Nimekoma kukagua simu ya mume wangu

Nimekoma kukagua simu ya mume wangu

Habari za usiku huu waungwana..naamini wote mko salama.

Niwaambie yaliyonikuta sasa..week kama tatu zilizopita nilianza kuhisi mume wangu anakimada ila sikutaka kumuuliza wala sikutaka ajue kama nahisi anachepuka.

Mumewangu alikua na tabia ya kuwahi kurudi nyumbani au hata kama anajua anachelewa hua lazima apige simu kunitaarifu.

Mumewangu alikua amenipa Uhuru na simu yake hata kama anaoga alinipa ruhusa niipokee na niongee na mpigaji na sio tu mimi Uhuru huo aliwapa hata watoto wake.

Wiki tatu zilizopita nikaona mwenzangu ameanza kubadilika..hatuna ruhusa ya kushika simu..hata kama inaita atatoka bafuni na apovu lake ataichukua simu maongezi yatafanyika bafuni..ukali ukaanza kwangu na watoto hata kama haikua na haja ya kutukalipia.

Nikaanza kufuatilia mwenendo wake ndipo nilipogundua ana mwanamke..leo asubuhi nikasubiri ameenda kuoga nikachukua simu bahati nzuri nywila yake naifahamu nikapunguza sauti nikaanza kupekua kwenye whatsapp.

Nikakutana na picha za tupu za huyo mwanamke huku wakisifiana wanavyofurahishana kitandani..nilijikuta sina nguvu kwakweli..ghafla na yeye akatoka bafuni akavaa huyo akaondoka hata kifungua kinywa hakupata.

Muda wa kama nusu saa hivi nikamtumia meseji
Mimi: "ahsante nimeona na nimejua kila kitu"
Mumewangu: "umekipata ulichokua wakitafuta na ukome"
Mimi: "yani Mume wangu ndio wanijibu ivyo?"
Yeye: "tena umenikera na sirudi Leo "

Yani ninavyoandika hapa hadi sasa 11:36pm huyu mwanaume bado hajarudi na simu yake haipatikani.

Wanawake wenzangu naomba mnishauri nifanye nini?

Wanaume mnahisi alichokifanya mwanaume mwenzenu ni sahihi?

Muombee mumeo. Kashikwa na si akili yake halisi. Kuna ushirikina sana kwenye ngono.
 
Kitu kimoja utambue wanaume wengi wanachepuka, ila ni wazito sana kufuta mawasiliano yao na michepuko yao na hili ndo tatizo kubwa ambalo limekuwa linasababisha migogoro katika ndoa.

Ndio, mme wako kakosea ila kwa hapo mlipofikia huna budi kujishusha na kumuomba myazungumze. Being too aggressive on him may lead you into more pain than you can ever imagine.
 
Sio sahihi kabisa.. je wewe unamtegemea yeye akulishe akuvishe?

Mwanaume akidakwa kawaida hawaleti dharau aliyokupa hata iweje.. nawe tafuta wako upoze roho. Unataka iweje kwani.. kajua umemkamata na kuyaona na anakudharau.. shooooo.. lala usingizi amka kesho tafuta furaha yako wewe
Hili jibu Gumu ila sahihi!
 
Hilo sio suluhisho la tatizo hata kidogo. Hutoipata hiyo furaha zaidi ya maumivu zaidi. Mwenzako atafanya hayo anayoyafanya na mchepuko wake kwa ajili ya furaha, ila wewe unayelipiza kisasi hutofanya kwa furaha bali kisasi.
 
Kama haonyeshi kusikitika na kuomba msamaha basi hana mapenzi na wewe tena. Jaribu ku-involve wazazi, wachungaji/mashehe... Inaonekena kama anakutafutia talaka vile. Anatafuta visingizio...
Habari za usiku huu waungwana..naamini wote mko salama.

Niwaambie yaliyonikuta sasa..week kama tatu zilizopita nilianza kuhisi mume wangu anakimada ila sikutaka kumuuliza wala sikutaka ajue kama nahisi anachepuka.

Mumewangu alikua na tabia ya kuwahi kurudi nyumbani au hata kama anajua anachelewa hua lazima apige simu kunitaarifu.

Mumewangu alikua amenipa Uhuru na simu yake hata kama anaoga alinipa ruhusa niipokee na niongee na mpigaji na sio tu mimi Uhuru huo aliwapa hata watoto wake.

Wiki tatu zilizopita nikaona mwenzangu ameanza kubadilika..hatuna ruhusa ya kushika simu..hata kama inaita atatoka bafuni na apovu lake ataichukua simu maongezi yatafanyika bafuni..ukali ukaanza kwangu na watoto hata kama haikua na haja ya kutukalipia.

Nikaanza kufuatilia mwenendo wake ndipo nilipogundua ana mwanamke..leo asubuhi nikasubiri ameenda kuoga nikachukua simu bahati nzuri nywila yake naifahamu nikapunguza sauti nikaanza kupekua kwenye whatsapp.

Nikakutana na picha za tupu za huyo mwanamke huku wakisifiana wanavyofurahishana kitandani..nilijikuta sina nguvu kwakweli..ghafla na yeye akatoka bafuni akavaa huyo akaondoka hata kifungua kinywa hakupata.

Muda wa kama nusu saa hivi nikamtumia meseji
Mimi: "ahsante nimeona na nimejua kila kitu"
Mumewangu: "umekipata ulichokua wakitafuta na ukome"
Mimi: "yani Mume wangu ndio wanijibu ivyo?"
Yeye: "tena umenikera na sirudi Leo "

Yani ninavyoandika hapa hadi sasa 11:36pm huyu mwanaume bado hajarudi na simu yake haipatikani.

Wanawake wenzangu naomba mnishauri nifanye nini?

Wanaume mnahisi alichokifanya mwanaume mwenzenu ni sahihi?
 
Habari za usiku huu waungwana..naamini wote mko salama.

Niwaambie yaliyonikuta sasa..week kama tatu zilizopita nilianza kuhisi mume wangu anakimada ila sikutaka kumuuliza wala sikutaka ajue kama nahisi anachepuka.

Mumewangu alikua na tabia ya kuwahi kurudi nyumbani au hata kama anajua anachelewa hua lazima apige simu kunitaarifu.

Mumewangu alikua amenipa Uhuru na simu yake hata kama anaoga alinipa ruhusa niipokee na niongee na mpigaji na sio tu mimi Uhuru huo aliwapa hata watoto wake.

Wiki tatu zilizopita nikaona mwenzangu ameanza kubadilika..hatuna ruhusa ya kushika simu..hata kama inaita atatoka bafuni na apovu lake ataichukua simu maongezi yatafanyika bafuni..ukali ukaanza kwangu na watoto hata kama haikua na haja ya kutukalipia.

Nikaanza kufuatilia mwenendo wake ndipo nilipogundua ana mwanamke..leo asubuhi nikasubiri ameenda kuoga nikachukua simu bahati nzuri nywila yake naifahamu nikapunguza sauti nikaanza kupekua kwenye whatsapp.

Nikakutana na picha za tupu za huyo mwanamke huku wakisifiana wanavyofurahishana kitandani..nilijikuta sina nguvu kwakweli..ghafla na yeye akatoka bafuni akavaa huyo akaondoka hata kifungua kinywa hakupata.

Muda wa kama nusu saa hivi nikamtumia meseji
Mimi: "ahsante nimeona na nimejua kila kitu"
Mumewangu: "umekipata ulichokua wakitafuta na ukome"
Mimi: "yani Mume wangu ndio wanijibu ivyo?"
Yeye: "tena umenikera na sirudi Leo "

Yani ninavyoandika hapa hadi sasa 11:36pm huyu mwanaume bado hajarudi na simu yake haipatikani.

Wanawake wenzangu naomba mnishauri nifanye nini?

Wanaume mnahisi alichokifanya mwanaume mwenzenu ni sahihi?
Kwa mawazo yangu nadhani mumeo mwanzo alikuwa anakuheshima sana japokuwa alikuwa anachepuka,lakini hapo mwanzo nadhani mlikuwa na maelewano mazuri sana na hiyo ikamfanya kama anachepuka badi anachepuka kwa akili ili kuepusha kukuumiza.

Sasa kwa hali hiyo usije ukadhani kwamba ni ajari wewe kujua kama yeye anachepuka.

Usije kudhani kwamba kafanya mistake wewe kujua hapanaaa.

HILO LILIKUSUDIWA NA MUMEOOOO.

alikusudia kabisa kuandaa mazingira ili wewe umtie shaka na hapo nDo utaanza kumchunguza,na huku yeye akiwa hafuti yale mawasiliano yake na mchepuko.

