kwahyo unatushauri sisi wazee wa amsha popo a.k.a hakuna kulala tujitahidi kulala mida hyo ili tuote ndoto.Hyo sio ndoto ni mawazo yako tu uliyoyajenga kwenye fikra zako
Ndoto yenye ujumbe mzito haiwezi kukutokea mapema hv jion ingekuja wakat wa manane pale Gabriel anapitisha roll call
hahahaKabisa ,unaweza kuota umeteuliwa DPP unaenda kufuta jalada lenye kesi ya Lissu
Usije ukalala mazimaWadau
Nimestuka muda huu baada ya kuota ndoto ngumu sana, eti asiyepingwa ameamua kuachia kijiti na ameiachia tanganyika huru
Kwenye ndoto hii ya muda huu nimeota kwamba vyombo vya dolari vimeamua kuchakata karata na kutoa ushauri kiungwana
Hivi mnadhani hii ndoto itakua ya kweli?
Mimi narudi kulala ili niendelee kuota mengi zaidi,nitawasimulia tena nikiamka
Wewe endelea kuota tu.Wadau