Kwa mawazo yangu nadhani mumeo mwanzo alikuwa anakuheshima sana japokuwa alikuwa anachepuka,lakini hapo mwanzo nadhani mlikuwa na maelewano mazuri sana na hiyo ikamfanya kama anachepuka badi anachepuka kwa akili ili kuepusha kukuumiza.
Sasa kwa hali hiyo usije ukadhani kwamba ni ajari wewe kujua kama yeye anachepuka.
Usije kudhani kwamba kafanya mistake wewe kujua hapanaaa.
HILO LILIKUSUDIWA NA MUMEOOOO.
alikusudia kabisa kuandaa mazingira ili wewe umtie shaka na hapo nDo utaanza kumchunguza,na huku yeye akiwa hafuti yale mawasiliano yake na mchepuko.
Hakuna mwanaume ambae atabadilika ghafla namna hiyo alafu akawa hana mawazo kwamba kwa kubadilika huko basi mkewe atajua ana mchpuko.
Hakuna mwanaume ambaye atamkataza mkewe kupokea simu alafu mwanaume huyo asihisi kwamba kukataza huko kutampelekea huyo mke amhisi mume ana mchepuko.
Hakuna mwanaume ambaye anaenda kuongea na simu chooni alafu eti asiwaze kabisa kwamba kitendo chake hicho kitamfanya mke aone kwamba mume ana mchepuko.
HAKUNA MWANAUME AMBAYE HAWAZI NA HAJUI HAYO YOTEEE,BALI WANAUME WOTE WANAJUA KWAMBA WATAHISIWA NA MICHEPUKO.
SASA KWA NINI WANARUHUSU MAZINGIRA HAYO YA KUHISIWA VIBAYA NA WAKE ZAO,NA BADALA YAKE WASIBADILI WAKAJIREKEBISHA..?
ooh jawabu ni kwamba : ukiona mumeo ameanza kuomesha hali ya wewe kumhisi na mchepuko basi jua fika ANAJUA HASA KWAMBA UNAMHISI ANA MCHEOUKO,NA HILO NDO ANALOTAKA YEYE KWAMBA WEWE UJUE KWAMBA ANACHEPUKA.
KWA NINI ANATAKA UJUE..?
Sasa hapo huwenda na kuna asilimia kubwa kwamba kuna kitu kavumilia kwako,au kuna kitu humpatii,kwa maana labda kuna uvivu fulani kitandanii,sio mbunifu kabisaa katika mapenzi,n.k
Kwa hyo ili kukuweka sawa anahakikisha unajua kwamba anachepuka,ili kama una akili ujirekebishe na uwe mtaalamu kwenye mambo ya kitanda..
Pole sana dada yangu
yna2