Hahahah!Yani matajiri humu wapo kibao nimeshangaa mno ka laki sita tu 🤔
Wazo zuri sana hili TCRA wangekuwa wanafanyia kazi changamoto kama hizi.niliwahi kushauri
kwa nini TCRA wasiwe wanazifungia simu zinazoibiwa
mmiliki awapatie imei namba na taarifa ya upotevu tokea polisi
Kwanini asingenunua hata ITEL ya RAKI MBIRI?Kidumu daima , laki 6 tunatolea wapi ya kununua simu tu bwashee?
Hutufai, tupishe. Humu kila mtu tajiri.Hata kula sijala leo
safi mkuu --- umenipa mwangaNaam. Kwenye box kunabandikwa stickers za imei number. Mie polisi walivoona tu box na ile picha ya simu wenyewe walicheka...wakaniambia we kweli hii simu yako. Na risiti pia nilikuwa nayo tena ile ya TRA. Simu yangu ilikuwa mpya ina kama miezi mitano tu
Ole wako siku nije znz halafu ukatae kutu pikia basmati rice 😁Zanzibar
It was 2023 August. Na me
Hahaha 😁Kwanini asingenunua hata ITEL ya RAKI MBIRI?
RISIMU RA RAKI SITA??
Cc: Mbaga Jr secretarybird Extrovert Lamomy cocastic
Baby wako Lamomy anafahamu hiliKim
Hapana ila kila mtu ana matatizo ya akili 😎
Upo Dsm?Ndo nimeambiwa hivyo
Sasa central mi simjui yoyote
Au niende tu just kwenda
Simu ya aina gani? Hili ndilo la muhimu.Nimeibiwa sim na nisharipot police
Sasa niitrack au police watakula ela zangu
Nawaza niachane nayo tu lakini moyo unasema labda nijaribu upande mwingine naona nitapoteza mida na fedha
Maana nimejaribu kupitia nyuzi hapa hamna mtu anakiri alishawahi pata simu kwa kupitia police
Tooookaaaaah magetooniiii...Wewe una fahamika ni jobless mwenzangu
Wewe una mtambo wa kutrack simu?Nimeibiwa sim na nisharipot police
Sasa niitrack au police watakula ela zangu
Nawaza niachane nayo tu lakini moyo unasema labda nijaribu upande mwingine naona nitapoteza mida na fedha
Maana nimejaribu kupitia nyuzi hapa hamna mtu anakiri alishawahi pata simu kwa kupitia police
Wanaitumia wenyeweMimi yule police alinizunguka simu yangu niliibiwa wakaipata nina uhakika ila mpaka leo sijaipata.
Maghetoni sitoki na hakuna kitu utafanya gademiiitTooookaaaaah magetooniiii...
Gadeemiiittt!!!