Sidhan kama unajua utofauti wa kuolewa na kuoa
Anyway hii women independence hii ndo inafanya ndoa nyingi zinakufa
Huruma nimekuonea ila hilo jibu lilikuwa la kimagufuli. Kuna usemi husema hivi:- Mwenda tenzi na omo mwisho huishia ngamani. Kwahio huyo mumeo mwisho atarudi tu, michepuko ina harama sana lakini wanajua kuliwaza. Swali:- unaongea na mumeo kama mke na mume au unajibu shobo? Mumeo akirudi nyumbani huwa ushaoga au upo upo tu?Unionei huruma hata kidogo?? Sio kwa kicheko icho
Niendelee sijitaki mkuu!! Nimeacha kuanzia sasa
Naweza kusema ww bado binti na sio mwanamke
Instead ya kuwa worried na future ya wanao kwamba mumeo hatimizi majukumu/kulipa bills au kesho ya wanao haiko njema unakua worried na vimada??
Simtegemei yeye kwa %zote ingawa kama Baba mwenye nyumba hufanya yao kwetu sisi(me and his kids)
Sawa ahsante kwa ushauri wako mpendwa
Natumaini kasharudiAcha kabisa mkuu
Fuata ushauri huu.Kesho akirudi mwambie hujafurahi yeye kulala nje ukishasema yako ya moyoni muwekee chai anywe.
Mkumbushe kuwa mna watoto wanahutaji kulelewa na HIV is real.
Ukishayaongea yote, funga mjadala endelea na maisha. Ukimnunia umempa because ya kwenda atakako.
Dada yangu inamaana mpaka muda huu haujalala kwa sababu yake yeye unamsubiri mpaka arudi. Acha kujitesa.Acha kabisa mkuu
Huruma nimekuonea ila hilo jibu lilikuwa la kimagufuli. Kuna usemi husema hivi:- Mwenda tenzi na omo mwisho huishia ngamani. Kwahio huyo mumeo mwisho atarudi tu, michepuko ina harama sana lakini wanajua kuliwaza. Swali:- unaongea na mumeo kama mke na mume au unajibu shobo? Mumeo akirudi nyumbani huwa ushaoga au upo upo tu?
Nangatukaa [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Ngoja nkwambie kitu Hakuna mwanaume duniani atakutomba pekeako mpaka kufa kwake hayupo, yan hata awe mlokole ataenda nje kuonja hata kwa kuibia hata awe mume wako wa ndoa, ALL MEN KNOW THAT ILA WATAJUFANYA MIMI I AM FAITHFUL...Uongo mtakatifu