Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,876
- Thread starter
- #301
.......Hahahha huyu The Finest bwana hebu mwulize Teamo, ye ndo aliyekabidhiwa funguo na mafaili yote. Mara ya mwisho alionekana Ubungo Bus Stand akipanda BM kuelekea Morooo........... Da Mkubwa Maty atakuwa na taarifa zake
......ehh? Isijeikawa huyu Teamo ndio anaowang'oa kucha na meno watu.... Haiwezekani akawa anamiliki hisia za watu wengi namna hii!
Maty, kwa mara ingine inshusishwa na kupotea kwa mjumbe mwengine wa MMU, mstahiki meya The Finest, na klorokwini!
Last edited by a moderator: