hahahah!....
nasikia huwa wanawapa watu wao hizo :A S-key::A S-key::A S-key:....alafu wakizipokonya wanawapa 'wengine'
sasa tuanze mkutano.....ivi we Mbu ulikumbuka kuchonga :A S-key::A S-key: wa akiba?
Uwiiiii............... Shemeji Baba_Enock, I loved this song, back then eh? It must've been love, but its over now, must've been good, but I've lost it somehow......................uwii......
Mbona na wewe unakubali kutishiwa nyau kirahisi??
Kwani Teamo ndiye msemaji wa mlengwa??
Halafu ukizingatia kuwa wote hatumjui anayeongelewa, why not wait hadi jopo limalize kazi yake??
Bwana wewe tuachie tufanye kazi yetu....funguo kitu gani bwana? Sie ndiyo wazee wa haya mambo, na hata ikibidi, tunaweza kuunda funguo zetu wenyewe...with 100% match..
Babu DC!!
Hahaha, tena nyau mwenyewe kama alomuimba Shilole! "Nyau wa Bar!"
Ati nyau mpaka Big G anatafuna, kha!
Haya swahiba, endelea na kikao,...
Schoolmate, ukiendelea namna hii, taifa litajengwa na kina nani??
We have been choosen....................:wave::wave:
Yaani hii thread nimejifunza kitu
MMU ile tulioizea ipo tena ipo very strong
watu naona wameamua kuwa viewers tu but ukiamua kuwatafuta wapo Mbu itabidi ujitahidi usipotee sana
manake ukipotea na wengi wanapotea...
.....si unajua sie tunashusha sredi zinazogusa kisu na mfupa? Sredi hii haina fictional characters, ipo Live and Direct kama "kitu na boksi!" lake...
Umekuwaje leo wewe MwanajamiiOne?
Swahiba kaongea kwa lugha yetu na sie wenzie tumeshamwelewa....hizo details ataweka mambo sawa kwenye jopo...
Ndiyo maana criteria za kuwa member wa jopo ziko very tight.....
Tena kwa jinsi mjadala unavyoenda, tunaweza kubadilisha ili iwe ni kwetu peke yetu...
Umenielewa??
Babu DC!!
.......... The Boss, thanx am honoured kwa hiyo recognition yako. Mie mbona nipo? Ni huyu SOulmate wangu Mbu ndo alipotea but now that ame'achiwa' huko alikokuwa amefungiwa, basi tutegemee mambo mazuri na ile JF yetu tuloimiss itarudi nina imani.JF is getting younger and younger
so mkipotea watu wazima
utoto unakuwa mwingi..
sasa Mbu na MJ01 michango yenu iko so missed here
Mbona na wewe unakubali kutishiwa nyau kirahisi??
Kwani Teamo ndiye msemaji wa mlengwa??
Halafu ukizingatia kuwa wote hatumjui anayeongelewa, why not wait hadi jopo limalize kazi yake??
Bwana wewe tuachie tufanye kazi yetu....funguo kitu gani bwana? Sie ndiyo wazee wa haya mambo, na hata ikibidi, tunaweza kuunda funguo zetu wenyewe...with 100% match..
Babu DC!!
I hope itarudi aisee
wewe ndo unaweza hakikisha 'anaachiwa' huko lol
***********