Nimekoma kukagua simu ya mume wangu

Nimekoma kukagua simu ya mume wangu

Ha ha haaaaa
Kama bado anapenda ndoa yake basi ni kusali tu kwa bidii.

Ila kwa alichofanya na kumjibu upuuzi huo hapana aiseee... ajiangalie maisha yake.. janamume la hivyo hapana aiseeee.. hapo hata iweje ndio analo.. fanya yako kimya kimya kama mjinga kumbe eeeeh. Amani itakuja ikiwa tendwa utende.. wala asimuulize tena maana ni anamchambua huyo mchepuko mwili hadi kukuche..
Kweli huyu mwanaume ni muovu...lakini usijiumize na usijidhalilishe utu wako ety kulipa uovu wake...
 
be brave yna2 ,God is above everything never hesitate to beg him in every situation,be a woman,be strong,be a mother,and never give up,he will 100% still to be your husband,pray for him,forgive and never forget hard times always make us strong
 
Najua hakuna mwanaume atapenda ukweli ninaomwandikia.. mwanamke wako nae akiwa na wake nje amani na furaha utawala ndani ya familia. Hii inatokea wanaume wakianza ushenzi kama mume wa mwenzetu...
123nawepatawakonje
huwa ss tukichepyuka upendo kwa mke ndo unaongezeka kwa wengi walio wachepukaji,ila nyie mkienda huko mnaingia wote wote na hapo ndo zarau kw mume zinapoanzia,ko tuache kuweka ligi kwny haya masuala,cha msingi n kukaa na kutafuta njia ya kutatua tatzo ila c kuliongeza kama ulivomshauri ww
 
uyo jamaa kafanya ushubwada...huo ukali ni defence mechanism..sasa akirudi we ratiba ziendelee kama kawaida,usimuulize,usimnunie,,atakua na shauku ya kutaka kujua unawaza nini,,na atakacho tarajia kukisikia kutoka kwako hatakisia,,hapo ndipo safari ya kuelekea kwenye mind torturing inapoanzia..mi mvivu kuandka sitaeza malizia pattern yote ya kumtesa kiakili..hivo itakusaidia kidogo
 
Kweli huyu mwanaume ni muovu...lakini usijiumize na usijidhalilishe utu wako ety kulipa uovu wake...

Ha ha haaaaaa hapo mwanamke hajiumizi wala hajidhalilishi.. bali anatafuta furaha na rafiki wa kumpa raha na kumdhamini kama mwanamke akina Fadhili.. hujasoma story ya mama Davis

Huyu mwenzetu labda ndoa yake ilishakuwa bomu.. akawa anaona simu ndio ndoa huku labda furaha hawana kwa muda mrefu au makosa ya kila mmoja hawasemani wabadilike.

Labda hii itamsaidia atulie aone wapi nae anakosea ili awe bora kwa mchepuko wake.. eeeeeh akimbeba mazima sawa.. wanaume nyie ni hamjui mnaua wanawake mapema tu
 
Najua hakuna mwanaume atapenda ukweli ninaomwandikia.. mwanamke wako nae akiwa na wake nje amani na furaha utawala ndani ya familia. Hii inatokea wanaume wakianza ushenzi kama mume wa mwenzetu...
123nawepatawakonje
hakika umenena uovu,yafaa nini kulipa kisasi ? Unajiskiaje kupotosha jamii ,mwanamke usipende kishindana na malipizi ya uovu,yatazaa hasara ndani yako,usopotoshe mama,dada zetu kwa tabia yakishetani iliyo ndani ya mifupa yako,umenena uovu
 
huwa ss tukichepyuka upendo kwa mke ndo unaongezeka kwa wengi walio wachepukaji,ila nyie mkienda huko mnaingia wote wote na hapo ndo zarau kw mume zinapoanzia,ko tuache kuweka ligi kwny haya masuala,cha msingi n kukaa na kutafuta njia ya kutatua tatzo ila c kuliongeza kama ulivomshauri ww

Wewe kama mwanaume unajua huyo mke hawezi kujibiwa hivyo.. kama mume anamuheshimu na kumuogopa asimuumize au kumyanyasa.
Kivipi utampenda na unaenda nje!!! Nipe habari?
 
Ushauri mzuri huu
Kesho akirudi mwambie hujafurahi yeye kulala nje ukishasema yako ya moyoni muwekee chai anywe.

Mkumbushe kuwa mna watoto wanahutaji kulelewa na HIV is real.

Ukishayaongea yote, funga mjadala endelea na maisha. Ukimnunia umempa because ya kwenda atakako.
 
Ha ha haaaaaa hapo mwanamke hajiumizi wala hajidhalilishi.. bali anatafuta furaha na rafiki wa kumpa raha na kumdhamini kama mwanamke akina Fadhili.. hujasoma story ya mama Davis

Huyu mwenzetu labda ndoa yake ilishakuwa bomu.. akawa anaona simu ndio ndoa huku labda furaha hawana kwa muda mrefu au makosa ya kila mmoja hawasemani wabadilike.

Labda hii itamsaidia atulie aone wapi nae anakosea ili awe bora kwa mchepuko wake.. eeeeeh akimbeba mazima sawa.. wanaume nyie ni hamjui mnaua wanawake mapema tu
ni ndoa ngapi? Utakua umeziharibu ,wamama,wadada na wake zetu wakifata mkumbo wa tabia yako....okoa jamii,okoa kizazi chetu cha kiafrika,kuwa mwanamke,kuwa na nidhamu,hepuka uasi,kaa kwenye nafasi yako,Mwogope Mungu anayeishi milele
 
hakika umenena uovu,yafaa nini kulipa kisasi ? Unajiskiaje kupotosha jamii ,mwanamke usipende kishindana na malipizi ya uovu,yatazaa hasara ndani yako,usopotoshe mama,dada zetu kwa tabia yakishetani iliyo ndani ya mifupa yako,umenena uovu

Hayo mekundu hujioni wewe ndie upo hivyo.. umekuwa Mola unajaji mtu!!!.. ha ha ha haaaaaaa.. kaa pembeni huko na matendo yako. Sipangiwi cha kuandika humu JF.. mwanaume akienda kupata raha basi na mwanamke ana haki ya kusepa pia..
 
Wewe kama mwanaume unajua huyo mke hawezi kujibiwa hivyo.. kama mume anamuheshimu na kumuogopa asimuumize au kumyanyasa.
Kivipi utampenda na unaenda nje!!! Nipe habari?
[/QUOTE Ipo hiyo,n hulka ya mwanaume na ndo maana hata miliki ya simba dume msitun n kubwa,
 
Kesho akirudi mwambie hujafurahi yeye kulala nje ukishasema yako ya moyoni muwekee chai anywe.

Mkumbushe kuwa mna watoto wanahutaji kulelewa na HIV is real.

Ukishayaongea yote, funga mjadala endelea na maisha. Ukimnunia umempa because ya kwenda atakako.

We mwanamke una akili sana ningekuwa natomba mwanamke kama wewe nisingekuwa najichosha na majini visirani, hakyamungu tena
 
Habari za usiku huu waungwana..naamini wote mko salama.

Niwaambie yaliyonikuta sasa..week kama tatu zilizopita nilianza kuhisi mume wangu anakimada ila sikutaka kumuuliza wala sikutaka ajue kama nahisi anachepuka.

Mumewangu alikua na tabia ya kuwahi kurudi nyumbani au hata kama anajua anachelewa hua lazima apige simu kunitaarifu.

Mumewangu alikua amenipa Uhuru na simu yake hata kama anaoga alinipa ruhusa niipokee na niongee na mpigaji na sio tu mimi Uhuru huo aliwapa hata watoto wake.

Wiki tatu zilizopita nikaona mwenzangu ameanza kubadilika..hatuna ruhusa ya kushika simu..hata kama inaita atatoka bafuni na apovu lake ataichukua simu maongezi yatafanyika bafuni..ukali ukaanza kwangu na watoto hata kama haikua na haja ya kutukalipia.

Nikaanza kufuatilia mwenendo wake ndipo nilipogundua ana mwanamke..leo asubuhi nikasubiri ameenda kuoga nikachukua simu bahati nzuri nywila yake naifahamu nikapunguza sauti nikaanza kupekua kwenye whatsapp.

Nikakutana na picha za tupu za huyo mwanamke huku wakisifiana wanavyofurahishana kitandani..nilijikuta sina nguvu kwakweli..ghafla na yeye akatoka bafuni akavaa huyo akaondoka hata kifungua kinywa hakupata.

Muda wa kama nusu saa hivi nikamtumia meseji
Mimi: "ahsante nimeona na nimejua kila kitu"
Mumewangu: "umekipata ulichokua wakitafuta na ukome"
Mimi: "yani Mume wangu ndio wanijibu ivyo?"
Yeye: "tena umenikera na sirudi Leo "

Yani ninavyoandika hapa hadi sasa 11:36pm huyu mwanaume bado hajarudi na simu yake haipatikani.

Wanawake wenzangu naomba mnishauri nifanye nini?

Wanaume mnahisi alichokifanya mwanaume mwenzenu ni sahihi?
Ushauri wa bure usifumanie kama huwezi kuacha..
Pole sana
 
Pole msichana
 
Hayo mekundu hujioni wewe ndie upo hivyo.. umekuwa Mola unajaji mtu!!!.. ha ha ha haaaaaaa.. kaa pembeni huko na matendo yako. Sipangiwi cha kuandika humu JF.. mwanaume akienda kupata raha basi na mwanamke ana haki ya kusepa pia..
upangiwi umemwandikia nani?,acha malipizi,hayo ni maamuzi yako usitafute mkumbo,tenda wema ,kuwa mama,nena vyema,usifate maisha ya upagani,kuwa na asili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom