Nimeota:Ameamua kuachia kijiti

Nimeota:Ameamua kuachia kijiti

Ninauza nyumba yangu hapa vikindu nyuma ya mtaa wa polisi mwenye uhitaji unipigie 0625784681. Au wasap 0673294681. Ni nyumba ina apartments 2 na vyoo ndani.

Bei tsh. 23,000,000.00

Nitapunguza kidogo.
Nicheki wasap kama unahitaji picha na detailed information. Kataa mawinga.
Asante kwa taarifa,mwenye uhitaji atakutafuta, Ila ndugu kwa nini unauza asset, unless kuna ulazima sana
 
kumradhiiiiii
Uwe na amani, maandishi yetu yanatutambulisha sisi ni watu wa namna gani, yanasema mengi kuliko tunavyodhani kwa hiyo hata kama hatuonani au hatufahamiani ni muhimu kuwa na ustaarabu
 
Maisha yangu uya verify kama nani, jikite kwenye mada, kama wazazi wako wapo kijijini sio kila mtu wazazi wake wapo kijijini, wengine tumezaliwa hapa mjini na ndio maisha yetu yapo hapa

Uwe na jioni njema
Kuna mada gani umeandika?
 
Ndoto ni taarifa ya kile mbingu au ulimwengu wa giza zimekusudia kitokee(ingawa siyo zote). Kama tukiota ndoto mbaya tunakemea au kupinga isitokee. Lakini ndoto nzuri kama hiyo tunasema haraka sana "Amina. Iwe kama ulivyoota".
 
Puukwa Pakawa.................................................................
 
Wadau
Nimestuka muda huu baada ya kuota ndoto ngumu sana, eti asiyepingwa ameamua kuachia kijiti na ameiachia tanganyika huru

Kwenye ndoto hii ya muda huu nimeota kwamba vyombo vya dolari vimeamua kuchakata karata na kutoa ushauri kiungwana

Hivi mnadhani hii ndoto itakua ya kweli?

Mimi narudi kulala ili niendelee kuota mengi zaidi,nitawasimulia tena nikiamka
Mimi kuna ndoto mbaya nimeota juu yake acha nisiiseme nisijs tekwa
 
Back
Top Bottom