Nimeota:Ameamua kuachia kijiti

Nimeota:Ameamua kuachia kijiti

Wadau
Nimestuka muda huu baada ya kuota ndoto ngumu sana, eti asiyepingwa ameamua kuachia kijiti na ameiachia tanganyika huru

Kwenye ndoto hii ya muda huu nimeota kwamba vyombo vya dolari vimeamua kuchakata karata na kutoa ushauri kiungwana

Hivi mnadhani hii ndoto itakua ya kweli?

Mimi narudi kulala ili niendelee kuota mengi zaidi,nitawasimulia tena nikiamka
Mwaka huu sio kumuota tu bali tutamuona hadi kwenye glass za maji tukinywa😂
 
Sio ndoto tenaa ni kitu halisi

andaa mbuzi wa kuchomwa
 
Hyo sio ndoto ni mawazo yako tu uliyoyajenga kwenye fikra zako
Ndoto yenye ujumbe mzito haiwezi kukutokea mapema hv jion ingekuja wakat wa manane pale Gabriel anapitisha roll call
Ila sasa ndio nimeota chief
 
Wadau
Nimestuka muda huu baada ya kuota ndoto ngumu sana, eti asiyepingwa ameamua kuachia kijiti na ameiachia tanganyika huru

Kwenye ndoto hii ya muda huu nimeota kwamba vyombo vya dolari vimeamua kuchakata karata na kutoa ushauri kiungwana

Hivi mnadhani hii ndoto itakua ya kweli?

Mimi narudi kulala ili niendelee kuota mengi zaidi,nitawasimulia tena nikiamka
Nilisikia wanataka kufuta hili jukwaa, itakua heri, maana pamejaa upuuzi na wapuuzi tu humu
 
Wadau
Nimestuka muda huu baada ya kuota ndoto ngumu sana, eti asiyepingwa ameamua kuachia kijiti na ameiachia tanganyika huru

Kwenye ndoto hii ya muda huu nimeota kwamba vyombo vya dolari vimeamua kuchakata karata na kutoa ushauri kiungwana

Hivi mnadhani hii ndoto itakua ya kweli?

Mimi narudi kulala ili niendelee kuota mengi zaidi,nitawasimulia tena nikiamka
Endelea kuota.
 
downloadfile.jpg
 
umeota imo ndani, ama imechomoka?!
 
Back
Top Bottom