Nimekoma kukagua simu ya mume wangu

Kuku ni wa kwako, manati ya nini?
Kama amesema harudi leo ndiyo freeesh! na wewe kalale na houseboy (kama yupo).

Kama hayupo hata mpemba anaweza kukupunguzia mawazo na hasira kwa siku moja.
 
Sio sahihi kabisa.. je wewe unamtegemea yeye akulishe akuvishe?

Mwanaume akidakwa kawaida hawaleti dharau aliyokupa hata iweje.. nawe tafuta wako upoze roho. Unataka iweje kwani.. kajua umemkamata na kuyaona na anakudharau.. shooooo.. lala usingizi amka kesho tafuta furaha yako wewe
Ushaur mbovu kutoka sugar mummy la Lumumba
 
Kuku ni wa kwako, manati ya nini?
Kama amesema harudi leo ndiyo freeesh! na wewe kalale na houseboy (kama yupo).

Kama hayupo hata mpemba anaweza kukupunguzia mawazo na hasira kwa siku moja.
Wee wacha mdanganya mwenzio asishindane kabisa na mwanaume....ataumia yeye.
 
Sio sahihi kabisa.. je wewe unamtegemea yeye akulishe akuvishe?

Mwanaume akidakwa kawaida hawaleti dharau aliyokupa hata iweje.. nawe tafuta wako upoze roho. Unataka iweje kwani.. kajua umemkamata na kuyaona na anakudharau.. shooooo.. lala usingizi amka kesho tafuta furaha yako wewe
Ushauri wa Marino huu kabisaaa
 
si ndio ulichokuwa unakitafuta......umekipata sasa unateseka.....ndo mmeo huyo........ulipaswa kumwambia kabla hajaondoka...face to face......pole...ila usilipize itakkost.....tulia utafakari wapi umekosea,,, picha za chepuko umeziona...je amekuzidi nini,,chura au.......
 
Habari za usiku huu waungwana..naamini wote mko salama.

Niwaambie yaliyonikuta sasa..week kama tatu zilizopita nilianza kuhisi mume wangu anakimada ila sikutaka kumuuliza wala sikutaka ajue kama nahisi anachepuka.

Mumewangu alikua na tabia ya kuwahi kurudi nyumbani au hata kama anajua anachelewa hua lazima apige simu kunitaarifu.

Mumewangu alikua amenipa Uhuru na simu yake hata kama anaoga alinipa ruhusa niipokee na niongee na mpigaji na sio tu mimi Uhuru huo aliwapa hata watoto wake.

Wiki tatu zilizopita nikaona mwenzangu ameanza kubadilika..hatuna ruhusa ya kushika simu..hata kama inaita atatoka bafuni na apovu lake ataichukua simu maongezi yatafanyika bafuni..ukali ukaanza kwangu na watoto hata kama haikua na haja ya kutukalipia.

Nikaanza kufuatilia mwenendo wake ndipo nilipogundua ana mwanamke..leo asubuhi nikasubiri ameenda kuoga nikachukua simu bahati nzuri nywila yake naifahamu nikapunguza sauti nikaanza kupekua kwenye whatsapp.

Nikakutana na picha za tupu za huyo mwanamke huku wakisifiana wanavyofurahishana kitandani..nilijikuta sina nguvu kwakweli..ghafla na yeye akatoka bafuni akavaa huyo akaondoka hata kifungua kinywa hakupata.

Muda wa kama nusu saa hivi nikamtumia meseji
Mimi: "ahsante nimeona na nimejua kila kitu"
Mumewangu: "umekipata ulichokua wakitafuta na ukome"
Mimi: "yani Mume wangu ndio wanijibu ivyo?"
Yeye: "tena umenikera na sirudi Leo "

Yani ninavyoandika hapa hadi sasa 11:36pm huyu mwanaume bado hajarudi na simu yake haipatikani.

Wanawake wenzangu naomba mnishauri nifanye nini?

Wanaume mnahisi alichokifanya mwanaume mwenzenu ni sahihi?kAMA YEYE HARUDI LEO NA WEWE NJOO ULALE KWANGU..HAIWEZEKANI ULALE PEKE YAKO?
 
Hahahaha

Sawa nimekuelewa mkuu
si ndio ulichokuwa unakitafuta......umekipata sasa unateseka.....ndo mmeo huyo........ulipaswa kumwambia kabla hajaondoka...face to face......pole...ila usilipize itakkost.....tulia utafakari wapi umekosea,,, picha za chepuko umeziona...je amekuzidi nini,,chura au.......
 
Siwezi fikia huko
Kuku ni wa kwako, manati ya nini?
Kama amesema harudi leo ndiyo freeesh! na wewe kalale na houseboy (kama yupo).

Kama hayupo hata mpemba anaweza kukupunguzia mawazo na hasira kwa siku moja.
 
Sio sahihi kabisa.. je wewe unamtegemea yeye akulishe akuvishe?

Mwanaume akidakwa kawaida hawaleti dharau aliyokupa hata iweje.. nawe tafuta wako upoze roho. Unataka iweje kwani.. kajua umemkamata na kuyaona na anakudharau.. shooooo.. lala usingizi amka kesho tafuta furaha yako wewe
Unataka umponze zaidi sasa
 
we unfikiria kufanya nini mami?

binafsi nakushauri kuwa kabla hujafanya maamuzi yoyote yale fikiria haya

heshima yako kama mke ipo? mumeo anakuheshimu? unapenda akuheshimu au haijalishi vila anakutreat?

kwako mume wako kucheat unaona ni sawa?unaunga mkono ye kucheat huonei taabu jambo hilo?

unadhani tabia mpya aliyoianzisha itaathiri vipi familia yako?yaani wewe na watoto wako?

ukitaka kumwacha una huo uwezo?uko tayari kukabiliana na matokeo ya ninyi wawili kuachana?

unaweza kukudeal na hali iliyojitokeza bila kuathirika na kusaidia watoto wako waiathiriwe pia?
 
Back
Top Bottom