King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,866
- 24,976
best nilijua tu hautonitupa.
ila umesahau kitu kimoja tuuuu. kwani prawns hazifai kufuturu jamani?:help::help:
:love: Ntakuja na ndimu na pilipili mbuzi
ila umesahau kitu kimoja tuuuu. kwani prawns hazifai kufuturu jamani?:help::help:
:love: Ntakuja na ndimu na pilipili mbuzi
...Futari ya ndizi mzuzu, mbaazi za nazi, tambi za kukaanga, chapati kwa mchuzi wa kuku, uji wa pilipili manga na chai ya maziwa, vitumbua bila kusahau tende 🙂🙂 Pumzi yako tu Best.