Nimekoma kukagua simu ya mume wangu

Nimekoma kukagua simu ya mume wangu

Ukihisi kitu kinafanywa na mume/mke usifikiri ni hisia tu..Kaa ujue unachowaza ni kweli na hata kama sio kweli ila kinakaribiana na ukweli so usijitafutie presha,kaa mbali na simu yake haina haja ya kutafuta ushahidi uje ujifie,shukuru mungu huna presha la sivyo saizi tungekua tunachangia thread ya mumeo akitueleza alichokutenda,tumsaidiaje.

Makosa ni yako na wewe ndio chanzo : Kwanini?

Mabadiliko ya mumeo ulishayaona/yahisi tangu mapema sana yawezekana mwezi/miezi iliyopita ila kwakua ulikua kiburi ukaona acha umwache (umeruhusu achepuke)

Ulipaswa tangu day 1 umeona changes ungetakiwa ukae chini na mumeo umuulize kwa upole na upendo (rudi nyuma enzi za uchumba wenu wakati ukimdekea) then tumia sauti ile muulize "mume wangu kwanini siku hizi uko 1 2 3..."

Swali lako lile lingemshtua kua "kumbe kuna mwanamke anaejali hisia zangu na kugundua hata ninapobadilika" so ungemuuliza sababu, na uhakika 81% asingeacha kukwambia sababu (hata kama za uongo) ila kama angekua amekupa sababu za uongo ungeshamrudsha kwa kiasi fulani akuwaze wewe na sio yule mwanamke maana tyr Njia yao ya mawasiliano ya 1 ushaishtukia.

Ungeweza pia kumuhoji(kwa upole,kwa madeko) kwani amekosa nini kwako? kitu gani hupati kwangu Mume wangu? Uliza maswali kuntu dada...mwanaume lazima aibu imshike hata kama aspokwambia ukweli kwamba anachepuka ila Niamini "utakua umemuokoa mume wako na mchepuko"

Baada ya nyie ku discuss sababu za yeye kutowaruhusu mpokee simu na kuwa mkali kwenu atajirekebisha na maisha yataendelea kama kawaida..(hapo tyr utakua umeharbu kitu kwenye mahusiano ya mumeo na mchepuko)

ULICHOKOSEA:

Kujitia mama NASSA unajua mautafiti ya anga..madai yako unajua kazi ya U spy....nataka kukwambia hivi dada angu MUMEO kachepuka makusudiiiiiiiiiiiiii na kafanya hivyo kwasababu kuna kitu kashaona hukifanyi,na ukitaka kujua ipo sababu,muulize japo ushachelewa "unakosa nini kwangu mume wangu" Jibu utalopewa andaa maji ya kunywa pembeni.

Mumeo angekua ana nia ya kuchepuka asingefanya wazi wazi kama alivyofanya,yeye sio chizi,sio mwenda wazimu achepuke LIVE kwa mke wake aliyemzalisha watoto...nakwambia sista kuna mahali ULIZINGUA sasa kwaku uli deal na upelelezi wa ANGA kugundua michepuko...Pambana endelea kuchunguza Jana kalala wapi,ili upate vidonda vya ulimi kbsa maana vya tumbo ushapata.

UKIMUACHA MUMEO KWA SABABU YA HILI,UTAKUA UMEMPOTEZA MUME WAKO naweza kukubaliana na watakao kwambia achana nae kama TU "hii tabia ya mumeo si mara ya kwanza kuifanya" ila kama ndio mara ya kwanza elewa kwamba ULIZINGUA KITAMBO SANA...jibu ulishapata ila madai yako ukataka ku prove haya..prove na mengine.

USHAURI:

Muite mumeo ongea nae,usijishushe maana alilofanya ni kosa japo chanzo ni wewe,ila mwambie naomba tuongee BABA...ongea nae kisha mwambia alichofanya ushakifahamu na hutaki kujua A wala B wala C wala usitake kujua huyo mchepuko kampataje na kwasababu gani.

Mwambie mume wangu "Nataka uachane na huyo mwanamke" tena ongea kwa kujiamini dada,huyo ni mumeo na hiyo ni COMMAND sio REQUEST...hakikisha unamuachanisha nae kisha boresha penzi kwa mumeo ila kwanza kabla ya yote,kabla ya kujua nini wala nini mwambie hutaki hata kujua alipolala jana,juzi ila unachotaka ni YEYE AACHANE NA HUYO KIMADA.

akikubali kuachana nae (upo ktk nafasi nzuri ya kutengeneza na mumeo) ila akikataaa hapo Jitafakari sana itakua yapo mengi sana huyo mwanaume kayahifadhi moyoni mwake kuhusu wewe,so ili uyajue mchote akili mwambie akwambie yote ulomfanyia ili umuache aendelee na kimada wake,Akikwambia (jua anakupenda) asipokwambia (dada umechokwa so pambana na hali yako)

Pole kwa yote....

wanaume sisi eti ndo tunaitwa mafurushi na Atoto (walai nisimdake huyu dada,hawezi tuita mafurushi)
 
Hii story umeitoa kwa idd makengo facebuk [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Nina principle moja kwenye mahusiano: KAMA HAUPO TAYARI KUMUACHA USIMCHUNGUZE

Maana ukimchunguza utapata unachokitaka kisha uishie kuumia na kutoka hutoki.
Haya umekuta ana mchepuko na katuma picha za hovyo za utafanyaje??

Akili zangu:
1. Ameshagundua najua nitamchunia tu sitamuuliza wala sitaligusia hilo swala kwa namna yoyote ile, yaani I'll pretend it never happened!! Kama mumeo zidisha upendo na utii. Akiona reaction tofauti na ile aliyotegemea (kununiwa /fujo) ataogopa na atakuambia au atapunguza mahusiano wanaume niwaoga hapa japo watakuja kubisha

2.Kama ni mumeo ama mna mahusiano yanatombulika, muache atulie na wewe tulia yani hata ipite wiki, compose yourself. Ukishatulia cook him his favorite meal or go eat out kisha kwa sauti ya upole but yenye authority mwambie hujapenda alichofanya, amekuvunjia heshima na usingependa arudie and tell him you deserve an apology na mwambie kabisa nakuonya lisijirudie tena. Trust me ataacha ama atafanya kwa usiri wa hali ya juu.
 
Sio sahihi kabisa.. je wewe unamtegemea yeye akulishe akuvishe?

Mwanaume akidakwa kawaida hawaleti dharau aliyokupa hata iweje.. nawe tafuta wako upoze roho. Unataka iweje kwani.. kajua umemkamata na kuyaona na anakudharau.. shooooo.. lala usingizi amka kesho tafuta furaha yako wewe
Kuna jambo limejificha hapa hivi kweli huyo ni mumeo au mwanaume uliyezaa naye tu .... kweli kweli umaweza kukutwa na kisamga kama hicho halafu ukao doka na usirudi bila kujaki athari zitakazojitokeza baadaye we mama jipange tu si lazima atafute ila aanze kuwet
Ka taratibu za dervorce ili na yeye aipate fresh maana hukommtagawana hadi vijiko
 
Ahsante sana kwa ushauri wako bidada
Nina principle moja kwenye mahusiano: KAMA HAUPO TAYARI KUMUACHA USIMCHUNGUZE

Maana ukimchunguza utapata unachokitaka kisha uishie kuumia na kutoka hutoki.
Haya umekuta ana mchepuko na katuma picha za hovyo za utafanyaje??

Akili zangu:
1. Ameshagundua najua nitamchunia tu sitamuuliza wala sitaligusia hilo swala kwa namna yoyote ile, yaani I'll pretend it never happened!! Kama mumeo zidisha upendo na utii. Akiona reaction tofauti na ile aliyotegemea (kununiwa /fujo) ataogopa na atakuambia au atapunguza mahusiano wanaume niwaoga hapa japo watakuja kubisha

2.Kama ni mumeo ama mna mahusiano yanatombulika, muache atulie na wewe tulia yani hata ipite wiki, compose yourself. Ukishatulia cook him his favorite meal or go eat out kisha kwa sauti ya upole but yenye authority mwambie hujapenda alichofanya, amekuvunjia heshima na usingependa arudie and tell him you deserve an apology na mwambie kabisa nakuonya lisijirudie tena. Trust me ataacha ama atafanya kwa usiri wa hali ya juu.
 
Hiki ni kitchen party bila vyombo..hahahaha ahsante mkuu nimekuelewa mkuu

Back
Top Bottom