Hakuna mwanaume ambae atabadilika ghafla namna hiyo alafu akawa hana mawazo kwamba kwa kubadilika huko basi mkewe atajua ana mchpuko.

Hakuna mwanaume ambaye atamkataza mkewe kupokea simu alafu mwanaume huyo asihisi kwamba kukataza huko kutampelekea huyo mke amhisi mume ana mchepuko.

Hakuna mwanaume ambaye anaenda kuongea na simu chooni alafu eti asiwaze kabisa kwamba kitendo chake hicho kitamfanya mke aone kwamba mume ana mchepuko.

HAKUNA MWANAUME AMBAYE HAWAZI NA HAJUI HAYO YOTEEE,BALI WANAUME WOTE WANAJUA KWAMBA WATAHISIWA NA MICHEPUKO.

SASA KWA NINI WANARUHUSU MAZINGIRA HAYO YA KUHISIWA VIBAYA NA WAKE ZAO,NA BADALA YAKE WASIBADILI WAKAJIREKEBISHA..?

ooh jawabu ni kwamba : ukiona mumeo ameanza kuomesha hali ya wewe kumhisi na mchepuko basi jua fika ANAJUA HASA KWAMBA UNAMHISI ANA MCHEOUKO,NA HILO NDO ANALOTAKA YEYE KWAMBA WEWE UJUE KWAMBA ANACHEPUKA.

KWA NINI ANATAKA UJUE..?

Sasa hapo huwenda na kuna asilimia kubwa kwamba kuna kitu kavumilia kwako,au kuna kitu humpatii,kwa maana labda kuna uvivu fulani kitandanii,sio mbunifu kabisaa katika mapenzi,n.k

Kwa hyo ili kukuweka sawa anahakikisha unajua kwamba anachepuka,ili kama una akili ujirekebishe na uwe mtaalamu kwenye mambo ya kitanda..

Pole sana dada yangu yna2
 
Kwa mapokeo ya wanaume na hulka zetu ulichokifanya sio kizuri, ila ukifuata uhalisia alichofanya mumeo sio jambo la kiungwana hata kidogo.
Nakushauri jipe mda kwanza wa kujiuguza hilo jeraha la moyo wako kwa mda wa siku mbili,ikibidi ulieeeee ili machungu yote yaishe, ukitulia nakuomba utafakari ni vitu gani uliviona kwenye zile chat ambacho mmeo kinampagawisha halafu kaa nae upate maoni kwake (japo ni ushauri mgumu).
Jambo lingine ambalo ni maamuzi magumu na uuandae moyo ni kuamua kuishi na mmeo kama mzazi mwenzako yaani mlee tu watoto huku ukimuangalia mumeo na harakati zake hizo naamini atajishtukia na atakufuata ili myajenge.
 
pole sana, mimi nimemwambia kabisa simu yangu yangu na yakwako yako, simu ya mke wangu sipekui na wala yangu hapekui.
 
jamani turudi kwenye ukweli, nini maana ya mwili mmoja? na mke kuona hayo na kupioga kelele kama mume bado ana roho wa Mungu atarudi lakini kama roho wa mungu keshaondoka basi!! hapo Mungu mwenyewe aingilie kati
 
Dada angu pole sana kwa majanga ngoja nikwambie kitu ni kosa sana kukagua simu ya mke au mume wako nakumbuka niliwai kuambiwa na shangazi yangu kwa sasa ni mzee sana aliwai kuniasa usije ukajaribu kuchunguza simu ya mkeo ni mbaya sana utajikuta mahusiano yenu yanakufa kikubwa cha kuangalia mumeo anatoa mahitaji ya familia ayo mengine atajua mwenyewe, sasa si unaona sasa una maumivu makubwa sana but usije na wewe ukachepuka kwa dhumuni la kumkomoa mume wako nayo ni mbaya sana najua utafanya kwa hasira mwisho wa siku utaangukia pua ila pole sana yataisha tu
Habari za usiku huu waungwana..naamini wote mko salama.

Niwaambie yaliyonikuta sasa..week kama tatu zilizopita nilianza kuhisi mume wangu anakimada ila sikutaka kumuuliza wala sikutaka ajue kama nahisi anachepuka.

Mumewangu alikua na tabia ya kuwahi kurudi nyumbani au hata kama anajua anachelewa hua lazima apige simu kunitaarifu.

Mumewangu alikua amenipa Uhuru na simu yake hata kama anaoga alinipa ruhusa niipokee na niongee na mpigaji na sio tu mimi Uhuru huo aliwapa hata watoto wake.

Wiki tatu zilizopita nikaona mwenzangu ameanza kubadilika..hatuna ruhusa ya kushika simu..hata kama inaita atatoka bafuni na apovu lake ataichukua simu maongezi yatafanyika bafuni..ukali ukaanza kwangu na watoto hata kama haikua na haja ya kutukalipia.

Nikaanza kufuatilia mwenendo wake ndipo nilipogundua ana mwanamke..leo asubuhi nikasubiri ameenda kuoga nikachukua simu bahati nzuri nywila yake naifahamu nikapunguza sauti nikaanza kupekua kwenye whatsapp.

Nikakutana na picha za tupu za huyo mwanamke huku wakisifiana wanavyofurahishana kitandani..nilijikuta sina nguvu kwakweli..ghafla na yeye akatoka bafuni akavaa huyo akaondoka hata kifungua kinywa hakupata.

Muda wa kama nusu saa hivi nikamtumia meseji
Mimi: "ahsante nimeona na nimejua kila kitu"
Mumewangu: "umekipata ulichokua wakitafuta na ukome"
Mimi: "yani Mume wangu ndio wanijibu ivyo?"
Yeye: "tena umenikera na sirudi Leo "

Yani ninavyoandika hapa hadi sasa 11:36pm huyu mwanaume bado hajarudi na simu yake haipatikani.

Wanawake wenzangu naomba mnishauri nifanye nini?

Wanaume mnahisi alichokifanya mwanaume mwenzenu ni sahihi?
 
Kwa mawazo yangu nadhani mumeo mwanzo alikuwa anakuheshima sana japokuwa alikuwa anachepuka,lakini hapo mwanzo nadhani mlikuwa na maelewano mazuri sana na hiyo ikamfanya kama anachepuka badi anachepuka kwa akili ili kuepusha kukuumiza.

Sasa kwa hali hiyo usije ukadhani kwamba ni ajari wewe kujua kama yeye anachepuka.

Usije kudhani kwamba kafanya mistake wewe kujua hapanaaa.

HILO LILIKUSUDIWA NA MUMEOOOO.

alikusudia kabisa kuandaa mazingira ili wewe umtie shaka na hapo nDo utaanza kumchunguza,na huku yeye akiwa hafuti yale mawasiliano yake na mchepuko.

Hakuna mwanaume ambae atabadilika ghafla namna hiyo alafu akawa hana mawazo kwamba kwa kubadilika huko basi mkewe atajua ana mchpuko.

Hakuna mwanaume ambaye atamkataza mkewe kupokea simu alafu mwanaume huyo asihisi kwamba kukataza huko kutampelekea huyo mke amhisi mume ana mchepuko.

Hakuna mwanaume ambaye anaenda kuongea na simu chooni alafu eti asiwaze kabisa kwamba kitendo chake hicho kitamfanya mke aone kwamba mume ana mchepuko.

HAKUNA MWANAUME AMBAYE HAWAZI NA HAJUI HAYO YOTEEE,BALI WANAUME WOTE WANAJUA KWAMBA WATAHISIWA NA MICHEPUKO.

SASA KWA NINI WANARUHUSU MAZINGIRA HAYO YA KUHISIWA VIBAYA NA WAKE ZAO,NA BADALA YAKE WASIBADILI WAKAJIREKEBISHA..?

ooh jawabu ni kwamba : ukiona mumeo ameanza kuomesha hali ya wewe kumhisi na mchepuko basi jua fika ANAJUA HASA KWAMBA UNAMHISI ANA MCHEOUKO,NA HILO NDO ANALOTAKA YEYE KWAMBA WEWE UJUE KWAMBA ANACHEPUKA.

KWA NINI ANATAKA UJUE..?

Sasa hapo huwenda na kuna asilimia kubwa kwamba kuna kitu kavumilia kwako,au kuna kitu humpatii,kwa maana labda kuna uvivu fulani kitandanii,sio mbunifu kabisaa katika mapenzi,n.k

Kwa hyo ili kukuweka sawa anahakikisha unajua kwamba anachepuka,ili kama una akili ujirekebishe na uwe mtaalamu kwenye mambo ya kitanda..
mchango mzuri sana!
 
MNAYAPEKUAGA YA NINI WAKATI HUNA JEURI YA KUKOMAA NA UTAKACHOKIKUTA?
ehehehehh!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom