Pole ila kaza bhana watakuweka wenzio hawana maskharawadada wa jf wenye sura mbaya utawajua tu.
Duh!they was like hypnotized
😹😹😹 Weeeh haszu huyooooo..!!teeenaaaaaaaaaaa!!! subiri nikipata vocha za 5,000 nitakutumia hata nne za 100o zitakutesa. unanikosea tu kuita beautiful boy.
Qumar maker, mi nawa tomber mdogo wangu, hata we uki jilengesha nakula jicho manena.Intelligent businessman naona unabadili I'd tuu Huna wasiwasi 😂
Nakuja summer time nije sand bank tucheze shake ready 😹😹😹Unguja unakuja lini
Acha matusiQumar maker, mi nawa tomber mdogo wangu, hata we uki jilengesha nakula jicho manena.
Mxiewwww!! 😹😹Sahii niko ghost mode. So nahitaj kil kitu kipya
Mtoto Mbaga Jr awe na adabu, mi mtu mzima nina heshima so ka anataka kuliwa jicho asi zunguke.Intelligent businessman umemsikia Mbaga huku 😹😹😹
Wew ke au meKwanza nilipofika Oral interview wengi walikua wananiangalia sana, they was like hypnotized, nikasema hapa wameisha. mambo yakaenda vyema, sasa kazini wee, kwanza nilipofika, walidhani labda ni high profile person ameenda kukagua au nini.
Uzuri kazi yangu haihusishi kukutana na watu wengi kama wateja, ila sipati picha ni namna gani wangeomba namba. hakika uzuri hauzoeleki, kila mara watu wanakushangaa sana
Astakafirilah 🙆Qumar maker, mi nawa tomber mdogo wangu, hata we uki jilengesha nakula jicho manena.
Utapigwa halafu hatukugombelezei shauri yako..!! 😹😹Astakafirilah, vijana sasa hv wameharibika sana 😂