........nimekukumbuka sana :'(

........nimekukumbuka sana :'(

mim ni mwenyekiti.....

unajua mkuu shida yao ni moja...wanasema siku izi mioyo yao ina :A S-key::A S-key::A S-key::A S-key:

Kwani wewe siku hizi ni mwanasheria, tena advocate?

Hebu achana nao bwana...

Ukuje kwenye jopo tuokoe maslahi ya mwanamume mwenzetu...

Umesahau kwamba inauma sana kunawa halafu ukanyimwa msosi??

Babu DC!!
 
Unataka kuharibu sasa wewe swahiba....

Jopo aunde babu halafu ujichulie mamlaka ya kulisimika.....

Please...kaa kando utuachie tuchape mzigo... and you need to keep your fingers crossed!!

Hapa hatuhitaji msaada wa upande wapili kwa sababu tunadili na mambo ambayo purely ni ya kiume...

Wakuje wasikilize tu...BASI!!

Babu DC!!

.....doh, basi kumradhi swahiba....nilikuwa naufuata ule msemo,"mwamba ngoma,......!" Kabla kesi haijanilalia hii...
 
Kwani wewe siku hizi ni mwanasheria, tena advocate?

Hebu achana nao bwana...

Ukuje kwenye jopo tuokoe maslahi ya mwanamume mwenzetu...

Umesahau kwamba inauma sana kunawa halafu ukanyimwa msosi??

Babu DC!!

hahahah!....

nasikia huwa wanawapa watu wao hizo :A S-key::A S-key::A S-key:....alafu wakizipokonya wanawapa 'wengine'

sasa tuanze mkutano.....ivi we Mbu ulikumbuka kuchonga :A S-key::A S-key: wa akiba?
 
Last edited by a moderator:

Funguo ya akiba kitu gani bwana? Umesahau kwamba mujini funguo malaya zinapatika kwa book kama 2 tu?

Penye wazee kila kitu kinakuwa kimegota kigoma mwisho wa reli.
Babu DC!!
 
Labda kama co-opted member with no voting rights....

Uko tayari kwa hilo?

Halafu inaugural meeting ni kesho pale Tanga Beach Resort...Sahare.

Babu DC!!

Dah.............umebana kabisa sio? Poa tu Babu DC kwa hisani ya Soulmate nakubali kuwa msikilizaji tu. COunt me in tafadhali.
 
Dah.............umebana kabisa sio? Poa tu Babu DC kwa hisani ya Soulmate nakubali kuwa msikilizaji tu. COunt me in tafadhali.
Sawa ila machozi hayaruhusiwi kabisa kwenye jopo letu...

Yeyote mwenye kifua chepesi atakuwa amejivua uanachama hata kama ni level kama yako....

umeelewa?

Babu DC!!!
 
Sawa ila machozi hayaruhusiwi kabisa kwenye jopo letu...

Yeyote mwenye kifua chepesi atakuwa amejivua uanachama hata kama ni level kama yako....

umeelewa?

Babu DC!!!

................Hahah sasa Babu Dark City nilie nini tena? Labda machozi ya furaha si unajua tena kwa Soulmate wangu hii suluhu inamatter sana? Hasa kwa mwezi huu bwana?
 
Last edited by a moderator:
Hivi umesahau kuwa matokeo yoyote huwa na dimensions mbili?

Au wewe umeshatangaza ushindi Wa mezani?

Babu DC!!!
...............Haha Babu Dark City..... all I do is to wish him the best of lucky.......eh ndio maana nimenyimwa voting power nadhani niko too emotional hahahah........... ! Ngoja niwaachie wanaume...... Ila Babu we umejitolea kumsaidia unamsaidia kufanya nini, if I may ask? Maana yeye ameonyesha kujuta na kutamani kurudisha mshale wa saa nyuma, but hajasema kama anataka mshale urudi ili aamend/undo kilichotokea au anataka tu asamehewe........... Soulmate Mbu nakuchokoza hapa si unanjua tena mie?
 
Umekuwaje leo wewe MwanajamiiOne?

Swahiba kaongea kwa lugha yetu na sie wenzie tumeshamwelewa....hizo details ataweka mambo sawa kwenye jopo...

Ndiyo maana criteria za kuwa member wa jopo ziko very tight.....

Tena kwa jinsi mjadala unavyoenda, tunaweza kubadilisha ili iwe ni kwetu peke yetu...

Umenielewa??

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
ha ha.....babuuuuuu......

Kwani vipi tena Preta??

Kesho nani anapigwa chini huko BBA?

Nahisi kama jirani yetu anaweza kuanza safari yake ya kufungua dairy shop hiyo kesho...

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Mbu
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom