The Knowledge Seeker
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 4,351
- 6,605
Itabaki kuwa ndoto tuWadau
Nimestuka muda huu baada ya kuota ndoto ngumu sana, eti asiyepingwa ameamua kuachia kijiti na ameiachia tanganyika huru
Kwenye ndoto hii ya muda huu nimeota kwamba vyombo vya dolari vimeamua kuchakata karata na kutoa ushauri kiungwana
Hivi mnadhani hii ndoto itakua ya kweli?
Mimi narudi kulala ili niendelee kuota mengi zaidi,nitawasimulia tena nikiamka
Niliona jambo hilli pia,Mimi nimeota amepata uchizi
Anatoa mapepo na majini ya kisiasaNani kakwambia mchumia tumbo mwamposa anaweza kutoa pepo
tanganyika na miujiza --- safari ni ndefuWadau
Nimestuka muda huu baada ya kuota ndoto ngumu sana, eti asiyepingwa ameamua kuachia kijiti na ameiachia tanganyika huru
Kwenye ndoto hii ya muda huu nimeota kwamba vyombo vya dolari vimeamua kuchakata karata na kutoa ushauri kiungwana
Hivi mnadhani hii ndoto itakua ya kweli?
Mimi narudi kulala ili niendelee kuota mengi zaidi,nitawasimulia tena nikiamka
Shujaa wetu ni sisi wenyeweKati ya polepole na maudenda nani shujaa wenu sasaivi?
Umeanza kukua kiakiliHongera kwa kuota ndoto inayochekesha
Nami nimeota hivyohivyo ili wenye haki ya kukimbia mbio ndefu waendelee kwani wanasema yeye kadandia njiani. Ila muda ndo utasema na historia kuandokwa.Wadau
Nimestuka muda huu baada ya kuota ndoto ngumu sana, eti asiyepingwa ameamua kuachia kijiti na ameiachia tanganyika huru
Kwenye ndoto hii ya muda huu nimeota kwamba vyombo vya dolari vimeamua kuchakata karata na kutoa ushauri kiungwana
Hivi mnadhani hii ndoto itakua ya kweli?
Mimi narudi kulala ili niendelee kuota mengi zaidi,nitawasimulia tena nikiamka
Ah! Kumbe uko Tanganyika. Sasa wale wengine vipi? Naona huko tuendako kuna kiza chenye nuru angavu.Huyuu asiyepingwa sio rahisi kuachia kijitu bora watanganyika wafe laki moja kulipo yeye kuachia kijiti.
Ni kweli mkuu.Hii ndoto lazima itimie maana watu wengi wameota kama mimi
😁😁😁😁😁😁😁hahaha
Unakumbuka ni muda gani umeshtuka baada ya ndoto hii ili nicheki kitu flani.Wadau
Nimestuka muda huu baada ya kuota ndoto ngumu sana, eti asiyepingwa ameamua kuachia kijiti na ameiachia tanganyika huru
Kwenye ndoto hii ya muda huu nimeota kwamba vyombo vya dolari vimeamua kuchakata karata na kutoa ushauri kiungwana
Hivi mnadhani hii ndoto itakua ya kweli?
Mimi narudi kulala ili niendelee kuota mengi zaidi,nitawasimulia tena nikiamka
Usisahau kuwaota na wazazi wako kwa jinsi wanavyoteseka kijijini!Wadau
Nimestuka muda huu baada ya kuota ndoto ngumu sana, eti asiyepingwa ameamua kuachia kijiti na ameiachia tanganyika huru
Kwenye ndoto hii ya muda huu nimeota kwamba vyombo vya dolari vimeamua kuchakata karata na kutoa ushauri kiungwana
Hivi mnadhani hii ndoto itakua ya kweli?
Mimi narudi kulala ili niendelee kuota mengi zaidi,nitawasimulia tena nikiamka
Rudi tuu uendelee kujilalia usingizi wako!. Soma HIIWadau
Nimestuka muda huu baada ya kuota ndoto ngumu sana, eti asiyepingwa ameamua kuachia kijiti na ameiachia
Mimi narudi kulala ili niendelee kuota mengi zaidi,nitawasimulia tena nikiamka
Kuna wahuni (wachawi) flani wakitaka kukupyambya basi huwa wanakupa vindoto vya kifala kama hivyo Ili wafanye kazi yao vizuri. Busara ilikuwa kujichunguza masega kwanza kuona yamevurugikaje kabla ya kukimbilia Huku........amka ndugu wanakutia ulofa hao🤣🤣🤣🤣🤣Wadau
Nimestuka muda huu baada ya kuota ndoto ngumu sana, eti asiyepingwa ameamua kuachia kijiti na ameiachia tanganyika huru
Kwenye ndoto hii ya muda huu nimeota kwamba vyombo vya dolari vimeamua kuchakata karata na kutoa ushauri kiungwana
Hivi mnadhani hii ndoto itakua ya kweli?
Mimi narudi kulala ili niendelee kuota mengi zaidi,nitawasimulia tena nikiamka
Wacha na mie nikusogelee ubavuni nione unavyoota huko ndotoni🤣🤣🤣Wadau