Nimekua kivutio sana kazini

Nimekua kivutio sana kazini

Hivi mna uhakika huyu hazu ni mwanaume au tuseme mwanetu dishi limeyumba kidogo🤔
 
Kwanza nilipofika Oral interview wengi walikua wananiangalia sana, they was like hypnotized, nikasema hapa wameisha. mambo yakaenda vyema, sasa kazini wee, kwanza nilipofika, walidhani labda ni high profile person ameenda kukagua au nini.

Uzuri kazi yangu haihusishi kukutana na watu wengi kama wateja, ila sipati picha ni namna gani wangeomba namba. hakika uzuri hauzoeleki, kila mara watu wanakushangaa sana
The corrected way of your sentence is:

“They were like hypnotized.”

Why?
- Subject–verb agreement: With the plural subject they, the correct past tense of be is were, not was.

I advise you to use your national language
 
Kwanza nilipofika Oral interview wengi walikua wananiangalia sana, they was like hypnotized, nikasema hapa wameisha. mambo yakaenda vyema, sasa kazini wee, kwanza nilipofika, walidhani labda ni high profile person ameenda kukagua au nini.

Uzuri kazi yangu haihusishi kukutana na watu wengi kama wateja, ila sipati picha ni namna gani wangeomba namba. hakika uzuri hauzoeleki, kila mara watu wanakushangaa sana

Wanawake mkiwa na makebo mnaamini ni wazuri sana. Hongera. Pata mume sasa.
 
Umekaribia kurogwa acha mazoea jipe kichwa sasa kivimbe 😂
 
Bila shaka kabisa wewe ni mchicha mwiba. Samahani kwa kukuhusisha na jambo kubwa pasipo kuwa na ushahidi ila kupitia mada zako hapa jf,nautangazia umma kuwa wewe ni mchicha mwiba.
 
Haszu beautiful boy naomba mshahara wa kwanza unipe hata buku aiseee…!!

Uzuri wako umekupa ulaji mwanetu 😹😹😹
teeenaaaaaaaaaaa!!! subiri nikipata vocha za 5,000 nitakutumia hata nne za 100o zitakutesa. unanikosea tu kuita beautiful boy.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom