😂😂😂😂 Asimpe BECAUSE au siyo.... nimecheka kwa sauti kama mazuri vileKesho akirudi mwambie hujafurahi yeye kulala nje ukishasema yako ya moyoni muwekee chai anywe.
Mkumbushe kuwa mna watoto wanahitaji kulelewa na HIV is real.
Ukishayaongea yote, funga mjadala endelea na maisha. Ukimnunia umempa because ya kwenda atakako.
Mmeo anakosa la kuchepuka ingawa usikute na ww ndio wale kumpa mmeo mbunye mpaka abembeleeeze.Pole sana ila ukome kukagua kagua simu utakuja ufe kwa pressure buree.Habari za usiku huu waungwana..naamini wote mko salama.
Niwaambie yaliyonikuta sasa..week kama tatu zilizopita nilianza kuhisi mume wangu anakimada ila sikutaka kumuuliza wala sikutaka ajue kama nahisi anachepuka.
Mumewangu alikua na tabia ya kuwahi kurudi nyumbani au hata kama anajua anachelewa hua lazima apige simu kunitaarifu.
Mumewangu alikua amenipa Uhuru na simu yake hata kama anaoga alinipa ruhusa niipokee na niongee na mpigaji na sio tu mimi Uhuru huo aliwapa hata watoto wake.
Wiki tatu zilizopita nikaona mwenzangu ameanza kubadilika..hatuna ruhusa ya kushika simu..hata kama inaita atatoka bafuni na apovu lake ataichukua simu maongezi yatafanyika bafuni..ukali ukaanza kwangu na watoto hata kama haikua na haja ya kutukalipia.
Nikaanza kufuatilia mwenendo wake ndipo nilipogundua ana mwanamke..leo asubuhi nikasubiri ameenda kuoga nikachukua simu bahati nzuri nywila yake naifahamu nikapunguza sauti nikaanza kupekua kwenye whatsapp.
Nikakutana na picha za tupu za huyo mwanamke huku wakisifiana wanavyofurahishana kitandani..nilijikuta sina nguvu kwakweli..ghafla na yeye akatoka bafuni akavaa huyo akaondoka hata kifungua kinywa hakupata.
Muda wa kama nusu saa hivi nikamtumia meseji
Mimi: "ahsante nimeona na nimejua kila kitu"
Mumewangu: "umekipata ulichokua wakitafuta na ukome"
Mimi: "yani Mume wangu ndio wanijibu ivyo?"
Yeye: "tena umenikera na sirudi Leo "
Yani ninavyoandika hapa hadi sasa 11:36pm huyu mwanaume bado hajarudi na simu yake haipatikani.
Wanawake wenzangu naomba mnishauri nifanye nini?
Wanaume mnahisi alichokifanya mwanaume mwenzenu ni sahihi?
Na Mungu akubariki kwa hilo.mimi si mojawao Atoto!
hahaha utanifanya nitoroke ujue!!Afu wewee...huyo mtu huyoooo....we haya tuu😑
Unaakili kama mnchwa weweKesho akirudi mwambie hujafurahi yeye kulala nje ukishasema yako ya moyoni muwekee chai anywe.
Mkumbushe kuwa mna watoto wanahitaji kulelewa na HIV is real.
Ukishayaongea yote, funga mjadala endelea na maisha. Ukimnunia umempa because ya kwenda atakako.
Nipitie na mimi tukalime wote angalau ntakula chips niongeze kitambi. Hivi like seriously kwa comments hizi watu tuna ndoa au tunajitia moyo kuwa tuna ndoa?Yaani ushauri unaotolewa na wanaume humu ndani walah ngoja nikalime viazi tu. Sio kwa mafurushi haya walah!!!
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Mama hali ni mabaya haswaaaaa.Nipitie na mimi tukalime wote angalau ntakula chips niongeze kitambi. Hivi like seriously kwa comments hizi watu tuna ndoa au tunajitia moyo kuwa tuna ndoa?
Em mtu unaambiwa kama anakutunza vizuri wewe una shida gani hata akichepuka? Hivi ulitoka kwenu kuja kwa mwanaume ili kula; kwenu mlikuwa hauli? Sema mijanaume ya hovyo tumeifuga yenyewe; wacha itukomesheMama hali ni mabaya haswaaaaa.
Tukalime tu viazi, tule chipsi, tujisukume na vitambi vyetu taratiiiiiibu.
Akosee mwingine, msamaha uombe wewe[emoji134][emoji134][emoji134]Nashindwa hata kusikitika; how men are treating their wives like substitutes; while women are treating/ worshiping their hubbys as their God. Sijui era ya wanangu itakuwaje
Eti kukagua simu ya mumeo ni kosa; bado akirudi umuombe msamaha na uanze kumuelezea sijui mna watoto sijui UKIMWI; huyo mwanaume asiyejua kama ana familia au kuna magonjwa ni mume kweli au mtoto anayenyonya asiyejua lolote? Kweli wanawake wapumbavu wanaangamia kwa kuignore maarifa.
Ngoja niendelee kuomba labda Mungu atanipa moyo wa kupondeka tehAkosee mwingine, msamaha uombe wewe[emoji134][emoji134][emoji134]
Haya mafurushi ni sisi sisi wanawake tunayalea, haya sasa ndio tumefikia huku.Em mtu unaambiwa kama anakutunza vizuri wewe una shida gani hata akichepuka? Hivi ulitoka kwenu kuja kwa mwanaume ili kula; kwenu mlikuwa hauli? Sema mijanaume ya hovyo tumeifuga yenyewe; wacha itukomeshe
Hata mimi sina ushauri, njoo tukae pembeni tusome ushauri wa wazoefu hasa wa kuchepuka[emoji23][emoji23]Haya sasa, mafurushi ya hivyo ndio yanayooa[emoji134][emoji134][emoji134]
Walah mimi sina ushauri, ngoja waje wajuvi wakupe ushauri mama. Pole sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja niendelee kuomba labda Mungu atanipa moyo wa kupondeka teh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata mimi sina ushauri, njoo tukae pembeni tusome ushauri wa wazoefu hasa wa kuchepuka[emoji23][emoji23]
UMEONGEA UKWELI MTUPU...Pole sana...kuwa na subra...tulia ndani...endelea na maisha yako hapo hapo na watoto...na wala usimtafute...hata akirudi...punguza na vile wewe ulivyokuwa unavifanya...ili aone kuna kitu gani anakimiss kutoka kwako ambacho kabisa kabisa hawezi kukipata kwa huyo aliye nae huko sasa hivi...wewe utabaki kuwa wewe tu...
ILA VILE VILE NAKUPONGEZA KWA UJASIRI WA KUTAKA KUJUA UKWELI WA DHANA ULIYOKUWA NAYO...MAANA DHANA HAISAIDII KITU...ISIPOKUWA UKWELI HUSAIDIA SANA...
WENGI WANAJIDANGANYA KWA KUJIFICHA KUWA HAWAUMWI MAFUA KWA KUVUTA MAKAMASI NDANI NA KUYAMEZA KAMA MAFUA...KUMBE NI MAKASI...PENGA KAMASI TU KWA UHURU ILI UWE NA AMANI IJULIKANE KWELI NINA MAFUA...
ETI OOOH SIWEZI SHIKA SIMU YA MKE WANGU...THUBUTUUUU...HUKO NI KUTOKUJIAMINI...