Busara ilikuwa kujichunguza masega kwanza kuona yamevurugikaje kabla ya kukimbilia Huku........amka ndugu wanakutia ulofa hao🤣🤣🤣🤣🤣
Wazazi wangu hapa wanaingiaje? by the way, wazazi wangu wa good time maana hawategemei kiinua mgongo cha serikali ya cvm, wala hawajanisomesha kwa mkopo wa serikali ya ccm, na pia sijasoma shule za serikali ya ccmUsisahau kuwaota na wazazi wako kwa jinsi wanavyoteseka kijijini!
No sijachukua.Paskali Nimeisoma,inaweza ikiendana na ndoto yangu,nimeshaamka silali tena
By the way form umechukua au umewaogopa wajumbe
Hizo zote stress unless utoa taarifa zako tuzi verify. Ila wakumbuke sana wazazi dogo. Wanapiga sana mizinga kijijini.Wazazi wangu hapa wanaingiaje? by the way, wazazi wangu wa good time maana hawategemei kiinua mgongo cha serikali ya cvm, wala hawajanisomesha kwa mkopo wa serikali ya ccm, na pia sijasoma shule za serikali ya ccm
Ukiota unakunya sukuma mzigoWadau
Nimestuka muda huu baada ya kuota ndoto ngumu sana, eti asiyepingwa ameamua kuachia kijiti na ameiachia tanganyika huru
Kwenye ndoto hii ya muda huu nimeota kwamba vyombo vya dolari vimeamua kuchakata karata na kutoa ushauri kiungwana
Hivi mnadhani hii ndoto itakua ya kweli?
Mimi narudi kulala ili niendelee kuota mengi zaidi,nitawasimulia tena nikiamka
Hakuna muhuni wa kumzidi yule aliyeolewa ulaya na Sasa anataka wote waolewe huko kama yeye......yeah, tunawakataa wahuni kwa nguvu zote na ndo maana wengine wapo mahakamani Sasa hivi wakiadibishwa.#Kataa Wahuni
Maisha yangu uya verify kama nani, jikite kwenye mada, kama wazazi wako wapo kijijini sio kila mtu wazazi wake wapo kijijini, wengine tumezaliwa hapa mjini na ndio maisha yetu yapo hapaHizo zote stress unless utoa taarifa zako tuzi verify. Ila wakumbuke sana wazazi dogo. Wanapiga sana mizinga kijijini.
Nashukuru sana. Tuungane kuwakataa hawa wahuni wanaotuletea habari zao za kuoewa ulaya huko.Naheshimu mawazo yako mkuu
Ndoto ya mchana ya nyumbuWadau
Nimestuka muda huu baada ya kuota ndoto ngumu sana, eti asiyepingwa ameamua kuachia kijiti na ameiachia tanganyika huru
Kwenye ndoto hii ya muda huu nimeota kwamba vyombo vya dolari vimeamua kuchakata karata na kutoa ushauri kiungwana
Hivi mnadhani hii ndoto itakua ya kweli?
Mimi narudi kulala ili niendelee kuota mengi zaidi,nitawasimulia tena nikiamka
Ndoto ya nyumbu,ndoto ya mchanaEndelea kuotaz , maana ni ndoto nzuri sana
Ninauza nyumba yangu hapa vikindu nyuma ya mtaa wa polisi mwenye uhitaji unipigie 0625784681. Au wasap 0673294681. Ni nyumba ina apartments 2 na vyoo ndani.Wadau
Nimestuka muda huu baada ya kuota ndoto ngumu sana, eti asiyepingwa ameamua kuachia kijiti na ameiachia tanganyika huru
Kwenye ndoto hii ya muda huu nimeota kwamba vyombo vya dolari vimeamua kuchakata karata na kutoa ushauri kiungwana
Hivi mnadhani hii ndoto itakua ya kweli?
Mimi narudi kulala ili niendelee kuota mengi zaidi,nitawasimulia tena nikiamka
Sawa nyumbuAlivyo mroho sidhani kama ataachia kijiti
NyumbuAtokeeeeeeee tuuu si hatuna habari nae.
Akaongoze waislam kwao kule kama watakubali wale wazeee😀😀😀😀😀
Nyumbu ameota kijiti,ni hatari kwake,isijekuwa kimemuingiaKuotaota kwako, iko siku utaota unapakwa utelezi shauri zako!
Nyumbu kijiti vha jicho ,kuwa mwangalifu,kuwa Kweli hata mimi nimeota