kwa hyo umeomba ushaur wa kupotoshwa au kuangalia namna ya kuinusuru ndoa yako?Alichoandika kwa upande wake ameona ni sahihi..akili kichwani mwangu
madam s once again!Waswahili wana msemo wao
Ukimfumania mumeo kama bado unampenda usipige kelele watu waje washuhudie fumanizi lake sababu mwisho wa siku waweza msamehe mkaendelea na maisha yenu fedheha utaificha wapi?
He is your husband, atarudi mwache akalale huko atakaporudi mwambie ukweli ongea ukweli wa nafsi yako mwambie vile unajisikia baada ya kugundua hayo na umwambie hukua na nia ya kumpekua isipokua ni mienendo yake imekufanya umpekue tu hata hivo mkumbushe uhuru wa kushika simu yake hapo kabla
Mwambie mna watoto na wanahitaji malezi yenu hivo atafakari mwisho wa hayo ayafanyayo sabahu hupendezwi nayo na hupunguza upendo kidogo kidogo
Usifiche mweleze uchungu wa nafsini mwako
Unakagua septic tank ukitegenea kukuta kitu gani?Habari za usiku huu waungwana..naamini wote mko salama.
Niwaambie yaliyonikuta sasa..week kama tatu zilizopita nilianza kuhisi mume wangu anakimada ila sikutaka kumuuliza wala sikutaka ajue kama nahisi anachepuka.
Mumewangu alikua na tabia ya kuwahi kurudi nyumbani au hata kama anajua anachelewa hua lazima apige simu kunitaarifu.
Mumewangu alikua amenipa Uhuru na simu yake hata kama anaoga alinipa ruhusa niipokee na niongee na mpigaji na sio tu mimi Uhuru huo aliwapa hata watoto wake.
Wiki tatu zilizopita nikaona mwenzangu ameanza kubadilika..hatuna ruhusa ya kushika simu..hata kama inaita atatoka bafuni na apovu lake ataichukua simu maongezi yatafanyika bafuni..ukali ukaanza kwangu na watoto hata kama haikua na haja ya kutukalipia.
Nikaanza kufuatilia mwenendo wake ndipo nilipogundua ana mwanamke..leo asubuhi nikasubiri ameenda kuoga nikachukua simu bahati nzuri nywila yake naifahamu nikapunguza sauti nikaanza kupekua kwenye whatsapp.
Nikakutana na picha za tupu za huyo mwanamke huku wakisifiana wanavyofurahishana kitandani..nilijikuta sina nguvu kwakweli..ghafla na yeye akatoka bafuni akavaa huyo akaondoka hata kifungua kinywa hakupata.
Muda wa kama nusu saa hivi nikamtumia meseji
Mimi: "ahsante nimeona na nimejua kila kitu"
Mumewangu: "umekipata ulichokua wakitafuta na ukome"
Mimi: "yani Mume wangu ndio wanijibu ivyo?"
Yeye: "tena umenikera na sirudi Leo "
Yani ninavyoandika hapa hadi sasa 11:36pm huyu mwanaume bado hajarudi na simu yake haipatikani.
Wanawake wenzangu naomba mnishauri nifanye nini?
Wanaume mnahisi alichokifanya mwanaume mwenzenu ni sahihi?
ningeufuata kwa 100%Mkeo angekuwa anachepuka halafu wewe hauchepuki ungefuata huo ushauri?
Kwahiyo wanaume tukichepuka ni sawa ila wanawake wakikagua simu ni kosa? Nonsense.
ExactlySio sahihi kabisa.. je wewe unamtegemea yeye akulishe akuvishe?
Mwanaume akidakwa kawaida hawaleti dharau aliyokupa hata iweje.. nawe tafuta wako upoze roho. Unataka iweje kwani.. kajua umemkamata na kuyaona na anakudharau.. shooooo.. lala usingizi amka kesho tafuta furaha yako wewe
Hayo mekundu hujioni wewe ndie upo hivyo.. umekuwa Mola unajaji mtu!!!.. ha ha ha haaaaaaa.. kaa pembeni huko na matendo yako. Sipangiwi cha kuandika humu JF.. mwanaume akienda kupata raha basi na mwanamke ana haki ya kusepa pia..
Habari za usiku huu waungwana..naamini wote mko salama.
Niwaambie yaliyonikuta sasa..week kama tatu zilizopita nilianza kuhisi mume wangu anakimada ila sikutaka kumuuliza wala sikutaka ajue kama nahisi anachepuka.
Mumewangu alikua na tabia ya kuwahi kurudi nyumbani au hata kama anajua anachelewa hua lazima apige simu kunitaarifu.
Mumewangu alikua amenipa Uhuru na simu yake hata kama anaoga alinipa ruhusa niipokee na niongee na mpigaji na sio tu mimi Uhuru huo aliwapa hata watoto wake.
Wiki tatu zilizopita nikaona mwenzangu ameanza kubadilika..hatuna ruhusa ya kushika simu..hata kama inaita atatoka bafuni na apovu lake ataichukua simu maongezi yatafanyika bafuni..ukali ukaanza kwangu na watoto hata kama haikua na haja ya kutukalipia.
Nikaanza kufuatilia mwenendo wake ndipo nilipogundua ana mwanamke..leo asubuhi nikasubiri ameenda kuoga nikachukua simu bahati nzuri nywila yake naifahamu nikapunguza sauti nikaanza kupekua kwenye whatsapp.
Nikakutana na picha za tupu za huyo mwanamke huku wakisifiana wanavyofurahishana kitandani..nilijikuta sina nguvu kwakweli..ghafla na yeye akatoka bafuni akavaa huyo akaondoka hata kifungua kinywa hakupata.
Muda wa kama nusu saa hivi nikamtumia meseji
Mimi: "ahsante nimeona na nimejua kila kitu"
Mumewangu: "umekipata ulichokua wakitafuta na ukome"
Mimi: "yani Mume wangu ndio wanijibu ivyo?"
Yeye: "tena umenikera na sirudi Leo "
Yani ninavyoandika hapa hadi sasa 11:36pm huyu mwanaume bado hajarudi na simu yake haipatikani.
Wanawake wenzangu naomba mnishauri nifanye nini?
Wanaume mnahisi alichokifanya mwanaume mwenzenu ni sahihi?
ningeufuata kwa 100%
Ndiyo kwani ulidhani sikukuelewa? Nilikuelewa sana na ndo maana nikakupinga nisingeweza kupinga kitu ambacho sijakielewa ila ukweli ndiyo huo na hayo mambo unayoyataka hayawezekani tena kwa dunia ya sasa na inayokujaU a very smart man...kumbe point umeilewa analeta ukauzu tuu. Am happy u an intelligent man.
Pole sana mamy hakika inahitaji ujasiri kupambana na mume mroho kama huyo.;;;;Rafiki yangu aliwahi kukutwa na kadhia kama hii alimtext mume wake kuwa" kila mtu achepuke kwa muda na wakati wake na arejee nyumbani kulea familia".
[emoji120][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nashukuru
sasa kama ndo hivo huo ushaur wa member hap juu usiutilie maanan maana hajawahi ingia kwenye hiyo tahasisi akaona ugumu wenyewNamna ya kuinusuru ndoa yangu