Nimekoma kukagua simu ya mume wangu

Nimekoma kukagua simu ya mume wangu

Mmeo hayupo sawa lakini ili kunusuru ndoa yako kutokana na changamoto unayoipitia sasa,kwanza fuatilia ni kwa nini amechepeka(inawezekana wewe ndo ukawa sababu) lakini kubbwa kuliko yote muweke MUNGU KWANZA,wanawake huwa tunarelax sana tukiwa kwenye ndoa,unapaswa kuombea ndoa yako kwa kadili Mungu atakavyokujalia,unajua vita yetu siyo ya damu na nyama bali ni ya rohoni,unaweza ukadhani mchepuko ndo adui wako kumbe shetani anamtumia mme na mchepuko wako kukuyumbisha IMANI yako...SIMAMA na MUNGU wako utanipa majibu BAADAYE
 
Ningekuwa mimi ndo wewe. Ningemuuliza hivyo tu. Na majibu nikapewa. Inatosha.
Hehee.
Ningekuwa bussy kuanzia siku hiyo mpaka ahisi Nina mwanaume njee. Yaani sitamjali kwa chochote. Wala hata kumuuliza baby mbona umechelewa kurudi. Mbona huli.
Angeendelea kupata hizo huduma kwa mchepuko tu. Kwangu mimi angeomba ushauri kwa watu wengine juu yangu
 
Kesho akirudi mwambie hujafurahi yeye kulala nje ukishasema yako ya moyoni muwekee chai anywe.

Mkumbushe kuwa mna watoto wanahitaji kulelewa na HIV is real.

Ukishayaongea yote, funga mjadala endelea na maisha. Ukimnunia umempa because ya kwenda atakako.
Ushauri mzuri na mgumu sana
 
Such a nice advice!!..
Kwa kifupi jambo unalojua litakuvunja moyo bora uachane nalo au utafute suluhu m badala
Thanks... Ukikusanya mambo mengi uliyochunguza na hukufanyia maamuzi halisi, UNABAKI NAYO YAKIUSAKAMA MOYO WAKO...
Kwa huyo mdada, aliloligundua litampa tabu milele.... Jamaa akichelewa tu kurudi atawaza Yale yale aliyoyaona siku ileee....
 
Mmeo hayupo sawa lakini ili kunusuru ndoa yako kutokana na changamoto unayoipitia sasa,kwanza fuatilia ni kwa nini amechepeka(inawezekana wewe ndo ukawa sababu) lakini kubbwa kuliko yote muweke MUNGU KWANZA,wanawake huwa tunarelax sana tukiwa kwenye ndoa,unapaswa kuombea ndoa yako kwa kadili Mungu atakavyokujalia,unajua vita yetu siyo ya damu na nyama bali ni ya rohoni,unaweza ukadhani mchepuko ndo adui wako kumbe shetani anamtumia mme na mchepuko wako kukuyumbisha IMANI yako...SIMAMA na MUNGU wako utanipa majibu BAADAYE
Wanawake ninyi sio tu kurelax...huwa mnajisahau...MIMI MPAKA NAJISIKIA KUPUNGUZA MAPENZI KABISA...JAPO MEONGEA SANA ILA HAIJASAIDIA KITU...
 
Ningekuwa mimi ndo wewe. Ningemuuliza hivyo tu. Na majibu nikapewa. Inatosha.
Hehee.
Ningekuwa bussy kuanzia siku hiyo mpaka ahisi Nina mwanaume njee. Yaani sitamjali kwa chochote. Wala hata kumuuliza baby mbona umechelewa kurudi. Mbona huli.
Angeendelea kupata hizo huduma kwa mchepuko tu. Kwangu mimi angeomba ushauri kwa watu wengine juu yangu
Wewe ndio mwanamke sasa...
 
Sio sahihi kabisa.. je wewe unamtegemea yeye akulishe akuvishe?

Mwanaume akidakwa kawaida hawaleti dharau aliyokupa hata iweje.. nawe tafuta wako upoze roho. Unataka iweje kwani.. kajua umemkamata na kuyaona na anakudharau.. shooooo.. lala usingizi amka kesho tafuta furaha yako wewe
Haya mama Karisa.Mama D kakusikia vizur kabisa .
 
Huu ushauri sio mzuri huwezi kuifanya familia ya wazinzi.

Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Ndio maana mke wako akianza kuingia kwenye hii mitandao ni majanga...anapewa ushauri konki kutoka kwa makonki wa jiji basi hapo jua ushampoteza
 
Si ndo ulichokuwa unakitaka hicho bi dada sasa tukushauri nini tena
 
Back
Top Bottom