........nimekukumbuka sana :'(

........nimekukumbuka sana :'(

.....na hivi? Nani aliyempa madaraka Teamo kushikilia funguo zote za hawa wapendwa? Mimi nachukia sana,...

Ona sasa anavyonifanyia? Nitalia mimi, ohhoo!....machozi yangu hayaendagi bure!
Hahahhahah Soulmate Mbu hii post imenifanya niangue cheko katikati ya hasira loh.............. Haya Dark City, kama jopo lishaanza kazi basi mtuhumiwa namba moja nawashauri awe ni Teamo...................... (Eh kumbe mie nimeambiwa niwe mtazamaji tu)
 
Last edited by a moderator:
Hahahah Soulmate, mwabie Babu Dark City mana nnaona afanya kunkremu tu hapa............. mwenzie nshakuwa gesi sio kuni tena.

......we acha tu, yaani hajajua tu why siku hizi huanzishi thread?

Tangu siku ile nikuone Kila kitu unaki solve kwa kupangusa kibega,Mnh....nikajisemea 'misukule' ishakutoka weye 🙂 LOL
 
Last edited by a moderator:
Babu huyu Mbu lazima alienda kutambika mahala kabla hajaanzisha huu uzi, maaanaa yaani hivi hiviviiiiii (in pembes voice) hili tonge la moto ila kila nikitaka kulitema linankaba linarudi ndani lol

..... Maty, na wala usithubutu! 🙂
 
Last edited by a moderator:
......we acha tu, yaani hajajua tu why siku hizi huanzishi thread?

Tangu siku ile nikuone Kila kitu unaki solve kwa kupangusa kibega,Mnh....nikajisemea 'misukule' ishakutoka weye 🙂 LOL
.......Hahahahhahaah umeshaanza kunchokoza Soulmate, eti napangusa kibega hahahahahha. Kusema ukweli JF imekuwa mwalimu wangu mzuri sana aisee... yaani hadi naulizwa hivi ni weye kweli wa Enzi za Nalivua pendo? Maana nlikuwa machozi najaza kikombe kila siku ah......no wonder nlikuwa kimbaumbau loh
 
Siyo ubabe bwana, ni mojawapo ya majukumu yetu kama wanaume...kumlinda na kumwokoa mwenzetu kwa nguvu na gharama zozote...liwalo na liwe..lol!!

Kwa nini mlitaka kumkomesha/kumsulubu Mbu?

Niambie labda nibadilishe msimamo wangu aisee...

Halafu mambo yako ya kukubali kupotezwa kama Teamo sifagilii kabisa unajua...

Babu DC!!

.......aminia swahiba, hapa ndi ndi ndi nimeshikilia pindo la koti lako, huyu Maty ana dhambi kweli! 🙁
 
Last edited by a moderator:
.....na hivi? Nani aliyempa madaraka Teamo kushikilia funguo zote za hawa wapendwa? Mimi nachukia sana,...

Ona sasa anavyonifanyia? Nitalia mimi, ohhoo!....machozi yangu hayaendagi bure!

Usiwe na wasi babu DC anahakikisha hakiaharibiki kitu hapa. Si umeona mwenyewe wabishi wote kina sie Nyamayao, King'asti n.k wote wapooooole sasa ndio nimeamini utu uzima dawa asee
 
Last edited by a moderator:
Usiwe na wasi babu DC anahakikisha hakiaharibiki kitu hapa. Si umeona mwenyewe wabishi wote kina sie Nyamayao, King'asti n.k wote wapooooole sasa ndio nimeamini utu uzima dawa asee

.....duh, afadhali ----kweli Mungu ni Mwema----
 
Last edited by a moderator:
................. na ukishinda hii kesi nina ushahidi wa kutosha kuwa mlalamikaji alitoa rushwa ili ashinde.

....lol, soulmate bana, sasa mbona unalinzisha timbwili tenaaa, kha? Hayeshi? 🙂

Huyu King'asti mpotezee kwa kesi hii, fanya kama hahusiki kabisaaaaaa....
 
Last edited by a moderator:
Ukweli kutoka moyoni nimeipenda thread hii sana! Such a soul searching thread!

