Nimekua kivutio sana kazini

Nimekua kivutio sana kazini

Kwanza nilipofika Oral interview wengi walikua wananiangalia sana, they was like hypnotized, nikasema hapa wameisha. mambo yakaenda vyema, sasa kazini wee, kwanza nilipofika, walidhani labda ni high profile person ameenda kukagua au nini.

Uzuri kazi yangu haihusishi kukutana na watu wengi kama wateja, ila sipati picha ni namna gani wangeomba namba. hakika uzuri hauzoeleki, kila mara watu wanakushangaa sana
Lipia tangazo
 
[emoji81][emoji81][emoji81] Weeeh haszu huyooooo..!!
Tajiriiiiiiiii mutoto, new boss in town [emoji76]

Sasa hivi nitakuita Papaa Haszu na kati ya masaki kwa mapedeshee wenye makuta mingi..!!

Sasa ole wako unizingue usitume hiyo buku 5 [emoji1787][emoji81][emoji81]
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
If you are a man na umeandika hivyo bro am sorry for you. Ati uombwe namba¿?%*?! Kwani una dalili za kishogaa au kuna kitu umetumia leo ambacho si cha kawaida. Kweli mwanamme kuwa na uzuri wapi na wapi watanzia wa mijini mbona mnasababisha hii kauli ya wanaume wa dar kumea mizz. Ila kama wewe ni ke hongera sana coz n kama una nyash' la haja na ndicho walichokua wanaangalia. Nimeenda kampeni ya FREE Lissu
 
😹😹😹 Weeeh haszu huyooooo..!!
Tajiriiiiiiiii mutoto, new boss in town 😻

Sasa hivi nitakuita Papaa Haszu na kati ya masaki kwa mapedeshee wenye makuta mingi..!!

Sasa ole wako unizingue usitume hiyo buku 5 🤣😹😹
vocha za 5,000 nimekosa, solution ni za 1000, mtandao gani?
 
Kwanza nilipofika Oral interview wengi walikua wananiangalia sana, they was like hypnotized, nikasema hapa wameisha. mambo yakaenda vyema, sasa kazini wee, kwanza nilipofika, walidhani labda ni high profile person ameenda kukagua au nini.

Uzuri kazi yangu haihusishi kukutana na watu wengi kama wateja, ila sipati picha ni namna gani wangeomba namba. hakika uzuri hauzoeleki, kila mara watu wanakushangaa sana
Tangazo
 
😹😹😹 Weeeh haszu huyooooo..!!
Tajiriiiiiiiii mutoto, new boss in town 😻

Sasa hivi nitakuita Papaa Haszu na kati ya masaki kwa mapedeshee wenye makuta mingi..!!

Sasa ole wako unizingue usitume hiyo buku 5 🤣😹😹
Hawa watoto wa kiume wanaojifanya wa kike kuna siku kitawalamba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom