Wewe hata ukiomba mwenyewe, red card hutapewa....
Ila yellow card tumeshakupa...
Babu DC!!
Hahaha kumbe bora niendelee :tape2::tape2::tape2::tape2::tape::tape::tape: nisije pewa red card bure. Ila babu hapa unatumia ubabe bana lol. Mbu ana bahati umetuwahi angekomaaaaje sasa
Wewe hata ukiomba mwenyewe, red card hutapewa....
Ila yellow card tumeshakupa...
Babu DC!!
Siyo ubabe bwana, ni mojawapo ya majukumu yetu kama wanaume...kumlinda na kumwokoa mwenzetu kwa nguvu na gharama zozote...liwalo na liwe..lol!!
Kwa nini mlitaka kumkomesha/kumsulubu Mbu?
Niambie labda nibadilishe msimamo wangu aisee...
Halafu mambo yako ya kukubali kupotezwa kama Teamo sifagilii kabisa unajua...
Babu DC!!
Babu huyu Mbu lazima alienda kutambika mahala kabla hajaanzisha huu uzi, maaanaa yaani hivi hiviviiiiii (in pembes voice) hili tonge la moto ila kila nikitaka kulitema linankaba linarudi ndani lol
Kha! Yaani ushaniwekea Trademark Babu? Nakwenda twisheni kwa Da Mkubwa King'asti
Kha! Yaani ushaniwekea Trademark Babu? Nakwenda twisheni kwa Da Mkubwa King'asti
If you love something, set it free. If it comes back, it was, and always will be yours. If it never returns, it was never yours to begin with
......kha!?
Dark City, "Jiko la gesi halichochewi moto!" swahiba.....hii ni 2013, MwanajamiiOne, aka Mjukuu wako si yule wa miaka ile ya "nalivua pendo!"
Sasa wewe Matty,
Mbona unataka kufanya kinyume na maneno yako hapo chini?
Umeanza lini kujikana...
Babu DC!!
hahahaha bi dada nichunu tu jamani za masiku? nipo bada si unajua siku hizi JF ya dot.com tumewaachia lol tumekuja hapa kupa suport ya kuunda tume ya ukweli na maridhiano ili Mbu ale sikukuu vizuri