......umeona ee? Sasa imagine upo katikati ya mbuga ya serengeti...Mwendo 70kph, Vumbi, jua, mawe na mashimo njiani japo Grader za Tanapa zimejaribu kurekebisha...

...macho yanaangalia zile plains mpaka upeo wa macho----Marabou Stokes, Nyumbu, Swala, na pundamilia pembezoni mwa barabara...

mpo watatu tu...weye, 'mutima wange,' na dereva wenu ndani ya Land Cruiser, halafu kuna CD ina play wimbo wa Marvin Gaye;

♪ ♫ ---
.....I've been really tryin', baby
Tryin' to hold back these feeling for so long
And if you feel, like I feel baby
Then come on, oh come on

Let's get it on, oh baby
Lets get it on, let's love baby
Let's get it on, sugar
Let's get it on, woah

We're all sensitive people
With so much to give, understand me sugar
Since we got to be
Let's say, I love you

There's nothin' wrong with me
Lovin' you, baby love, love
And givin' yourself to me can never be wrong
If the love is true, oh baby

Don't you know how sweet and wonderful life can be?
I'm askin' you baby to get it on with me, ooo ooo
I ain't gonna worry, I ain't gonna push
I won't push you baby

So come on, come on, come on, come on baby
Stop beatin' round the bush, hey

Let's get it on, let's get it on
You know what I'm talkin' 'bout
Come on baby, let your love come out
If you believe in love

Let's get it on, let's get it on baby
This minute, oh yeah let's get it on
Please, let's get it on

I know you know what I been dreamin' of, don't you baby?
My whole body makes that feelin' of love, I'm happy
I ain't gonna worry, no I ain't gonna push
I won't push you baby, woo

Come on, come on, come on, come on darling
Stop beatin' round the bush, hey

Oh, gonna get it on, threatin' you, baby
I wanna get it on
You don't have to worry that it's wrong
If the spirit moves you
Let me groove you good
Let your come down

Oh, get it on, come on baby
Do you know the meaning?
I've been sanctified, hey hey
Girl, you give me good feeling
So good somethin' like sanctified

Oh dear I, baby
Nothing wrong with love
If you want to love me just let your self go
Oh baby, let's get it on
--- ♪ ♫

......acha tu!!!
 
......umeona ee? Sasa imagine upo katikati ya mbuga ya serengeti...Mwendo 70kph, Vumbi, jua, mawe na mashimo njiani japo Grader za Tanapa zimejaribu kurekebisha...

...macho yanaangalia zile plains mpaka upeo wa macho----Marabou Stokes, Nyumbu, Swala, na pundamilia pembezoni mwa barabara...

mpo watatu tu...weye, 'mutima wange,' na dereva wenu ndani ya Land Cruiser, halafu kuna CD ina play wimbo wa Marvin Gaye;

♪ ♫ --- --- ♪ ♫

......acha tu!!!

...........Huu sasa uchokozi Soulmate! Kha!! Hebu usizichokoze hisia za Enzi za ujana wangu we Mbu.
 
Last edited by a moderator:
....lol, soulmate bana, sasa mbona unalinzisha timbwili tenaaa, kha? Hayeshi? 🙂

Huyu King'asti mpotezee kwa kesi hii, fanya kama hahusiki kabisaaaaaa....
.......... Ah mie nimesema tu just in case judgement ikionekana kuegemea upande mmoja. Hivi jopo lishaanza kazi au bado Mbu? manaa kwa umbeya mtoto wa kike mie!!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Mbu
Last edited by a moderator:
Ila Babu Dark City na jopo lako, mie nahisi kama kuna kuhujumiwahujumiwa humu kwenye hii case vile, ................ nani anisaidie kumtafuta na kumleta lawyer @Klorokwin wajameni?
 
Last edited by a moderator:
.......... Ah mie nimesema tu just in case judgement ikionekana kuegemea upande mmoja. Hivi jopo lishaanza kazi au bado Mbu? manaa kwa umbeya mtoto wa kike mie!!

.....ningekujibu dear, ila swahiba wangu Dark City ameniminya mguu hapa.... Ngoja kiduuuchu! Hehhe
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom