SuperHb
JF-Expert Member
- Mar 21, 2016
- 1,012
- 1,023
Habari ndugu..
Mimi nilikuwa nimeoa mwanamke tulikuwa tuna miaka 5, kwenye ndoa,,,tumejaaliwa mtoto mmoja wa kike mwenye umri wa miaka 2 na miezi8,,,tuliishi vizuri,,alikuwa ni Mama wa Nyumbani,,
Ila ghafla alianza kubadilika ,,akaanza kuwa na vikundi vya wanawake,,,vikimshauri atafute kazi,maana wanaume wa siku wakiona hufanyi kazi watakutesa,,mambo wakawa wanamlisha sumu MKE wangu,,,
Niligundua Hilo tatizo nikamkataza vikundi akawa ameacha...
Sasa baada ya miaka mitano hiyo kwenye ndoa MKE akabadilika anataka kazi,,,akawa anatafuta kazi kimya kimya mimi Sina habari,,,,nakuja kusikia habari mtaani kwamba MKE anatafuta kazi....sasa nikawa najiuliza kama anafanya maamuzi ya kutafuta kazi bila kumshirikisha Mme wake hii inakuwaje???
Baada ya Muda wakati anaendelea kutafuta niliamua nimuache kwa kumchora nione Mwisho wake...
Nikaanza uchunguzi taratibu...nikagundua Simu yake anaenda nayo kila mahali,,,hata akienda chooni anaenda chooni Simu anakuwa nayo...
Nikaanza kuingiwa na mashaka,,,siku Moja nikashika Simu yake bila yeye kujua,ghafla iliingia meseji inasema""ILE KAZI NIMEKUTA KUNA DADA MOJA AMESHAICHUKUA TANGU J,NNE,, KWAHIYO SUBIRI KIDOGO ""
Niliamua nimuulize MKE wangu akasema,,,ni kweli hii meseji inanimhusu yete,,,ila aliyeituma hamjui....
Sasa mimi niliamua niipigie hiyo namba iliyomtumia meseji...kuongeza nae sauti ya mwanaume,,,akakili kwamba huyu ambaye alishamuomba amtafutie kazi...ndo maana alituma hiyo meseji kumjulisha.
Baada ya kumbana sana,,MKE wangu,akasema Yeye huyo mwanaume hamjui,,,ila anashangaa meseji hiyo,,,
Ila baadae MKE wangu akaniambia,,,Kuna Mama mmoja Jirani ,,,alikuwa ashamuomba amuulizie kazi sehemu yoyote atakapoiona..
Sasa aliponiambia hivyo MKE wangu nikamuambia nenda uniitie huyo mwanamke huyo Jirani yetu... nimuulizie hiyo ishu inaendaje... Basi bwana MKE alipoenda,,,alirudi ananiambia huyo mwanamke hayupo...,,,,kama mambo yamefikia hapo basi Bora mi niondoke Humu ndani... nikamuambia sawa ... kweli Mwanamke kafunga mizigo kaondoka...
Sasa baada ya mwanamke kuondoka...akili ikanijia ,,,niende nikamuulize huyo mwanamke Jirani...nilipofika kwa Jirani...huyo mwanamke akasema mimi nilikuwepo Wala sijatoka....kuhusu MKE wako kumtafutia kazi hawajawahi kuyaongelea...
Sasa huyo Mwanamke Jirani...niliamua nimuonyeshe meseji iliyotumwa kwa MKE wangu...akashagaa ni namba ya Mume wake...na akaniambia Namba ya MKE wangu...hata Mume wake Anayo kwenye Simu yake... Inamaana wanawasiliana kimyakimya...
NB..Ndo Maana nilipomuambia MKE wangu,,kwamba nataka niwaunganishe huyo mwanamke Jirani na mume wake ...kuwaulizia hii message iliyotumwa kwenye Simu yake...AKAAMUA KUFUNGASHA VIRAGO KUKIIMBIA...ameona atagundulika kuhusu huyo mwanaume...
...,.....,....................,.........
Kiufupi,,,MKE WANGU ALIKUWA NA NAMBA YA MUME WA RAFIKI YAKE WANAWASILIANA MWASWALA YA KAZI...BILA RAFIKI YAKE KUJUA CHOCHOTE KINACHOENDELEA
Ameniachia mtoto mmoja,,,SIJUI MNANISHAURIJE?